Recent content by Nyamtalakyono

  1. Nyamtalakyono

    Ombi: Rais Samia wafikirie Walimu walioondolewa kazini kwa kubainika na vyeti feki

    Mh Mama yetu kipenzi na Rais wetu nakusalimu Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa kazi nzuri unazozifanya kwa ajili ya kuiletea nchi yetu ya Tanzania maendeleo. Lakini kwangu naomba nichukue moja ambalo ninalichukua kurudia kukupongeza kwalo ambalo...
  2. Nyamtalakyono

    Mwanza: Rais Samia aongea na Vijana wa Tanzania katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana

    Mkeka wa Ma DC wanukia. Vijana tupu. Mh Samia
  3. Nyamtalakyono

    Mtandao wa Airtel hebu chukueni hatua kwa hili

    Napenda kuwapongeza kwa huduma nzuri mnazozitoa kupitia mtandao wenu. Japo takribani majuma matatu hapa Serengeti tuna changamoto za mtandao wenu uko very weak na wakati mwingine unapoteo. Hali inapelekea tunaathirika kwa mambo mengi yakiwemo yafuatayo:- 1. Upotevu wa vifurushi tunavyoviweka...
  4. Nyamtalakyono

    Mtandao wa Airtel hili halina tofauti na uhujumu uchumi

    Napenda kuwapongeza kwa huduma mlizonazizito kupitia mtandao wenu. Lakini ni muda sasa takribani wiki 3 huku Serengeti tumekuwa tukiweka bundle lakini ni Kama zinapotea bure maana mtandao uko chini na huwezi mpigia simu mtu. Sasa naomba either mtupe wateja wenu nini kinajiri au mrekebishe...
  5. Nyamtalakyono

    Hongera Rais Magufuli kwa kukuza demokrasia

    Mhe. John Pombe Magufuli, Rais wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. Napenda kukupongeza kwa kukuza Demokrasia kwa kiwango kikubwa katika chama chetu na katika nchi yetu pia. Hali hii haijawahi kutokea toka kuundwa kwa taifa letu. Hakika...
  6. Nyamtalakyono

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Mh. John Pombe Magufuli, Rais wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. Napenda kukupongeza kwa kukuza Demokrasia kwa kiwango kikubwa katika chama chetu na katika nchi yetu pia. Hali hii haijawahi kutokea toka kuundwa kwa taifa letu. Hakika...
  7. Nyamtalakyono

    Baada ya Utawala wa Magufuli, nini kitatokea?

    Kama wewe ni mcha Mungu na unasoma biblia haya mambo ni ya kawaida sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Nyamtalakyono

    Rais Magufuli aache kutukana na kudhalilisha watumishi wa umma kwa kisingizio cha maendeleo

    Pale ukweli unapogeuka kuwa matusi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Nyamtalakyono

    Uchaguzi 2020 Wanaotaka ubunge 2020 tukutane hapa

    Unataka nivunje taratibu za chama changu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Nyamtalakyono

    Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

    Hivi ni muhimu sana Makonda kwenda Marekani. Ningeshituka sana kama ningesikia amezuliwa kula. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Nyamtalakyono

    Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    Tuongee Kiswahili tu kama wachina wanavyongea kichina. Kama huelewi utatafuta mkalimani mwenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Nyamtalakyono

    Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

    Rais hapangiwi. Usitake Rais Magufuli afanye vitu kwa matakwa yenu. Leo atamwachia Kabendera kesho mtataka amwachie mwingine. Pia kutoa mfano wa wabakaji kuachiwa huo ni upuuzi. Hata Yesu aliwasamehe wazinzi ambapo kwa akili ya kibinadamu lilionekana ni kosa Kubwa na kuuwawa kwa mawe. Pia...
  13. Nyamtalakyono

    Kanda ya Ziwa kuongoza vs Kaskazini walipo wenye akili; Upendeleo?

    Acheni kupotosha. Tanzania one katoka Mugumu Serengeti Mara.
  14. Nyamtalakyono

    Naiunga mkono kauli ya Mh.Rais kwa vifungu vifuatavyo toka katika Biblia takatifu.

    Jamaa ametoa nukuu za biblia lakini kwa mawazo yako mafinyu unaanza kujibu kwa akili za kishetani.
  15. Nyamtalakyono

    Ikulu: Washtakiwa 467 wa Uhujumu Uchumi wapeleka maombi kwa DPP wakitaka kukiri makosa yao na kurejesha takribani Tsh. Bilioni 107

    Hata hivyo lazima waitwe ikulu ili wapewe maelekezo ya kufanya shughuli halali na kulipa kodi
Back
Top Bottom