Hongera Rais Magufuli kwa kukuza demokrasia

Nyamtalakyono

JF-Expert Member
Dec 17, 2015
795
479
Mhe. John Pombe Magufuli, Rais wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. Napenda kukupongeza kwa kukuza Demokrasia kwa kiwango kikubwa katika chama chetu na katika nchi yetu pia. Hali hii haijawahi kutokea toka kuundwa kwa taifa letu. Hakika wewe ni mzalendo na mbunifu.

Hata hivyo kitendo cha kukuza Demokrasia katika chama chetu cha CCM kimefanya katika uchaguzi huu ndani ya Chama chetu Cha CCM watu wengi wa rika mbalimbali kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, kitendo ambacho kitaongeza mapato ya Chama kutokana na mauzo ya fomu. HAKIKA WEWE NI JEMEDARI.
 
Nashiriki kupongeza katika mjadara huu kwa njia ya maswali kulingana na mada hii.
Demokrasia ni kukubali mawazo yake tu?

Demokrasia ndani ya chama ni hii ya kukatazwa makada wengine kuchukua fomu ya kugombea kupeperusha bendera ya chama kwenye ngazi ya Taifa?

Demokrasia ni kuweka makatazo yaliyo kinyume na sheria kua wateuliwa wake wasigombee Ubunge?
MWISHO

Demokrasia ya kukataza vyama vingine kufanya siasa kama wanavyoruhusiwa na katiba ingawa chama chetu kikiendelea kufanya siasa?
Demokrasia ni kuwatishia,kuwakanya na kuwafunga wenye mawazo na maoni tofauti naya kwake?

Demokrasia ni kufungia magazeti yanayokosoa tu na kuyaacha yale yanayo mkosoa na kumpinga?

BORA TUSEME MENGINE ILA KWENYE DEMOKRASIA TUNAMPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA....JPM NA DEMOKRASIA NI MAJI NA MAFUTA NA HUU NI UKWELI ASLIMIA KUBWA

NOTE:KIBADIRIKE CHAMA CHA MAPINDUZI
 
CCM NI WATU WA AJABU SANA. NASIKIA HUKO KILOLO, IRINGA WAMEIKARIBISHA FAMILIA YA MZEE MMOJA ALIWAHI KUWA MTUMISHI ASIYE MWAMINIFU WA KANISA FULANI KUBWA TU LENYE WAUMINI WENGI IRINGA MJINI NA WILAYANI KILOLO ILI WAWAPE UBUNGE. HII FAMILIA NA NDUGU YAO WAMEIBA PALE CHUO KIKUU CHA IRINGA, ZAMANI CHUO KIKUU TUMAINI HADI CHUO KINAFILISIKA. NAWAONEA HURUMA HAO NDUGU ZANGU NA WATANI ZANGU WA KILOLO. NI SAWA NA KUMWACHIA FISI BUCHA. HAWA JAMAA NASIKIA WANA SIFA ZA UZINZI, TABIA MBAYA ZOTE WANAZO. NASIKIA KAMA SI BUSARA TU ZA KANISA HUYO MZEE WA FAMILIA ANGEFUNGWA KWA UBADHIRIFU KANISANI. NASIKIA PIA HADI SASA YUPO CHINI YA UCHUNGUZI WA TAKUKURU KWA WIZI WA MALI NA FEDHA ZA CHUO HICHO KINACHOMILIKIWA NA HILO KANISA LINALOAMINI WOKOVU KWA NJIA YA IMANI KATIKA YESU KRISTO NA KATIKA INJILI YA YESU KRISTO AOKOAYE. NI KANISA LENYE MCHANGO MKUBWA KWA MAENDELEO YA KIMWILI NA KIROHO HASA IRINGA MJINI, IRINGA VIJIJINI NA WILAYA YA KILOLO. NI KANISA LILILOANZISHWA NA WAMISIONARI TOKA UJERUMANI.
 
Naamini kabisa mwandishi wa hii thread utakuwa nje ya nchi, umehadithiwa na rafiki zako wa lumumba uongo ukaja kuuweka hapa.

Rudi nyumbani ujionee.
 
Huu ni mradi wa chama, hauna uhusiano wowote na demokrasia kwa sababu watakaoamua nani apigiwe kura wanajulikana.

Demokrasia haianzii na kuishia kupiga au kupigiwa kura!! Unahitaji kujifunza sana mambo haya.
 
Demokrasia ndani ya chama muulize Membe

Nje ya chama nijuavyo ameiminya ile mbaya.
 
Rais atakayekumbukwa kwa udikteta nchi hii ni huyu. Ameharibu sana demokrasia ya nchi yetu na ameleta siasa mbovu za kibabe, ubinafsi, ukabila na mambo ya kienyeji. Mtu yeyote anayemsifia eti kaleta demokrasia basi mtu huyo ametumwa na anafaidika na propaganda za awamu hii. Awamu hii imefanikiwa katika jambo moja tu: propaganda.
Wakati Mheshimiwa Rais Magufuli akipigania maendeleo na kufanikiwa kuiingiza Tanzania kwenye uchumi wa kati kabla ya muda uliokuwa ukitarajiwa, jeshi la polisi wilayani Rombo limeendelea kulea na kushirikiana na wezi, wauza gongo, wauza bangi na wakabaji hali iliyosababisha wananchi wa vijiji vya Keni, Manda, Mengwe na Mamsera kuishi kwa hofu na kushindwa kujishughulisha na shughuli za maendeleo.

Kutokana na ushirikiano wa karibu uliopo kati ya wauza madawa ya kulevya, majambazi na polisi wa kituo cha Mengwe wananchi wamekuwa hawapeleki ripoti za matukio kituoni hapo kwa kuhofia kulipizwa kisasi na vikundi vya uhalifu vinavyopata taarifa toka polisi wa kituo cha Mengwe.

Kwa mfano wiki iliyopita wakala wa Mpesa kwenye soko la Kilesi lililopo kijiji cha Keni alivamiwa na majambazi yenye silaha saa 12 jioni na kupiga risasi hewani na kupora tena umbali wa kilomita 1 kutoka kituo cha polisi Mengwe lakini hakuna msaada uliopatikana.

Wananchi wa kijiji cha Manda wanajifungia majumbani ifikapo saa 12 jioni kisa uhalifu.

Tunaomba serikali itupie jicho utendaji wa polisi wilayani Rombo hususani kituo cha polisi Mengwe ambacho kimekuwa kituo cha ujambazi badala ya kituo cha polisi.

Wananchi wengi wameumizwa kwa kukatwa mapanga na kuporwa mali zao lakini hawapati msaada wa polisi.

Polisi wa kituo cha Mengwe wamekuwa wakivuruga kesi kwa makusudi hali inayosababisha wahalifu kushinda kesi ambazo walistahili kushindwa, hivyo kuongeza hofu miongoni mwa wananchi.

Polisi wilayani Rombo wanafanya kazi kana kwamba sio sehemu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania chini ya Rais Magufuli.

Tunaomba tafadhali serikali yetu sikivu ichukue hatua za haraka ili kuwanusuru wananchi wasio na hatia dhidi ya uhalifu uliokithiri.
Rombo uhalifu upo sana aisee..kuna Jamaa yangu alikuwa na ishu yake huko nikamsindikiza na usiku wakati wa kurudi tukakuta duka la jumla limevunjwa ,majambazi walivunja ukuta na ilikuwa ni mapema tu,,na kituo cha polisi mengwe kipo dakika mbili tu kutoka duka lilipo kama wanatumia pikipiki
Ila rombo daah wanaume hawapo siriasi kabisa.

Muda wote wamelewa. Kule tarakea kutembea tembea sa nne usiku na kasimu ni atari saana.

Watu wanakaba

Back
Top Bottom