We kaa unasema huna imani,wenzako ndo 2nasubiria usaili,we nenda kwenye hyo ofisi utalikuta tangazo ndugu yangu,afu kwa wale ambao hamjui hata kazi ya mshauri wa mgambo mckimbilie izo nafac maake haziwahusu.sie wilayan kwe2 2nasubiria usaili tu,kama huna imani basi,ila hii taarifa niliyowapa ni...