Wale Mnaotaka JWTZ Kazi Kwenu

Wale Mnaotaka JWTZ Kazi Kwenu

kwa hiyo wameishia kwa form six tu? vipi kwa level za degree?
 
mh! nani aende akafe maana machafuko duniani yamezidi naogopa kupelekwa sudani nisije nkachinjwa bure!
 
level ya digrii hawajatoa kwa hizo,ila mimi nimeamua kujitosa na chet cha form six,degree huwa wanaenda makao makuu kufanyiwa usaili ndugu yangu,ila zikitoka ntakwambia uende makao makuu.
 
Nimetoka kwa mshauri wa mgambo apa wilaya ya kinondoni mbona hakuja hii ishu ya Jwtz, au ni baazi ya mikoa? Msaada jameni
 
nimetoka leo kwa mshauri wa mgambo kuuliza kuhusu ss wnye degree, amedai nafasi hadi mwezi 3.

ahsante mkuu kwa information.. ngoja niwastue madogo wa class seven wahangaikie zile nyingine!
 
Zilitoka kwa wanaopenda airforce commander.walienda UDSM kutafuta watu mwaka jana kwenye mahafali ya degree
 
Suala la umri cc km wadau 2naomba mzngatie hata muda wa mwombaj aliomalza aksoma manake waombaj weng unakuta wana umr zaid kutokana na kukaa muda mref shule hasa vyuoni
 
Mshauri wa Mgambo ni Afisa wa JWTZ ktk kila wilaya Tanzania.na wengi wao ni cheo cha Captain.nadhani ndio utaratibu wa nchi.
 
Mshauri wa Mgambo ni Afisa wa JWTZ ktk kila wilaya Tanzania.na wengi wao ni cheo cha Captain.nadhani ndio utaratibu wa nchi.
 
Jaman nafac hizi za jwtz ,ztatoka lini kwa watu wa degree. Plz mwenye taarifa

Kwa wenye digrii niliambiwa zilishasitishwa kwa muda. We kuwa mvumilivu unaweza ukasikia wakiztangaza tena. Yaani ninavyozisubiri kwa hamu! Dah Mungu anipe uzima. Nitaenda hata bila kupewa mshahara.
 
Mtu wa degree akiingia jwtz akimalza mafunzo,anapewa cheo gan,yaan Rais J kabila anavyowambeleza wacongoman wajiunge na jeshi,kuilinda nchi yao,na Tanzania Amiri jeshi mkuu,ndg Dr.JK Kikwete fanya hivyo nawe kuhamasisha.
 
anakuwa luteni kamili yaani nyota mbili na diploma nyota moja aka luten usu je wataka kujua zaid??? na kwa taarifa tu siku hzi huend jwtz bila kupitia jkt mkuu
 
anakuwa luteni kamili yaani nyota mbili na diploma nyota moja aka luten usu je wataka kujua zaid??? na kwa taarifa tu siku hzi huend jwtz bila kupitia jkt mkuu

Kwamfano ameenda ktk kozi mafunzo yakamshinda wanampa cheo gani au ndo anabaki shati tupu?
 
Back
Top Bottom