Wale Mnaotaka JWTZ Kazi Kwenu

Wale Mnaotaka JWTZ Kazi Kwenu

nyamatoke

Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
31
Reaction score
3
hatimaye nafasi za kujiunga na JWTZ bila kupitia jkt zatoka,wilaya zapewa nafasi chache,kwa waliomaliza form six nafasi moja kila wilaya,kidato cha nne nafac 7 kila wilaya,darasa la 7 nafac 14 kila wilaya.umri utawanyima wengi nafac pamoja na majina ya vyeti.maelezo zaidi tembelea ofic ya mshauri wa mgambo wilayani kwako.
 
confussion
jwtz kwa taarifa zaid
muone mshaur wa mgambo, hebu clarify the relationship there
 
jombaa kaulizie tena
 
mh how comes mambo ya jwtz ukaenda muuliza mshaur wa mgambo
weka sawa hapo
 
Uhusiano upo mkuu..mshauri wa mgambo wilayani ndo anapewa taarifa na vyombo vya ulinzi mf jkt nk kazi yake ni kusaidia kurecrute wanaohitajika na jeshi husika
 
Kaaazi kwelikweli kumbe watu hawajui mshauri wa mgambo kama anahusika na usaili?
 
Ingawa sina imani ni hii taarifa ila naona wengi hawafahamu mshauri wa Mgambo, wanajua ni mkuu askari wa jiji! Jamani huyu ni Mwanajeshi anayeratibu masuala yote yanayohusiana jeshi ktk wilaya husika. Kazi yake ni kupokea maombi ya vijana wanaotaka kujinga na JWTZ, JKT na Mgambo na kuwafanyia usahili wa awali.
 
confussion
jwtz kwa taarifa zaid
muone mshaur wa mgambo, hebu clarify the relationship there
mshauri wa mgambo ni mwambata wa kijeshi wilayani au mkoa ,anakuwa afisa wa ngazi za juu ambaye anawakilisha jeshi la wananchi kwenye kamati ya ulinzi na usalama
 
ndio maana watu mnakosa kazi hivi hivi, yani hata mshauri wa mgambo mtu hujui, nenda kila wilaya wana ofisi zao utakuta wameandika. sasa mtu njeshi hulijui halafu unataka jeshi. bora uende kuwa raia mkakamavu tu.
 
ha ha ha umeona eenhee
 
Ingawa sina imani ni hii taarifa ila naona wengi hawafahamu mshauri wa Mgambo, wanajua ni mkuu askari wa jiji! Jamani huyu ni Mwanajeshi anayeratibu masuala yote yanayohusiana jeshi ktk wilaya husika. Kazi yake ni kupokea maombi ya vijana wanaotaka kujinga na JWTZ, JKT na Mgambo na kuwafanyia usahili wa awali.

We kaa unasema huna imani,wenzako ndo 2nasubiria usaili,we nenda kwenye hyo ofisi utalikuta tangazo ndugu yangu,afu kwa wale ambao hamjui hata kazi ya mshauri wa mgambo mckimbilie izo nafac maake haziwahusu.sie wilayan kwe2 2nasubiria usaili tu,kama huna imani basi,ila hii taarifa niliyowapa ni kweli na ndo maana nikakwambia utembelee ofc ya mshauri wa mgambo wilayani kwako.
 
Jaman nafac hizi za jwtz ,ztatoka lini kwa watu wa degree. Plz mwenye taarifa
 
Back
Top Bottom