Someni mliopo vyuoni na ukweli wa wazi kuwa upper second inakuweka pazuri sana linapokuja suala la cheti!!!!! Hata litapokuja suala la post grad ikitokea stiff competition watatumia GPA kupata wanafunzi sasa hili unaonaje kuwa sio jambo la msingi????!!!!
Uwezo ni mpaka upewe nafasi sasa kigezo cha kupewa nafasi ni kipi????!!! Kama hapo ndio hiyo upper second!!!!!!
Huwezi kuwa na ranking halafu linapokuja suala la kuzitumia ndio kuwe na shida????!!!!!
Mbona hamkulalamikia hii ranking system mpaka leo imekuwa applied ndio iwe tabu?????!!!
Nilikuwa napitia Tangazo la Kazi na deadline ni 14th February... Wanataka 1st & upper 2nd Class!!!!
Sasa nauliza maana yao ni nini???
Komaa upate upper second sio unalialia Tu hapa
Nilikuwa napitia Tangazo la Kazi na deadline ni 14th February... Wanataka 1st & upper 2nd Class!!!!
Sasa nauliza maana yao ni nini???
Jamani tuwe serious kdg, a fresh from school unaenda chuo kutafuta pass au lower second? For ur information ni sehem kubwa sana wanaita watu interview kuanzia mwenye upper 2nd, tutabaki kusema sehem flan wanaajiri watt wa wakubwa tu kumbe sio kweli, tupige shule tuje na GPA nzuri mitaan ajira zipo!
Kuna 1st na upper Second za chupi na rushwa lazima watambue hilo la lower second kubaniwa kama kumega demu wa Lecturer.
Wewe una akili sana! na huo ndio ukweli wenyewe kama kampuni au Shirika halikujui na wanaomba kazi ni wengi hakuna kigezo kingine na si hapa kwetu tu Duniani kote, hata ukiomba kazi Microsoft kama hawakujui wataangalia ufaulu wako kwanza ndio waanze kuangalia mengine!
Jamani tuwe serious kdg, a fresh from school unaenda chuo kutafuta pass au lower second? For ur information ni sehem kubwa sana wanaita watu interview kuanzia mwenye upper 2nd, tutabaki kusema sehem flan wanaajiri watt wa wakubwa tu kumbe sio kweli, tupige shule tuje na GPA nzuri mitaan ajira zipo![ /QUOTE]
Inategemea pia hiyo First na upper umeipataje,wengi huporomoka ktk interview,hivyo huwazibia wengine wanaojiamini,tunajua wengi hutumia kila aina ya mbinu kupata GPA KUBWA,Assignment hazieleweki TEST,UE, Changamoto ktk ajira now ni acadenic results working experinces....
Mkuu intavyuu itamcheua tu tena kuna kitu ujue uki present vyeti vyenye GPA kubwa mbona hata maswali yake yanakuwa ya GPA hiyo hiyo yaani ni nondo kwenda mbele hivyo kama ni ya kubebwa amini hapenyi na atatoka na aibu mbaya kabisa!!!!!!
Ndo maana nashangaa mtaani watu wenye 1st na upper second class wapo kibao wanasaga rami.