Recent content by Nyamagembe

  1. Nyamagembe

    GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Mkuki ni kwa nguruwe ndugu yangu, yaani hiii nchi hiii, ptuuuuh!
  2. Nyamagembe

    GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Mkuki ni kwa nguruwe ndugu yangu, yaani hii nchi hiiii.ptuuuuuh
  3. Nyamagembe

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Leo ni leo, lazima tuone watu wazima wanalia leo.
  4. Nyamagembe

    Hongera Iddi Ligongo na Mary Mgawe

    Safi sana, hongera kwao nyingi sana.
  5. Nyamagembe

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Kumbe amekuja mpaka na watoto wake?? Mm nilijua anakuja na first lady tu. Duh!!
  6. Nyamagembe

    Type ya Husband.................

    hahahahahahah, ur very ryt!!! Yani utaomba ardhi ipasuke uinge.
  7. Nyamagembe

    kuelekea kwenye HIV test kabla ya Ndoa jasho limeanza kunitoka

    Kabla hujaenda kupima, fika mbele za Mungu wako tubu dhambi zako zote na uombe msamaha kwa yote uliyokwenda kinyume, then jikabidhi kwake atakupa nguvu na ujasiri utakwenda kupima na majibu yatakuwa salama tu. Kila la heri Kaka.
  8. Nyamagembe

    Msaada tafadhali………

    Amen. Asante.
  9. Nyamagembe

    Msaada tafadhali………

    Asante kwa ushauri, nitafanyia kazi.
  10. Nyamagembe

    Msaada tafadhali………

    Pole my dear ngoja tusikie wataalamu watatushauri vp, na pia tusiaache kumshirikisha Mungu mpnz.
  11. Nyamagembe

    Msaada tafadhali………

    Mm ni binti, ninahitaji ushauri na msaada wa kitabibu pia if possible, toka nimekuwa (means nimepevuka) siku zangu yaani hedhi haziendi kwa mpangilio(yaani sina mzunguko maalum kama ilivyo kwa wanawake wengi). Mfano natoa summary ya siku zangu toka May 2012, mtiririko ni kama ifuatavyo nilipata...
  12. Nyamagembe

    Maoni yenu tafadhali....

    Smile my dear, its just happened mpnz, hata mm nilikuwa nawish ivo but ndo imeshakuwa ivyo.
  13. Nyamagembe

    Maoni yenu tafadhali....

    I do real love him, nilitaka kupata maoni yenu ndugu zangu, na swala la kumwambia nilitaka ajue ili niwe na amani, coz siku akija kujua anawezakulipokea tofauti halafu itaniumiza sana. Asanteni wote, ushauri wenu nitaufanyia kazi.
  14. Nyamagembe

    Maoni yenu tafadhali....

    Majibu mengine siyo mazuri, n'way una uhuru wa kuchangia chochote unachojisikia kuandika. Asante.
Back
Top Bottom