Recent content by nyalubanja

  1. N

    Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

    Hapa mahakama iseme bilakuogopa fedha ya mlipakodi imefujwa.HONGERA NGUVU YA UMMA
  2. N

    Mwigulu Nchemba amekiri kuhusika na movie ya Lwekatare - ashikwe na kuunganishwa kesi hiyo

    Heri mbunge anayepambana kukomboa taifa kulikombunge anaye pambana kwajili ya kajimbolake pekee ndani yataifa la watumwa LISU sio mbunge wajimbo nimbunge wakitaifa
  3. N

    Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

    loh umeonesha ukomavu kutoka tumboni kuelekea chini semakamawamevunja katiba,wamechakachua uchaguzi
  4. N

    Chadema ya weweseka uchaguzi ccm na moto wa cuf arusha

    Mkono wa mjinga huandika kilamahali
  5. N

    Tuongee Asubuhi: Ongezeko na Majaaliwa ya Vyama Vidogo vya Siasa kuelekea 2015

    Demokrasia ni kuruhusu matendo yote yanayompa mtu uhuru wa kufanya atakavyo pasipo kuvunja sheria. Waache watu wachague wapi pa kwenda uhuru usigandamizwe
  6. N

    Anayebeza haya maendeleo basi hana nia njema na nchi yetu.

    unashangaza sana ukikopa mahari huwezi ukamtambia mke ati wekidume niuendawazimu kwa baba na mama mkwe tu.
  7. N

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    1.namchagua slaa coz nimweledi 2.anafahamu matatizo ya watanzania 3.hana majungu wala makundi kama zitto 4.hanatamaa wala wivu wakijinga na uchu wa madalaka
  8. N

    CUF Arusha ngoma nzito, operation V4M yakwama

    cuf wakukumbushwe ukinga kunya kwa tembo utapasuka msamba (CHADEMA TEMBO HAIIGIKI)
  9. N

    Wenje aeleza sababu za Pinda kuzomewa Mwanza

    Mh;wenje ukosahihikabisa maanaviongozi wanaakili za kushikiwa tu.mizinga 20 inapaswa ikaguliwe kwabaisikeri maana gari hamsini kila gari litumie litaishirini mara hamsini mara2000 ni millioni 2 kiongozi mwenye elimu ya dalasa la 7 angetuma mtuwabaiskeri na million 2 waegenunua mizinga bora kama...
  10. N

    John Mnyika amuita Rais Kikwete dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge

    huyujamaa namanisha kikwete nidhaifu kuliko kawaida jiulize kamaaliapa kuilinda tanzania ilikuwaje ndege tena yakijeshi ikatua na ikachukua wanyama wetu twigavifaru na siyosungula yaanitwiga harafu rais kimya je almasi,dhahabu na madinimengine ambayo nipunje tu wamechukua kiasi gani.kweri rais...
  11. N

    Wanaohama CCM ni vinyago - NAPE

    nduyangu kwanzaheshima kwako huondio ukweriambaounapashwa usemwekwasauti kubwasana.ccm wameishiwasera zakuongoza taifa nivigumu kutofautisha kaulizao na zamateja maanapamoja na maneno yaliyosemwa na lusinde hayatofautishwi na maneno ya mateja na hakuanzia hapotu pia aliwahikusema bungeni ati...
  12. N

    Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

    jamani nduguzangu iereweke kuwa mh.sio kisima na siombunge wakwanza ubungo pia yeyehapangibajeti wakulaumiwani serikari ya ccm ambayokwamiaka hamsini imeshindwakuletamaji hata yachunvi.
  13. N

    January Makamba ajifananisha na Sokoine na Mrema, anafanana nao?

    Huyujamaa nihovyo kabisa maana kamawatuwangejua rafu alizomchezea mzee sherukindo wangeona alivyo wa hovyo
  14. N

    Mkakati wa CCM kuchelewesha katiba mpya huu hapa...

    Niliwahi kumwambia jamaa yangu kuwa ilikuepushavita kwa tuanze na tume ya uchaguzi.ili tukipata rais safi ndiyotuundekatiba mpya kamasihivyo jiandaenikwavita maana ccm hawakotayari kuundakatiba mpya.
  15. N

    Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

    The new day has come
Back
Top Bottom