Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 697
Mkuu wangu nikisema mimi nitakuwa live nitakuwa ninakosea sana kwa sababu mimi si mtandao.Mimi ni Molemo.Ni lazima niipe haki yake JF.Mimi ni lawyer by proffessiona sasa nikuulize hivi Star TV ikitangaza mkutano wa CDM utasema mtangazaji wa Star TV yuko live badala ya kusema Star TV iko live? Je yule mwandishi angeweza kurusha ule mkutano live bila chombo chenyewe cha kurushia matangazo? Narudia tena kuiambia Dunia mtandao wao waupendao wa JF utakuwa Live kutoka viwanja vya Jangwani.
Usibishane na watu waliomo ndani ya box.