Hapa Kuna rasilimali inauzwa ili tuambiwe ni udhamini wa yanga na simba.
Mwekezaji anakuja kuwekeza kwenye mpira wa yanga na simba au anakuja kuvuna madini na pesa za bandari yetu?
Tusipokaa sawa tunakuwa watumwa
Waliabudu Mungu.
Waliamini Kuna nguvu inayofanya kila kitu kitokee.
Hivyo waliiomba kwa kila shida. Habari za mizimu ni za wakoloni na dini zao ili kuchafua Imani za kiafrica
Bila kusomba wanafunzi wa shule mbali mbali mkutano usingekuwa na watu.
Mwambieni huyu dada Mbeya ni mji usiokuwa na miundombinu kabisa.
Hakuna mpango wa ujenzi wa mji.
Mitaa haipitiki.
Mji unategemea bara bara moja tangu uhuru.
Watakapoanza kuijenga kazi zitakuwa hazifanyiki.
Unaweza Muacha huyo na ukaoa mwingine na usipate mtoto kabisa na huyo mwingine.
Jitahidi kuwatunza.
Nunua chakula na kila kitu weka nyumbani kwao kama unahisi hela zinakuuma.
Muachie hela kiasi za mboga na dharula
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.