Natafuta mume

Natafuta mume

Hebu tuambie kwanza ilikuwakuwa vipi ukazaa huyo mtoto
Na vipi baba mtu yuko wapi
 
Hello
Mwenzenu upweke utaniuaNatafuta mwanaume ambae tutenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume.
Sifa zangu;
Umri -37yrs
Mtoto mmoja
Mjasiliamali
Mkristo- KKKT

Sifa za mume:
Umri 37yrs na kuendelea
Mkristo
Mwenye hofu ya Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kipato cha kutosha kuhudumia familia

Nb. Akiwa Dar itapendeza zaidi

Naimani nitampata humu ndani karibuni sana
ungekuwa muislamu @ mshana jr hana baya....
 
Hello
Mwenzenu upweke utaniuaNatafuta mwanaume ambae tutenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume.
Sifa zangu;
Umri -37yrs
Mtoto mmoja
Mjasiliamali
Mkristo- KKKT

Sifa za mume:
Umri 37yrs na kuendelea
Mkristo
Mwenye hofu ya Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kipato cha kutosha kuhudumia familia

Nb. Akiwa Dar itapendeza zaidi

Naimani nitampata humu ndani karibuni sana
Unapenda Kulea Yatima? Yupo ndugu wangu Anaweza Kufaa Ni Mpole Mtu mwenye Upendo ila anapenda kuishi na Watoto wenye mazingira Magumu. Umri ni 40s. Kama upo interested nicheki inbox
 
1.Mwenye hofu ya Mungu
2.Mwenye upendo wa dhati
3.Mwenye kipato cha kutosha kuhudumia familia
SASA MBONA UNATAFUTA WANAUME WATATU TOFAUTI?
 
Hello
Mwenzenu upweke utaniuaNatafuta mwanaume ambae tutenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume.
Sifa zangu;
Umri -37yrs
Mtoto mmoja
Mjasiliamali
Mkristo- KKKT

Sifa za mume:
Umri 37yrs na kuendelea
Mkristo
Mwenye hofu ya Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kipato cha kutosha kuhudumia familia

Nb. Akiwa Dar itapendeza zaidi

Naimani nitampata humu ndani karibuni sana
Sawa
 
Wanawake bhana,

Kuna mda hamuelewi mnataka nn

Yaani Wewe ndo mwenye shida,

unalalamika upweke unakutesa sana,

Afu Bado unaweka shart la "kipato Cha kutosha kuhudumia familia"

Nilitarajia sharti la "kampani" na "muda Kwa ajili Yako" ndo vingekua kipaumbele
Huyo shida yake pesa siyo upweke
 
Hello
Mwenzenu upweke utaniuaNatafuta mwanaume ambae tutenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume.
Sifa zangu;
Umri -37yrs
Mtoto mmoja
Mjasiliamali
Mkristo- KKKT

Sifa za mume:
Umri 37yrs na kuendelea
Mkristo
Mwenye hofu ya Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kipato cha kutosha kuhudumia familia

Nb. Akiwa Dar itapendeza zaidi

Naimani nitampata humu ndani karibuni sana
Wenye kipato wameshachukuliwa.
Wewe tafuta aliyemaliza chuo kikuu na anatafuta kazi.
Utanishukuru.
HIVI WANAWAKE MNATUONAJE?
UMRI UMEENDA
UNA MTOTO NA BABA YAKE YUPO
UNATAFUTA MWANAMME MWENYE KIPATO KIZURI, MWENYE IMANI YA DINI, AMBAYE HAJAOA. MREFU, SMART.UMRI 34 PLUS
Mwanaume mwenye sifa hizo ana tatizo gani hadi aoe singo mum?
Ndugu zake si wataona karogwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom