Recent content by nyalafu2

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha CHADEMA 'kuimport' viongozi wa Kanda kutoka Kaskazini, je nini nyuma ya pazia?

    Hawa jamaa (WACHAGA na wapambe wao...) wanajichimbia kaburi. Ngoja kaburi lao ndo tunamalizia kuchimba na kuweka ki-mwana ndani!!!
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

    Wewe unajituma? Maana niny wanawake mnapenda wanaume wajitume wakati wao ...wapo tuuuu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na mfumo Kristo

    Ulipo weka Title yako tuuuuu, nilichoka. Acheni mambo ya kulia lia.... kwani wasio Waislamu wanapata wapi vya bure? Huku mtaani tunanunua maduka tofauti? Kwani tunapanda dala dala tofauti? Tunasoma shule tofauti? Mboa awamu ya 4 hizi hoja hazikuwepo? Sikatai utafiti unaopendekeza... Ila mimi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi Wa Habari: Tunafanyaje na Naibu Spika Tulia Ackson?

    Huyo NAIBU SPEAKER....Mhhhh. Halafu, kwani Speaker mwenyewe yuko wapi?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Serikali kubana matumizi zaidi, sasa kuunganisha taasisi zote zinazofanya kazi zinazofanana

    Mkuu wa wilaya = Mkurugenzi wa wilaya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Serikali kubana matumizi zaidi, sasa kuunganisha taasisi zote zinazofanya kazi zinazofanana

    Napendekeza NEC iondolewe...NIDA wafanye kazi zote.:p
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Chuko Kikuu Cha Dar-es-salaam kuanzisha masomo ya udaktri bila kuwa na wahadhiri zisipuzwe

    Nadhani ni muda wa serikali kuondoa haya makando kando...Chuo kikuu cha DSM tunakitegemea sana.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    Chini ya godoro?? Pochi yangu kama kivuli changu!!!!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuchukua Coordinates za eneo lako au unalotaka kulimiliki

    Tuwasiliane: 0785012010,
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la kukataa mwaliko wa Uingereza na kwenda Uganda, Rais sikuungi mkono

    Hiyo lugha ya Waingereza ss inatuhusu nn? Maisha yatakwenda bila hata hiyo lugha...;)
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mtu mwaminifu sana

    email: Email: gideon.ada.@yahoo.co.uk
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mtu mwaminifu sana

    1. Niliwahi sema uongo kwa boss. Nilichelewa kufika airport nikamiss flight ya kwenda Moshi. Hakuwahi kujua maana nilichukua lori la magodoro nikafika asb kazi ikapigwa kama kawaida. 2. Sijawahi kudhulumu mtu. 3. Nitampa boss kilicho chake i.e. 90 maana ndio bei nitakayo uza hiyo bidhaa...
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

    Yaani bado umerudi kuongea huo utumbo wako hapa jukwaani???? Poteaaaaaaaa.....Sijaona mwanume feki kama wewe
  14. N

    JamiiForums Tanzania Bomba la Mafuta: Kenya wamkomalia Museveni

    Nadhani ni muda mwafaka kwa Tanzania kusimama kiume. Hawa nyang'au lazima tuheshimiane. Kama Marais wawili wamezungumza kwenye media kuna sababu gani Kenya kufanya negociations tena ktk hilo? Hakuna sababu ya kuwalazimisha Waganada. Kama watawithdraw... ok. Ila sioni sababu ya EAC kama hali ndo...
Back
Top Bottom