Rais Magufuli na mfumo Kristo

Rais Magufuli na mfumo Kristo

Status
Not open for further replies.
Awali ya yote naomba nitangulie kusema na mapema kuwa yawezekana wakatokea watakao tofautiana nami na pengine hata kunishambulia. Hii ni kwasababu kila mmoja ana haki ya kuwa na mtazamo wake na hata ujasiri wa kufumbia macho dhulma pale inapofanywa kwasababu dhulma hiyo haimgusi yeye wala familia yake.
Wakati tunaelekea kupata uhuru mwishoni mwa miaka ya 1960, wengi tunakumbuka kulikuwa na mgawanyiko miongoni mwa wapigania uhuru. Mgawanyiko huu ulipelekea kuwa na vyama viwili, TANU na AMNUT. Japo AMNUT haikuwa na nguvu sana kiasi cha kuitikisa TANU, bado ukweli unabaki kuwa yalikuwepo makundi mawili tofauti. Moja katika mtazamo wa AMNUT ilikuwa kwamba, ilikuwa ni mapema kwa Tanganyika kupewa uhuru, kwakuwa kwa hali ilivyokuwa kwa wakati ule, TANU kupewa uhuru ilikuwa kuwapa nafasi Wakristo wanufaike na kufaidika na uhuru peke yao huku Waislamu wapigania uhuru wakiishia kuwa raia wa daraja la tatu. Kwa maoni yao, ilikuwa ni bora kuchelewa kupata uhuru ili kupata muda wa kusawazisha tofauti zilizokuwepo, hasa za kielimu, baina ya wananchi wa dini kuu mbili, Uislamu na Ukristo.
Katika kujibu hoja hiyo, msimamo wa Mwalimu Nyerere ulikuwa kwamba, mkoloni yule yule aliyewakandamiza Waislamu wakabaki nyuma, hawezi kutatua tatizo hilo. Badala yake, ni jukumu la Viongozi katika Tanganyika huru kushughulikia tatizo hilo. Kisiasa, ni wazi hoja ya Mwalimu Nyerere ilikuwa na maana, na hivyo Waislamu wengi wakamuunga mkono. Kutokana na jinsi Mwalimu Nyerere alivocheza karata zake za kisiasa katika kupigania uhuru na hata baada ya kupatikana uhuru, ilimjengea imani kwa Waislamu na wananchi kwa ujumla.
Kutokana na Imani hiyo, na hasa Waislamu, ilikuwa ni vigumu kwa mtu kumnyooshea kidole kuwa hatendi haki. Na akithubutu, atashambuliwa na kutengwa. Ni kwa namna hii Sheikh Suleiman Takadir alipata misukosuko na hata kutengwa na Waislamu wenzake. Matokeo yake, malalamiko na madai ya ubaguzi na hujuma dhidi ya Waislamu wakati wa serikali ya Awamu ya Kwanza, imebakia kuwa historia chungu kwa Umma wa Kiislamu nchini Tanzania. Kama alivyojisemea Remmy Ongala, imekuwa ni kilio cha samaki, machozi yamekwenda na maji. Hakuna hata anayesikia na kujali kilio cha Waislamu katika walioshikilia ‘mpini.’
Wakati wa kamapeni, Mh. John Pombe Magufuli mara kadhaa alisisitiza kuwa hatowabagua watu kwa rangi zao, kwa makabila yao wala kwa dini zao. Hii ilileta faraja kuwa Mh. Magufuli ataleta usawa na haki katika serikali yake. Hata hivyo, Rais John Pombe Magufuli (JPM) nae ameingia kwa gia ileile. Amejitahidi kutengeneza mazingira ya kuaminiwa na ameaminika. Kila kona ni slogan za Rais Magufuli. Kila mtu anamuunga mkono Mh. Rais Magufuli. Sasa katika mazingira haya na katika kuzingatia historia na uzoefu wa mambo wakati wa Mwalimu Nyerere, kuna haja ya kuwa makini. Katika mazingira haya yanayoendelea kujiumba, iwapo atatokea wa kulalamika kwamba kuna hujuma dhidi ya kundi fulani, iwe la kidini au kibaila, watu watamshangaa. Na ni hivi majuzi tu kakutana na Mufti Zuber wa BAKWATA naye akamsifia sana. Kipi tena cha kuthibitisha kuwa Rais ni mtenda haki, asiye bagua watu zaidi ya heshma aliyopewa Mufti kukaribishwa Ikulu?
Mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Magufuli alianza kwa hotuba kali sana wakati akilizindua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hotuba ile ilileta hamasa ya hali ya juu sana na hata kuamsha ari ya uungwaji mkono kutoka kwa Watanzania wa ngazi ya kati na chini. Kilichofuatia ni kuanza na operation aliyoiita operation ya kutumbua majipu! Operation hii ilifanyika kwa kuanzia bandari na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Msisimko na shangwe za uungwaji mkono zilisikika kila kona ya Tanzania. Haikuchukua muda, akaanza kuonekana kama mtu aliyekuja kulikomboa taifa letu – Naam, mazingira yakawa wazi kufanya atakalo na hakuna mtu wa kulalama wala kudadisi. Kwanini? Kwasababu ameaminiwa kuwa yeye anafanya kwa maslahi ya taifa. Yeyote atakaye nyoosha kidole kudadisi au kuhoji, anaonekana mtu wa ajabu tena anataka kukwamisha harakati za kizalendo.
Ubaya wa mazingira kama haya ni kuwa huenda watu wakawa wazito kumsaidia Mheshimiwa Rais pale wanapohisi kwamba mambo hayaendi sawa. Wingu la ‘umaarufu’ na kuungwa mkono litawazuiya watu kuwa wakweli kwa Rais kwa kuhofia yasije yakawakuta yaliyomkuta Sheikh Suleiman Takadiri. Lakini kwa Mheshimiwa Rais naye, kwa kusikia nyimbo na ngonjera za ‘sifa’ tu na kuungwa mkono, anaweza asipate fursa ya kutizama pale penye dosari ndogo ndogo ambapo pangehitaji marekebisho.
Binafsi naamini kwamba, haitakuwa tunamsaidia Mheshimiwa Rais JPM iwapo hatutasema pale tunapoona kuwa mambo hayaendi sawa kama ilivyo dhamira njema ya Rais. Mheshimiwa Rais JPM ni binadamu na katika ari na hamasa ya kulitumikia taifa anaweza kujikwaa hapa na pale. Na hivyo ni wajibu wetu kumsaidia Rais wetu kipenzi. Na hapa mimi nitazungumzia yale ambayo nadhani hata katika mazungumzo yake na Mufti Zuberi hawakuyagusa.
Uteuzi wa Baraza la Mawaziri
Uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kwangu mimi, umeacha maswali mengi kuliko majibu. Japo inashangaza Waislamu kupigwa ganzi na kushindwa kupaza sauti, pengine ni kutokana na mazingira ya “kizalendo” yaliyokwishajijenga. Ukiangalia Baraza la Mawaziri alilotangaza Mh. Magufuli, utaona kuwa Waislamu katika Baraza hilo (Japo kwa majina yao tu) ni 9 (8?) kati ya 34 sawa na 24%! tu. Hii ina maana Wakristo katika Baraza la Mawaziri ni 76%!
Tunajua hii ni ‘Awamu ya Hapa Kazi tu’, na kigezo cha mtu kuingia katika Timu ya Kumsaidia Rais, ni uchapa kazi. Swali ni je, hakuna Waislamu wachapa kazi wenye sifa za kuwa mawaziri wa kumudu kasi ya Mheshimiwa Rais JPM?
Tunajua pia kuwa ‘Imani’ ya mtu, haitafsiri utendaji kazi wake au uvivu wake au hata ufisadi wake na hivyo katika “Hapa Kazi Tu”, hoja ya Imani wakati wa uteuzi, yaweza kuwa haikuzingatiwa. Lakini pengine tujiulize, itakuwa halali na sawa kisiasa, watu wa dini moja kufanya maamuzi na kuamua mustakabali wa nchi hii peke yao? Je, hii inasaidia vipi kujenga umoja na mshikamnao wa Watanzania na kuondoa ubaguzi? Je, hii ndiyo tafsiri stahiki (kivitendo) ya kauli na ahadi ya Mheshimiwa Rais Magufuli kwamba ataongoza kwa haki bila ya kubagua dini za watu?
Wapo mawaziri waliotolewa kutoka sehemu mbalimbali na hawajawahi kuwa viongozi wa kisiasa, haiingii akilini kwangu kuwa Waislamu hawapo!
Ikiwa inadhaniwa kuwa suala la imani sio muhimu katika uteuzi, hii ina maana inahalalisha watu wengi wa dini moja kufanya maamuzi ya nchi peke yao. Labda tusaidiane kwa pamoja, tunajua katika nchi hii zipo Dini Kuu mbili, Uislamu na Ukristo. Je, iwapo haya ya 20 kwa 80 yaliyo kwa Waislamu yatageuziwa kwa upande wa pili, wenzetu wataridhia tukitumia hoja ile ile ‘serikali haina dini na hatuangalii dini ya mtu?”
Aliwahi kulalamika Mzee Mtei ilipoteuliwa Tume ya Mzee Warioba juu ya Katiba akisema kuwa kulikuwa na Waislamu wengi na akasisitiza kuwa hoja kwamba nchi haina dini na haiongozwi kwa misingi ya dini, haistahiki kutolewa. Akasema, hatuwezi kupinga ukweli kwamba mtizamo na maamuzi ya watu yanaathiriwa na Imani za dini zao. Lakini tutakumbuka pia kwamba wakati wa Mzee Ally Hassan Mwinyi ilitokea katika Baraza lake la Mawaziri, yakaongezeka majina ya Waislamu kinyume na ilivyokuwa ada. Japo idadi yenyewe wala haikufikia robo ya Mawaziri wote, lakini zikapigwa sana kelele na kudaiwa kuwa Mwinyi anataka kuisilimisha Tanzania. Hayo yaliwahi kutokea pia kwa Rais Mstaafu JK alipoteuwa idadi fulani ya Mabalozi ikaonekana kuwa kulikuwa na majina mengi ya Waislamu. Nakumbuka marehemu Profesa Seithy Chachage aliwahi kutupiwa swali kwamba haoni kuwepo kwa majina mengi ya Kiislamu ni dalili kuwa Kikwete anapendelea Waislamu? Jibu la Profesa Chachage lilikuwa kwamba inabidi kwanza ufanyike utafiti tujue serikalini katika nafasi zote muhimu, kuna Waislamu wangapi na Wakristo wangapi, ndio tuseme.
Kama huu ndio ukweli kama alivyoubainisha Mzee Mtei, na kama hii ndiyo hali unapogeuza mambo kwa upande wa pili, kwa nini idhaniwe kuwa Waislamu wao wataridhia kuona Baraza la Mawaziri na ‘Timu’ ya Watendaji Wakuu Serikalini katika Uwiano huu wa 20 kwa 80?
Kama Mh. Rais anaamini kuwa kuna Waislamu walimpigia kura na hata kumpigania hata akashinda, siamini kuwa walikuwepo tu Waislamu wa kupiga kura, lakini wa kushika nafasi za Mawaziri na Makatibu Wakuu, tabu kuwapata.
Katika mambo ambayo Waislamu wamebaki na butwaa, ni uteuzi wa Mh. Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu. Mtu ambae alisababisha mpaka maandamano dhidi yake kutokana na tuhuma za hujuma iliyokuwa ikidaiwa kufanywa dhidi ya Waislamu akiwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa. Mh. Ndalichako alidiriki kubadilisha matokeo ya mtihani yaliyokuwa tayari yametangazwa baada ya kupigiwa kelele! Wakati akiwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania. Leo ndio kapewa nafasi ya kuwa Waziri wa Elimu!
Uteuzi wa Makatibu Wakuu
Uteuzi wa Makatibu Wakuu haukuwa na nafuu kwa Waislamu hata kidogo. Kwani kati ya Makatibu Wakuu na Manaibu wao walioteuliwa wapatao 50, kati yao Waislamu japo kwa majina ni 10 (11?) tu sawa na 20%, huku waliosalia sawa na 80% ni Wakristo. Hawa ndio watendaji wa serikali. Hawa ndio wanaopanga na kuratibu mipango ya maendeleo ya nchi. Bado hoja ni zile zile, inawezekana ikawa ni kweli kuwa hakuna Waislamu wachapakazi na wenye sifa za kuwa Makatibu Wakuu wanaoweza kumudu kasi ya Mheshimiwa Rais JPM? Kama ilivyokuwa kwa Mawaziri, wapo pia Makatibu Wakuu walioteuliwa wakitokea katika taasisi za elimu ya juu na taasisi nyingine. Je, huko hakuna Waislamu wenye sifa na uwezo wa kushika nyadhifa hizo? Inawezekana wakawa wapo, lakini Mh. Rais hakuona haja ya kuzingatia uwiano wa dini mbalimbali katika uteuzi. Lakini mtu anaweza kuhoji, kama ingekuwa si kuzingatia imani, basi ingetokea bahati mbaya Waislamu nao wakawa wengi katika orodha ya Makatibu Wakuu kama ilivyokuwa kwa Wakristo katika Baraza la Mawaziri. Lakini bahati mbaya imekuwa ya kuwaangukia Waislamu kwa nyanja zote! Sijui Sayansi ya Bahati Nasibu-sio jambo la kupanga (Science of Coincidence), inasemaje hapa.
Ikumbukwe kuwa Mh. Rais aliahidi wakati wa kampeni kuwa, katika utawala wake hatowabagua watu kwa rangi zao, makabila yao wala dini zao. Kauli sahihi kabisa. Lakini labda tujiulize, kipi cha kuthibitisha ahadi hii? Kama nilivyotangulia kusema, yawezekana katika kuongozwa na ahadi hiyo ya kutokubagua, Mheshimiwa Rais hakutizama kabisa suala la dini katika uteuzi wake. Lakini labda pengine tuligeuze jambo hili liwe kwa upande mwingine. Asilimia 10 ya Mawaziri Wakristo, 90 Waislamu, asilimia 80 ya Makatibu Wakuu, Waislamu, waliosalia dini nyingine!
Huu ni mwanzo wa safari ndefu mbele yetu. Tunamuomba Mh. Magufuli atembee juu ya maneno yake, atende haki. Hoja za kisiasa kwamba katika uteuzi hatujali dini bali sifa, haitatusaidia sana na wala haifanyi kazi. Labda atokee mtu aje na utafiti wa kisayansi kuthibitisha mambo mawili. Moja, kwamba kadiri alivyochambua, hao asilimia 20 tu, ndio Waislamu pekee aliopata katika seti ya Waislamu nchini wenye sifa za kuwa Mawaziri na Makatibu Wakuu. Lakini pia katika utafiti huo, atuonyeshe sifa zilizozingatiwa katika hao waliowateua ili kuweza kuona kwamba kweli katika ‘seti’ ya Waislamu wenye sifa, hakuna mwenye sifa hizo
.

chanzo: anuur newspaper

mytake
tazama list ya wakuu wa mikoa, tazama list ya wakuu wa wilaya.

Ulipo weka Title yako tuuuuu, nilichoka. Acheni mambo ya kulia lia.... kwani wasio Waislamu wanapata wapi vya bure? Huku mtaani tunanunua maduka tofauti? Kwani tunapanda dala dala tofauti? Tunasoma shule tofauti? Mboa awamu ya 4 hizi hoja hazikuwepo?

Sikatai utafiti unaopendekeza... Ila mimi nashauri huyo Consultant sijui...Aaanze na awamu ya 4 (miaka yote 10) ilikuwaje??? na sasa (kwa miezi hii 6) hali ikoje?

HAPA KAZI TUUUU!!!

Binafsi sipendi kabisa kusikia hizi vitu za Dini....dini, Ukristo...Uislamu etc.
 
Sifa kuu zinazoangaliwa kwenye uteuzi ni uwezo wa mtu kwenye majukumu husika si ukubwa wa Sigda usoni, sura,dini,jinsia wala udogo au ukubwa wa makalio ya mtu.
Kwahio wenye uwezo Waislamu ni 20% tu?
 
Ndugu, umeandika mambo mengi kwa kutumia mihemko tu.

Udini ni mind - set ya mtu.

Je! Kiongozi akiwa mkristo au muislamu, inakuzuia nini wewe kupata mkate wako wa kila siku?!

Imefikia wakati sasa naomba tuachane na upuuzi huu!

Fanya kazi halali ili upate kipato halali.

#ACHA KUTEGEMEA MBELEKO ZA DINI AU KABILA#
Umesema ukweli sababu hata mimi kabila langu halipo kwenye uwaziri, ukuu wa mikoa wala ukuu wa wilaya lakini si lalamiki. Sababu itaanza hivyo wakristo hatupo, au waislam hatupo wengi kwenye huo uteuzi, oh wapagani wametuacha, mwisho wachaga hatumo mara wahaya wametuacha, sijui mwisho tutafikia wapi? Ulalamishi haujengi tuchape kazi
 
HAWA WATU WANA MIHEMUKO YA KISHENZI SANA.
TUANGALIE MFANO HUU HALISI
SASA MAELFU KWA MAELFU YA WAISLAM WAARABU WA SYRIA NA IRAK WANAUAWA KATIKA VITA YA MAGAIDI WALAU WATU 100 KILA WIKI.LAKINI HUWEZI SIKIA MAANDAMANO WALA WALE WAISLAM WANAOSWALI PALE KKO IKIFIKA IJUMAA HAWAANDAMANI BAADA YA SWALA.
NGOJA HAMAS WAWATIBUE MAYAHUDI,NAO WAJIBU WAUE WATU 20 TU,HAO UTAONA WANAMWAGIKA BARABARANI WANAFUNGA BARABARA KULE KKO ETI SOLIDARITY NA WAISLAMU WA PALESTINA.PTUUUUUUUU
toa bange hapa wewe mla nguruwe wakristo wanaouanaw huwaoni ptuuuuu
 
Hao wakoloni waliwadidimiza vipi waislam?

Ni kwa namna gani waislam walinyimwa elimu kabla ya uhuru?

Ni sehemu gani ya dunia ambayo waislam walishawahi kukiri kwamba wanatendewa haki pale walipokuwa chini ya uongozi aasiye mwislam? Nchi gani ya kiislam inamaridhiano na amani ya kweli zaidi ya kunyamazishana, kutishiana, kusalitiana, kusingiziana, kuchinnjana na kuooneana hata wkaiwa peke yao?

Kwa nini unapend akuleta habari za dini yako sehemu kuna utulivu ili kuvuruga amani?

Ni lini ulifanya sensa ukagundua imani za hao mawaziri 80% kwamba ni Wakristo?

Hivi uislam maana yake ni vurugu na fujo?

Uteuzi wa kikwete aliyeua taifa huoni kama ulikuwa na kasoro kubwa? Kwa hiyo unataka tuendelee kushangilia mfumo fisadi wa kikwete?

Tafadhali bwana, naoma ulete mada zenye akili. TEna usikumbushe watu machungu hapa.

Awali ya yote naomba nitangulie kusema na mapema kuwa yawezekana wakatokea watakao tofautiana nami na pengine hata kunishambulia. Hii ni kwasababu kila mmoja ana haki ya kuwa na mtazamo wake na hata ujasiri wa kufumbia macho dhulma pale inapofanywa kwasababu dhulma hiyo haimgusi yeye wala familia yake.

Wakati tunaelekea kupata uhuru mwishoni mwa miaka ya 1960, wengi tunakumbuka kulikuwa na mgawanyiko miongoni mwa wapigania uhuru. Mgawanyiko huu ulipelekea kuwa na vyama viwili, TANU na AMNUT. Japo AMNUT haikuwa na nguvu sana kiasi cha kuitikisa TANU, bado ukweli unabaki kuwa yalikuwepo makundi mawili tofauti.

Moja katika mtazamo wa AMNUT ilikuwa kwamba, ilikuwa ni mapema kwa Tanganyika kupewa uhuru, kwakuwa kwa hali ilivyokuwa kwa wakati ule, TANU kupewa uhuru ilikuwa kuwapa nafasi Wakristo wanufaike na kufaidika na uhuru peke yao huku Waislamu wapigania uhuru wakiishia kuwa raia wa daraja la tatu. Kwa maoni yao, ilikuwa ni bora kuchelewa kupata uhuru ili kupata muda wa kusawazisha tofauti zilizokuwepo, hasa za kielimu, baina ya wananchi wa dini kuu mbili, Uislamu na Ukristo.

Katika kujibu hoja hiyo, msimamo wa Mwalimu Nyerere ulikuwa kwamba, mkoloni yule yule aliyewakandamiza Waislamu wakabaki nyuma, hawezi kutatua tatizo hilo. Badala yake, ni jukumu la Viongozi katika Tanganyika huru kushughulikia tatizo hilo. Kisiasa, ni wazi hoja ya Mwalimu Nyerere ilikuwa na maana, na hivyo Waislamu wengi wakamuunga mkono. Kutokana na jinsi Mwalimu Nyerere alivocheza karata zake za kisiasa katika kupigania uhuru na hata baada ya kupatikana uhuru, ilimjengea imani kwa Waislamu na wananchi kwa ujumla.

Kutokana na Imani hiyo, na hasa Waislamu, ilikuwa ni vigumu kwa mtu kumnyooshea kidole kuwa hatendi haki. Na akithubutu, atashambuliwa na kutengwa. Ni kwa namna hii Sheikh Suleiman Takadir alipata misukosuko na hata kutengwa na Waislamu wenzake. Matokeo yake, malalamiko na madai ya ubaguzi na hujuma dhidi ya Waislamu wakati wa serikali ya Awamu ya Kwanza, imebakia kuwa historia chungu kwa Umma wa Kiislamu nchini Tanzania. Kama alivyojisemea Remmy Ongala, imekuwa ni kilio cha samaki, machozi yamekwenda na maji. Hakuna hata anayesikia na kujali kilio cha Waislamu katika walioshikilia ‘mpini.’

Wakati wa kamapeni, Mh. John Pombe Magufuli mara kadhaa alisisitiza kuwa hatowabagua watu kwa rangi zao, kwa makabila yao wala kwa dini zao. Hii ilileta faraja kuwa Mh. Magufuli ataleta usawa na haki katika serikali yake. Hata hivyo, Rais John Pombe Magufuli (JPM) nae ameingia kwa gia ileile. Amejitahidi kutengeneza mazingira ya kuaminiwa na ameaminika. Kila kona ni slogan za Rais Magufuli.

Kila mtu anamuunga mkono Mh. Rais Magufuli. Sasa katika mazingira haya na katika kuzingatia historia na uzoefu wa mambo wakati wa Mwalimu Nyerere, kuna haja ya kuwa makini. Katika mazingira haya yanayoendelea kujiumba, iwapo atatokea wa kulalamika kwamba kuna hujuma dhidi ya kundi fulani, iwe la kidini au kibaila, watu watamshangaa. Na ni hivi majuzi tu kakutana na Mufti Zuber wa BAKWATA naye akamsifia sana. Kipi tena cha kuthibitisha kuwa Rais ni mtenda haki, asiye bagua watu zaidi ya heshma aliyopewa Mufti kukaribishwa Ikulu?

Mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Magufuli alianza kwa hotuba kali sana wakati akilizindua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hotuba ile ilileta hamasa ya hali ya juu sana na hata kuamsha ari ya uungwaji mkono kutoka kwa Watanzania wa ngazi ya kati na chini. Kilichofuatia ni kuanza na operation aliyoiita operation ya kutumbua majipu! Operation hii ilifanyika kwa kuanzia bandari na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Msisimko na shangwe za uungwaji mkono zilisikika kila kona ya Tanzania. Haikuchukua muda, akaanza kuonekana kama mtu aliyekuja kulikomboa taifa letu – Naam, mazingira yakawa wazi kufanya atakalo na hakuna mtu wa kulalama wala kudadisi. Kwanini? Kwasababu ameaminiwa kuwa yeye anafanya kwa maslahi ya taifa. Yeyote atakaye nyoosha kidole kudadisi au kuhoji, anaonekana mtu wa ajabu tena anataka kukwamisha harakati za kizalendo.

Ubaya wa mazingira kama haya ni kuwa huenda watu wakawa wazito kumsaidia Mheshimiwa Rais pale wanapohisi kwamba mambo hayaendi sawa. Wingu la ‘umaarufu’ na kuungwa mkono litawazuiya watu kuwa wakweli kwa Rais kwa kuhofia yasije yakawakuta yaliyomkuta Sheikh Suleiman Takadiri. Lakini kwa Mheshimiwa Rais naye, kwa kusikia nyimbo na ngonjera za ‘sifa’ tu na kuungwa mkono, anaweza asipate fursa ya kutizama pale penye dosari ndogo ndogo ambapo pangehitaji marekebisho.

Binafsi naamini kwamba, haitakuwa tunamsaidia Mheshimiwa Rais JPM iwapo hatutasema pale tunapoona kuwa mambo hayaendi sawa kama ilivyo dhamira njema ya Rais. Mheshimiwa Rais JPM ni binadamu na katika ari na hamasa ya kulitumikia taifa anaweza kujikwaa hapa na pale. Na hivyo ni wajibu wetu kumsaidia Rais wetu kipenzi. Na hapa mimi nitazungumzia yale ambayo nadhani hata katika mazungumzo yake na Mufti Zuberi hawakuyagusa.
Uteuzi wa Baraza la Mawaziri

Uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kwangu mimi, umeacha maswali mengi kuliko majibu. Japo inashangaza Waislamu kupigwa ganzi na kushindwa kupaza sauti, pengine ni kutokana na mazingira ya “kizalendo” yaliyokwishajijenga. Ukiangalia Baraza la Mawaziri alilotangaza Mh. Magufuli, utaona kuwa Waislamu katika Baraza hilo (Japo kwa majina yao tu) ni 9 (8?) kati ya 34 sawa na 24%! tu. Hii ina maana Wakristo katika Baraza la Mawaziri ni 76%!
Tunajua hii ni ‘Awamu ya Hapa Kazi tu’, na kigezo cha mtu kuingia katika Timu ya Kumsaidia Rais, ni uchapa kazi. Swali ni je, hakuna Waislamu wachapa kazi wenye sifa za kuwa mawaziri wa kumudu kasi ya Mheshimiwa Rais JPM?
Tunajua pia kuwa ‘Imani’ ya mtu, haitafsiri utendaji kazi wake au uvivu wake au hata ufisadi wake na hivyo katika “Hapa Kazi Tu”, hoja ya Imani wakati wa uteuzi, yaweza kuwa haikuzingatiwa.

Lakini pengine tujiulize, itakuwa halali na sawa kisiasa, watu wa dini moja kufanya maamuzi na kuamua mustakabali wa nchi hii peke yao? Je, hii inasaidia vipi kujenga umoja na mshikamnao wa Watanzania na kuondoa ubaguzi? Je, hii ndiyo tafsiri stahiki (kivitendo) ya kauli na ahadi ya Mheshimiwa Rais Magufuli kwamba ataongoza kwa haki bila ya kubagua dini za watu?

Wapo mawaziri waliotolewa kutoka sehemu mbalimbali na hawajawahi kuwa viongozi wa kisiasa, haiingii akilini kwangu kuwa Waislamu hawapo!
Ikiwa inadhaniwa kuwa suala la imani sio muhimu katika uteuzi, hii ina maana inahalalisha watu wengi wa dini moja kufanya maamuzi ya nchi peke yao. Labda tusaidiane kwa pamoja, tunajua katika nchi hii zipo Dini Kuu mbili, Uislamu na Ukristo. Je, iwapo haya ya 20 kwa 80 yaliyo kwa Waislamu yatageuziwa kwa upande wa pili, wenzetu wataridhia tukitumia hoja ile ile ‘serikali haina dini na hatuangalii dini ya mtu?”

Aliwahi kulalamika Mzee Mtei ilipoteuliwa Tume ya Mzee Warioba juu ya Katiba akisema kuwa kulikuwa na Waislamu wengi na akasisitiza kuwa hoja kwamba nchi haina dini na haiongozwi kwa misingi ya dini, haistahiki kutolewa. Akasema, hatuwezi kupinga ukweli kwamba mtizamo na maamuzi ya watu yanaathiriwa na Imani za dini zao. Lakini tutakumbuka pia kwamba wakati wa Mzee Ally Hassan Mwinyi ilitokea katika Baraza lake la Mawaziri, yakaongezeka majina ya Waislamu kinyume na ilivyokuwa ada.

Japo idadi yenyewe wala haikufikia robo ya Mawaziri wote, lakini zikapigwa sana kelele na kudaiwa kuwa Mwinyi anataka kuisilimisha Tanzania. Hayo yaliwahi kutokea pia kwa Rais Mstaafu JK alipoteuwa idadi fulani ya Mabalozi ikaonekana kuwa kulikuwa na majina mengi ya Waislamu. Nakumbuka marehemu Profesa Seithy Chachage aliwahi kutupiwa swali kwamba haoni kuwepo kwa majina mengi ya Kiislamu ni dalili kuwa Kikwete anapendelea Waislamu? Jibu la Profesa Chachage lilikuwa kwamba inabidi kwanza ufanyike utafiti tujue serikalini katika nafasi zote muhimu, kuna Waislamu wangapi na Wakristo wangapi, ndio tuseme.

Kama huu ndio ukweli kama alivyoubainisha Mzee Mtei, na kama hii ndiyo hali unapogeuza mambo kwa upande wa pili, kwa nini idhaniwe kuwa Waislamu wao wataridhia kuona Baraza la Mawaziri na ‘Timu’ ya Watendaji Wakuu Serikalini katika Uwiano huu wa 20 kwa 80?

Kama Mh. Rais anaamini kuwa kuna Waislamu walimpigia kura na hata kumpigania hata akashinda, siamini kuwa walikuwepo tu Waislamu wa kupiga kura, lakini wa kushika nafasi za Mawaziri na Makatibu Wakuu, tabu kuwapata.
Katika mambo ambayo Waislamu wamebaki na butwaa, ni uteuzi wa Mh. Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu.

Mtu ambae alisababisha mpaka maandamano dhidi yake kutokana na tuhuma za hujuma iliyokuwa ikidaiwa kufanywa dhidi ya Waislamu akiwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa. Mh. Ndalichako alidiriki kubadilisha matokeo ya mtihani yaliyokuwa tayari yametangazwa baada ya kupigiwa kelele! Wakati akiwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania. Leo ndio kapewa nafasi ya kuwa Waziri wa Elimu!

Uteuzi wa Makatibu Wakuu
Uteuzi wa Makatibu Wakuu haukuwa na nafuu kwa Waislamu hata kidogo. Kwani kati ya Makatibu Wakuu na Manaibu wao walioteuliwa wapatao 50, kati yao Waislamu japo kwa majina ni 10 (11?) tu sawa na 20%, huku waliosalia sawa na 80% ni Wakristo. Hawa ndio watendaji wa serikali. Hawa ndio wanaopanga na kuratibu mipango ya maendeleo ya nchi. Bado hoja ni zile zile, inawezekana ikawa ni kweli kuwa hakuna Waislamu wachapakazi na wenye sifa za kuwa Makatibu Wakuu wanaoweza kumudu kasi ya Mheshimiwa Rais JPM? Kama ilivyokuwa kwa Mawaziri, wapo pia Makatibu Wakuu walioteuliwa wakitokea katika taasisi za elimu ya juu na taasisi nyingine.

Je, huko hakuna Waislamu wenye sifa na uwezo wa kushika nyadhifa hizo? Inawezekana wakawa wapo, lakini Mh. Rais hakuona haja ya kuzingatia uwiano wa dini mbalimbali katika uteuzi. Lakini mtu anaweza kuhoji, kama ingekuwa si kuzingatia imani, basi ingetokea bahati mbaya Waislamu nao wakawa wengi katika orodha ya Makatibu Wakuu kama ilivyokuwa kwa Wakristo katika Baraza la Mawaziri. Lakini bahati mbaya imekuwa ya kuwaangukia Waislamu kwa nyanja zote! Sijui Sayansi ya Bahati Nasibu-sio jambo la kupanga (Science of Coincidence), inasemaje hapa.

Ikumbukwe kuwa Mh. Rais aliahidi wakati wa kampeni kuwa, katika utawala wake hatowabagua watu kwa rangi zao, makabila yao wala dini zao. Kauli sahihi kabisa. Lakini labda tujiulize, kipi cha kuthibitisha ahadi hii? Kama nilivyotangulia kusema, yawezekana katika kuongozwa na ahadi hiyo ya kutokubagua, Mheshimiwa Rais hakutizama kabisa suala la dini katika uteuzi wake. Lakini labda pengine tuligeuze jambo hili liwe kwa upande mwingine. Asilimia 10 ya Mawaziri Wakristo, 90 Waislamu, asilimia 80 ya Makatibu Wakuu, Waislamu, waliosalia dini nyingine!

Huu ni mwanzo wa safari ndefu mbele yetu. Tunamuomba Mh. Magufuli atembee juu ya maneno yake, atende haki. Hoja za kisiasa kwamba katika uteuzi hatujali dini bali sifa, haitatusaidia sana na wala haifanyi kazi. Labda atokee mtu aje na utafiti wa kisayansi kuthibitisha mambo mawili.

Moja, kwamba kadiri alivyochambua, hao asilimia 20 tu, ndio Waislamu pekee aliopata katika seti ya Waislamu nchini wenye sifa za kuwa Mawaziri na Makatibu Wakuu. Lakini pia katika utafiti huo, atuonyeshe sifa zilizozingatiwa katika hao waliowateua ili kuweza kuona kwamba kweli katika ‘seti’ ya Waislamu wenye sifa, hakuna mwenye sifa hizo
.

Chanzo: Anuur newspaper

mytake
Tazama list ya wakuu wa mikoa, tazama list ya wakuu wa wilaya.
 
Mambo ya udini hayana tija watanzania. Jambo moja huanzisha lingine mara ukabila, ukanda nk.

Chamsingi ni je huyo aliyeteuliwa ana sifa stahiki? Huduma inatolewa kwa kuzingatia udini?
kwa hiyo wenye sifa ni wakristo tu acha upuuzi wewe?
 
wakristo hakuna kazi wanayofanya zaidi ya wizi na ufisadi escrow mpaka maaskofu wamekula hao wakristo walioteuliwa wanasifa gani mbona hatuzijui
Tulia utazijua tu!! nyie manahimizana kuwafutiliambali wote wasiomjudu huyo allah wenu, sisi tunahubiri upendo hadi kwa adui, ni makosa tena ni dhambi kumlazimisha mtu kwa upanga amfuate mungu wako; Injili ya Kristo ni ya amani tu, dini zingine zimekuwa majanga na misiba duniani kote maana bila jihadi haziendi huku zikiacha maelfu ya watu wakiwa maiti, hovyo kabisa!!!
 
Walioteuliwa kuwa wakuu wa wilaya ni kama ifuatavyo (Orodha imepangwa kulingana na mikoa)

ARUSHA

Arusha – Mrisho Mashaka Gambo
Arumeru – Alexander Pastory Mnyeti
Ngorongoro – Rashid Mfaume Taka
Longido – Daniel Geofrey Chongolo
Monduli – Idd Hassan Kimanta
Karatu – Therezia Jonathan Mahongo
DAR ES SALAAM

Kinondoni – Ally Hapi
Ilala – Sophia Mjema
Temeke – Felix Jackson Lyaviva
Kigamboni – Hashim Shaibu Mgandilwa
Ubungo – Hamphrey Polepole
DODOMA

Chamwino – Vumilia Justine Nyamoga
Dodoma – Christina Solomon Mndeme
Chemba – Simon Ezekiel Odunga
Kondoa – Sezeria Veneranda Makutta
Bahi – Elizabeth Simon
Mpwapwa – Jabir Mussa Shekimweli
Kongwa – John Ernest Palingo
GEITA

Bukombe – Josephat Maganga
Mbogwe – Matha John Mkupasi
Nyang’wale – Hamim Buzohera Gwiyama
Geita – Herman C. Kipufi
Chato – Shaaban Athuman Ntarambe
IRINGA

Mufindi – Jamhuri David William
Kilolo – Asia Juma Abdallah
Iringa – Richard Kasesela
KAGERA

Biharamulo – Saada Abraham Mallunde
Karagwe – Geofrey Muheluka Ayoub
Muleba – Richard Henry Ruyango
Kyerwa – Shaban Ilangu Lissu
Bukoba – Deodatus Lucas Kinawilo
Ngara – Col. Michael M. Mtenjele
Missenyi – Col Denis F. Mwila
KATAVI

Mlele – Rachiel Stephano Kasanda
Mpanda – Lilian Charles Matinga
Tanganyika – Saleh Mbwana Mhando
KIGOMA

Kigoma – Samsoni Renard Anga
Kasulu – Martin Elia Mkisi
Kakonko – Hosea Malonda Ndagala
Uvinza – Mwanamvua Hoza Mlindoko
Buhigwe – Elisha Marco Gagisti
Kibondo – Luis Peter Bura
KILIMANJARO

Siha – Onesmo Buswelu
Moshi – Kippi Warioba
Mwanga – Aaron Yeseya Mmbago
Rombo – Fatma Hassan Toufiq
Hai – Gelasius Byakanwa
Same – Rosemary Senyamule Sitaki
LINDI

Nachingwea – Rukia Akhibu Muwango
Ruangwa – Joseph Joseph Mkirikiti
Liwale – Sarah Vicent Chiwamba
Lindi – Shaibu Issa Ndemanga
Kilwa – Christopher Emil Ngubiagai
MANYARA

Babati – Raymond H. Mushi
Mbulu – Chelestion Simba M. Mofungu
Hanang’ – Sara Msafiri Ally
Kiteto – Tumaini Benson Magessa
Simanjiro – Zephania Adriano Chaula
MARA

Rorya – Simon K. Chacha
Serengeti – Emile Yotham Ntakamulenga
Bunda – Lydia Simeon Bupilipili
Butiama – Anarose Nyamubi
Tarime – Glodious Benard Luoga
Musoma – Vicent Anney Naano
MBEYA

Chunya – Rehema Manase Madusa
Kyela – Claudia Undalusyege Kitta
Mbeya – William Ntinika Paul
Rungwe – Chalya Julius Nyangidu
Mbarali – Reuben Ndiza Mfune
MOROGORO

Gairo – Siriel Shaid Mchembe
Kilombero – James Mugendi Ihunyo
Mvomero – Mohamed Mussa Utali
Morogoro – Regina Reginald Chonjo
Ulanga – Kassema Jacob Joseph
Kilosa – Adam Idd Mgoyi
Malinyi – Majula Mateko Kasika
MTWARA

Newala – Aziza Ally Mangosongo
Nanyumbu – Joakim Wangabo
Mtwara – Khatibu Malimi Kazungu
Masasi – Seleman Mzee Seleman
Tandahimba – Sebastian M. Walyuba
MWANZA

Ilemela – Leonald Moses Massale
Kwimba – Mhandisi Mtemi Msafiri Simeon
Sengerema – Emmanuel Enock Kipole
Nyamagana – Mary Tesha Onesmo
Magu – Hadija Rashid Nyembo
Ukerewe – Estomihn Fransis Chang’ah
Misungwi – Juma Sweda
NJOMBE

Njombe – Ruth Blasio Msafiri
Ludewa – Andrea Axwesso Tsere
W
 
Hao wakoloni waliwadidimiza vipi waislam?

Ni kwa namna gani waislam walinyimwa elimu kabla ya uhuru?

Ni sehemu gani ya dunia ambayo waislam walishawahi kukiri kwamba wanatendewa haki pale walipokuwa chini ya uongozi aasiye mwislam? Nchi gani ya kiislam inamaridhiano na amani ya kweli zaidi ya kunyamazishana, kutishiana, kusalitiana, kusingiziana, kuchinnjana na kuooneana hata wkaiwa peke yao?

Kwa nini unapend akuleta habari za dini yako sehemu kuna utulivu ili kuvuruga amani?

Ni lini ulifanya sensa ukagundua imani za hao mawaziri 80% kwamba ni Wakristo?

Hivi uislam maana yake ni vurugu na fujo?

Uteuzi wa kikwete aliyeua taifa huoni kama ulikuwa na kasoro kubwa? Kwa hiyo unataka tuendelee kushangilia mfumo fisadi wa kikwete?

Tafadhali bwana, naoma ulete mada zenye akili. TEna usikumbushe watu machungu hapa.
acha upunguani wewe mafisadi wakubwa nchi hii ni. Wakristo wakiongozwa na lowasa
 
Kuna kitu nakifanyia kazi,kuna watu wa asili ya ushombe shombe wamestawi sana utawala wa jk,na ukifuatilia unakuta mafuta wanauza wao,tender za msd ni wao,dili kubwa kubwa za serikali ni wao!Ndio sababu kuna watu wanaumia sana na kuanza kuota udini!Binafsi ni mkristo lakini sijawahi kufaidi chochote nchi hii kwa sababu ya dini yangu zaidi ya kazi ngumu kipato sungura!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Chanzo cha hii habari ni gazeti la kidini. Hivi awamu iliopita gazeti hili liliwahi kuhoji JK kujaza upande fulani?
 
Tulia utazijua tu!! nyie manahimizana kuwafutiliambali wote wasiomjudu huyo allah wenu, sisi tunahubiri upendo hadi kwa adui, ni makosa tena ni dhambi kumlazimisha mtu kwa upanga amfuate mungu wako; Injili ya Kristo ni ya amani tu, dini zingine zimekuwa majanga na misiba duniani kote maana bila jihadi haziendi huku zikiacha maelfu ya watu wakiwa maiti, hovyo kabisa!!!
sema wanasifa gani...kristo ni ya amani wakati walimuua Yesu tena walimtundika msalabani...Waliomuua Yesu walikuwa dini gani?
 
Na sisi Waswezi tunataka kuona engalau asilimia 40 ya baraza la mawaziri na asilimia 60 ya Makatibu wakuu, Waswezi hatujatendewa haki kabisa na ndiyo tuliochangia kwa aslimia kubwa kuchagua CCM
 
acha upunguani wewe mafisadi wakubwa nchi hii ni. Wakristo wakiongozwa na lowasa
Fisadi mkubwa alioitia nchi hii umaskini awamu iliopita ni Muislamu tena anapenda dini sana. Kaulize bandarini/TRA watakwambia.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom