Recent content by Nyakwec's Bro

  1. N

    Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

    Nadhani mtoa mada hana ufahamu na umbali kwa kilomita alizozitaja. Mtu kutembea kilomita 60 kwa siku ni jambo la kawaida sana. Kwa mfano huo mwendo wa km 5 kwa saa ni mwendo mdogo sana. Mimi huwa nikipenda natembea chini ya nusu saa kutoka ofisini hadi nyumbani umbali wa kama km 4 hivi. Hivyo...
  2. N

    Bodi ya Mikopo HESLB waanza kuwakata watumishi wa TGTS B kabla hawajabadilishiwa muundo wa utumishi

    Sheria inataka mtumishi akikatwa makato yote abakiwe na fedha isiyopungua 1/3 ya mshahara wake. Ikiwa na maana huyo ticha akikatwa piga ua anatakiwa achiwe 143,000. Hivyo mshahara wake unaweza kukatwa hadi asilimia 66 lakini asilimia 33 aachiwe mwenyewe. hatari sana kaka, sasa makato ya HESLB...
  3. N

    Bodi ya Mikopo HESLB waanza kuwakata watumishi wa TGTS B kabla hawajabadilishiwa muundo wa utumishi

    Sheria inataka mtumishi akikatwa makato yote abakiwe na fedha isiyopungua 1/3 ya mshahara wake. Ikiwa na maana huyo ticha akikatwa piga ua anatakiwa achiwe 143,000. Hivyo mshahara wake unaweza kukatwa hadi asilimia 66 lakini asilimia 33 aachiwe mwenyewe.
  4. N

    My confession: Hornet is Positive

    Pole sana. Nakusihi uanze dawa mapema.
  5. N

    CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

    Mkuu nakuunga mkono, CRDB inazingua sana. Mimi nimeshajaribu kujiunga na Internet Banking zaidi ya mara tano kwa matawi matatu tofauti hadi leo kimya. Kila baada ya kujaza fomu naambiwa nitapokea email hadi leo tangu nijaze fomu ya mwisho mwezi umeisha email haijafika. Nadhani hawa jamaa...
  6. N

    Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

    Watu wanaroho ngumu, eti Madrid fomu yao imekuwa sio nzuri.Wakati ametoka kuwafunga kwenu tena Kipa ndye aliwabeba Buyern walikuwa wanakufa hata 5. Leo hakuna nafasi ya buyern kumfunga madrid anakuja tu kukamilisha ratiba. Hawa ndio madrid mabingwa wa kihistoria na mwaka huu wanaweka historia...
  7. N

    CHADEMA na UKAWA wataanguka vibaya sana 2020 tofauti na awamu zilizopita

    Dah:confused::confused::confused:!.. Hii dunia ya ajabu sana yaani watu wameshachagua serikali ya kuwapatia maji,madawa hospitalini,wanafunzi hawana madawati lakini bado wanataka wapinzani waongelee tena mambo hayo. Sasa wataongelea wapi wakati nasikia mikutano ya hadhara imezuiwa,mikutano ya...
  8. N

    Pongezi kwa Tigo Tanzania

    Habari zenu Wakuu. Napenda kutoa pongezi kwa Mtandao wa Tigo Tanzania kwa kutambua wateja wao muhimu na kuwapa kipaumbele kwenye huduma zao. Juzi nilipiga simu Tigo huduma kwa Wateja(Namba 100) na kupokelewa na maneno yanayosema "Wewe ni mteja wetu wa Muhimu simu yako haitowekwa kwenye foleni"...
  9. N

    Mama Samia Suluhu anajielewa sana na ana roho safi

    Hivi alishaghairi kupiga chini kazi?!.
  10. N

    Become A Satellite Tv Installar; Make Money installing DSTV,AZAM,FTA

    Mkuu ungeanzisha uzi wako lingekuwa jambo la busara sana,Ni bure pia kuanzisha uzi wako ukatangaza hiyo huduma yako.
  11. N

    MJADALA: Kusoma Engineering Tanzania ni kujipunguzia siku za kuishi

    Nimeelewa sasa,kuna mshikaji wetu tulikuwa tunamuita Engineer tangu Olevel na hakuwa na mpinzani katika masomo ya hisabati na fizikia lakini baada ya kufaulu vzr kabisa form 6.Hakutaka masifa tena ya Engineer akaenda zake kusoma Uhasibu hivi sasa tayari ana CPA yake na ameajiriwa sehemu nzuri...
  12. N

    Hudson Kamoga wa Kipindi cha 360 ya Clouds TV ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya

    The only source of knowledge is experience. Albert Einstein.
  13. N

    Rais Magufuli amteua Ally Hapi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni

    Hivi hizi nafasi za kurudisha fadhila na kupozea makada zitafutwa lini, mbona nazo zinaongeza matumizi tu yasiyo ya lazima?.
  14. N

    Young Africans vs Toto

    Jamani vipi,Mnyama bado kapakatwa?..
Back
Top Bottom