Recent content by nyakahanga

  1. N

    JamiiForums Tanzania Joining instruction letter ya Bukongo Sekondari School iko hapa

    Wakuu, salaamu. Kwa wale waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2017/2018 katika shule ya sekondari Bukongo iliyopo wilayani ukerewe, chukueni joining instruction letter hapa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa "sina demu" umeimbwa na nani?

    Njoo pm nikutumie WhatsApp
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa "sina demu" umeimbwa na nani?

    Anaitwa B boy
  4. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya msanii Timbulo enzi zileeeee

    Anaitwa nani kumbe?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya msanii Timbulo enzi zileeeee

    Mcheki msanii Said Timbulo maarufu kama Timbulo, hitmaker wa mawe makali kama Domo langu zito, Wa leo wa kesho (sampled from X-Melea), Bado kijana, Samson na Delilah, Imekatika (ft. X-malea), Niende zangu (ft. Rich mavoko), Nakumiss pamoja na zingine ni lizosahau. Kumbe tunatoka mbali. Kwenye...
  6. N

    JamiiForums Tanzania BONGO AUDIO DOWNLOAD

    www.hulkshare.com
  7. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli akiwa Rais nani atamfunga speed gavana?

    Asante prophet chaikavu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la UDOM: Matangazo haya hatarini kuondolewa kwenye tovuti ili kufuta ushahidi

    Mbona mie nishafungua? Au hauna PDF reader?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ndalichako naomba ututumbulie na haya majipu ya wakuu wa shule

    Ridiculous! I don't see any point here, just personal hatred! Hivi unajua wakuu wa shule wanavyoendesha shule kwa tabu siku hizi? Kama una ushahidi wa hayo, kwanini usipeleke mahakamani? Au umemwona ndalichako ni mtu wa kufanyia kazi uzushi wa mitandaoni? Poor mind
  10. N

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Nani anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, tuone Hapa kazi tu kwa vitendo?

    Amteue kamanda kova kuwa mbunge baadae ampe hiyo wizara
  11. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya Lemutuz yauzwa kwa mnada wa sh mil 7

    26 years.. Still le boy you know
  12. N

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mmepandisha riba ya mkopo (personal loan) kutoka asilimia 18 mpaka asilimia 20? Maana leo nimeamkia nmb tawi fulani huku kanda ya ziwa na nilivyofika loan officer akaniomba salary slip na alivyocheck eligibility yangu akasema ninaweza kukopa million 10 plus kwa miezi 60 Nikamwambia mimi nataka...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sugu ndani ya FNL ya EATV

    Namwona....
  14. N

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Usagara Kisesa yaanza kujengwa

    Nimepita wiki iliyopita maeneo ya kisesa kuelekea kona ya fella. Nilikuta mitambo ya nyanza roads ipo barabarani. Nadhani wanataka ku 'resume' ujenzi wa barabara uliosimama kwa takribani mwaka mmoja sasa
Back
Top Bottom