nyakahanga
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 240
- 65
Nimepita wiki iliyopita maeneo ya kisesa kuelekea kona ya fella. Nilikuta mitambo ya nyanza roads ipo barabarani. Nadhani wanataka ku 'resume' ujenzi wa barabara uliosimama kwa takribani mwaka mmoja sasaHii bararbara imefia wapi? Naona majengo ya Tanroad wanakaa walinzi tu.