mavela
Senior Member
- Oct 1, 2014
- 149
- 66
Nimekaa na kuanza kuifuatilia hii ishu ya wanafunzi wapatao 7802 waliokuwa wakisoma diploma maalumu ya ualimu wa sayansi na hisabati kufukuzwa chuoni Dodoma. Bahati nzuri nilikuwa na hayo matangazo yanayohusu hiyo program. Lakini nimejaribu kuyaseach kwenye website husika siyaoni tena, labda ni kwa sababu nilikuwa na haraka.
Nimejaribu tu kuwaza kuwa hata matokeo ya mtu aitwaye Jesca aliyehitimu St. Matthew mwaka 2011 yanaweza kueditiwa kwenye database ya necta.
Matangazo haya hapa chini
Nimejaribu tu kuwaza kuwa hata matokeo ya mtu aitwaye Jesca aliyehitimu St. Matthew mwaka 2011 yanaweza kueditiwa kwenye database ya necta.
Matangazo haya hapa chini