Dada joy we ni jembe tena la ukweli, lkn hayo matusi makubwa waachie kina mange ambao akili imeshafwatuka, wengi tunakutazama kwa malengo chanya, ni mwanamke shupavu, so tunza heshima yako.
Masikini namwonea huruma sana, nahisi hata yeye anajuta sana, lkn kwa vile moyo ni kichaka, analilia moyoni, baadhi ya mashoga zake wamemponza. Pole dada wema fanya juu chini uondoe huo mzigo utakuletea matatizo makubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.