Recent content by nyagilo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Laiti Ningekuwa na Uwezo Ningeamuru Kufundisha kwa Kingereza Toka Shule za Msingi

    Sidhani kama dunia yote wanatumia kiingereza nadhani kitumike inapotakiwa sasa kama shughuli zako asilimia 98 unaowasiliana nao wanaongea kiswahili hio English utaisemea wapi labda tubadili lugha ya taifa vinginevyo kama shughuli zako zinahitaji kiingereza utakijua tu utake usitake
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wanaounga mkono kufukuzwa wanafunzi UDOM wameliangalia hili!??

    Kama waalimu wasingegoma watoto wangerudishwa nyumbani? Na hao wenye sifa wakirudi waalimu watalipwa
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanatengeza Hyperloop ambayo inaweza kusafiri kwa kasi kama kasi ya sauti

    Sisi ni nchi zinazoendelea kukua au kudumaa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Babu Seya kuachiwa huru na Kikwete?

    Rais ana mamlaka ya kumsamehe mtu yoyote aliekwisha tiwa hatiani kwa kosa lolote haijalishi kabaka au kaua sheria imempa mamlaka kwa kosa lolote haijatoa excemption
  5. N

    JamiiForums Tanzania Achilli will kill his father and marry his mother

    Patamu hapo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbinga-Ruvuma: Gari lapata ajali na kuua Padre mmoja na Makatekista sita

    Landrover stationwagon inaweza kubeba watu 24?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tumia mafuta kidogo kwenye gari yako kwa umbali ule ule wa siku zote

    Miaka ya nyuma ilikuja kitu kinaitwa oko eti tyre ikikanyaga misumari inajiziba wakaanza kuwekewa wabunge baada ya muda ikapotea kabisa na ufanyaji kazi wake ilibaki kitendawili hadi leo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Mokiwa alaani baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kubeza maoni ya wananchi

    Kwani likovu ni kabila gani
  9. N

    JamiiForums Tanzania Loh sijaamini taulo la ivo mapunda linalinda Goli lisifungwe mpaka walipofungwa na Yanga

    Mbona baada ya taulo kutolewa akafungwa yeye yanga
  10. N

    JamiiForums Tanzania Thomas Ngawaia: Zanzibar si nchi na Rais wa Zanzibar ni sawa na wa TFF!

    Ambao wote ni wateule wa rais ambae ni mwenyekiti wa ccm
  11. N

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Ubelgiji kasema yeye ni shoga

    Ni heri kuogopa ufisadi zaidi kuliko hizi tabia wanazofanya watu tena kwa hiari zao wenyewe
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngara amtolea povu mtangazaji, kisa watu kujaa mikutano ya CHADEMA

    kama enzi za nyerere tuliitana ndugu na hakukuwa na tabaka leo kuna waheshimiwa na wasioheshimika duu
  13. N

    JamiiForums Tanzania RPC Tabora: Una taarifa kuwa bwalo la Polisi panauzwa kitimoto?

    mleta mada umechemka kwa taarifa yako mahoteli yote makubwa unayoyajua yanauzwa kitimoto pia sasa kuuzwa bwalo ndio iwe ishu kwani bwalo ni ya waislam tu kama ingekuwa bwalo ya waislam basi hakika hii ingekuwa ishu lakini kama ni ya watu wote basi umetokota sana
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kutokana na Maelezo ya Lissu, Zitto Zuberi Kabwe Ameishavuliwa Rasmi Uanachama CHADEMA!

    Maamuzi magumu siku zote ndio yanajenga hatma ya baadae binafsi namkubali zito ila pale inapokiukwa taratibu haifai kuoneana haya lazima sheria ifuatwe bila kujali aliekiuka ni nani na athari zake ni zipi ndio maana mnaona matatizo yanayotokea sasa kwa chama tawala ni kwa ajili ya kushindwa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Message Memory Full: Sumsung Duos

    Mimi pia natumia simu hio hio na tatizo ni hilo hilo mwenye kujua atujuze please
Back
Top Bottom