Thomas Ngawaia: Zanzibar si nchi na Rais wa Zanzibar ni sawa na wa TFF!

Angekua CDM angeitwa Mchagga kaongea,sasa sijui tumuite ------?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kaamua kutoka na style yake mpya, huko ni kuikufuru mamlaka halali ya serikali ya zanzibar!!!! jokes bt bado tutaskia mengi sana
 
Mtoto Thomas,

Maneno ya watanganyika juu ya kwamba zanzibar si nchi tunayaona kama vile ni hayatiliki maanani

Kwanza kabisa wewe unaonekana hujijuwi nafsi yako, chukuwa somo godo hapa

1. mimi mzanzibari hata ikiwa wewe unaniona znz kuwa sio nchi na serikali yetu ni sawa na TFF sawa tu lakini mimi ninajuwa kwamba znz ni nchi na serikali ya smz ni halali inayopigiwa kura.

2. tatizo liko kwako wewe huna nchi, huna utaifa kwasababu tanzania sio utaifa, tz ni muungano wa mataifa 2 wewe lako umeliuwa sisi letu tunalipenda na kulifagilia. wewe mjomba ni refugee tu ndani ya nchi yako, ikiwa una nchi wewe niambie ni nani raisi wako?
Mkuu pigania nchi yako mambo ya tanganyika tuachie wenyewe ..nchi haina bendera UN ulishawahi kuona nchi haina uanachama Fifa,mkuu changamkeni mpumue tanzania ndiyo tanganyika .
 
Mtoto Thomas,

Maneno ya watanganyika juu ya kwamba zanzibar si nchi tunayaona kama vile ni hayatiliki maanani

Kwanza kabisa wewe unaonekana hujijuwi nafsi yako, chukuwa somo godo hapa

1. mimi mzanzibari hata ikiwa wewe unaniona znz kuwa sio nchi na serikali yetu ni sawa na TFF sawa tu lakini mimi ninajuwa kwamba znz ni nchi na serikali ya smz ni halali inayopigiwa kura.

2. tatizo liko kwako wewe huna nchi, huna utaifa kwasababu tanzania sio utaifa, tz ni muungano wa mataifa 2 wewe lako umeliuwa sisi letu tunalipenda na kulifagilia. wewe mjomba ni refugee tu ndani ya nchi yako, ikiwa una nchi wewe niambie ni nani raisi wako?

mimi nataka kusafiri natumia pss ya tanzania naomba ya zenj ipo
 
Karume aliwahi kusema ccm wana ubongo wa samaki!!

Halafu Karume jasiri sana , aliweka pamba masikioni akatafuta muafaka wa kitaifa kati yake na cuf na kuanzisha mchakato wa katiba na zaidi akamchana kikwete na ccm kwenye kikao.
Sasa hivi nashanga hakuna hata anayepingana na idea za kiintarahamwe kutokea ccm.
 
Mtoto Thomas,

Maneno ya watanganyika juu ya kwamba zanzibar si nchi tunayaona kama vile ni hayatiliki maanani

Kwanza kabisa wewe unaonekana hujijuwi nafsi yako, chukuwa somo godo hapa

1. mimi mzanzibari hata ikiwa wewe unaniona znz kuwa sio nchi na serikali yetu ni sawa na TFF sawa tu lakini mimi ninajuwa kwamba znz ni nchi na serikali ya smz ni halali inayopigiwa kura.

2. tatizo liko kwako wewe huna nchi, huna utaifa kwasababu tanzania sio utaifa, tz ni muungano wa mataifa 2 wewe lako umeliuwa sisi letu tunalipenda na kulifagilia. wewe mjomba ni refugee tu ndani ya nchi yako, ikiwa una nchi wewe niambie ni nani raisi wako?
Passport unayo?
 
sasa aangalie sherehe za muungano wiki ijayo ndio ataelewa vzr kama rais wa Zenj ni kama wa TFF au la. Kwenye hizo sherehe Jei Kei atashiriki tu kama rais wa chama cha netball tanzania (CHANETA)
Haha..niliona ktk sherehe za mapinduzi siku jamaa walikuwa wakivunja mawe na vichwa...
 
Najaribu kuvuta picha maneno hayo angeyasemea pale kibandamaiti mbele ya hadhira ya wazanzibari.
 
"Najaribu kuvuta picha maneno hayo angeyasemea pale kibandamaiti mbele ya hadhira ya wazanzibari.".
Nimeipenda hii. si wangemtamatisha. Ila kwel ccm mboga za viazi. Hawakujifunza kwa pinda,had leo hakanyagi znz.
 
sasa aangalie sherehe za muungano wiki ijayo ndio ataelewa vzr kama rais wa Zenj ni kama wa TFF au la. Kwenye hizo sherehe Jei Kei atashiriki tu kama rais wa chama cha netball tanzania (CHANETA)

Mzee umekosea kwenye sherehe za MUUNGANO JK huibuka kidedea (Sijafuatilia sherehe za muungano zikiadhimishwa Zanzibar huwa inakuwaje Kati ya JK na Shein?!. Kwenye sherehe za Mapinduzi "MATUKUFU" ya Zanzibar JK huwa ndiyo anashiriki kama RAIS WA CHANETA. Hili ameliongelea vizuri sana Mh. Mbatia na Rukia Salum kwenye BMK.
 
Mtoto Thomas,

Maneno ya watanganyika juu ya kwamba zanzibar si nchi tunayaona kama vile ni hayatiliki maanani

Kwanza kabisa wewe unaonekana hujijuwi nafsi yako, chukuwa somo godo hapa

1. mimi mzanzibari hata ikiwa wewe unaniona znz kuwa sio nchi na serikali yetu ni sawa na TFF sawa tu lakini mimi ninajuwa kwamba znz ni nchi na serikali ya smz ni halali inayopigiwa kura.

2. tatizo liko kwako wewe huna nchi, huna utaifa kwasababu tanzania sio utaifa, tz ni muungano wa mataifa 2 wewe lako umeliuwa sisi letu tunalipenda na kulifagilia. wewe mjomba ni refugee tu ndani ya nchi yako, ikiwa una nchi wewe niambie ni nani raisi wako?
Kweli kabisa mkuu. Hawa wanavimba kichwa kwa sababu ya kuvaa koti la muungano, hebu tuweke sasa utaratibu wa uvaaji huo wa koti kwa zamu japo wa miaka mitano mitano tuone watasemaje. Kama hawakuuvunja muungano.
 
Mzee umekosea kwenye sherehe za MUUNGANO JK huibuka kidedea (Sijafuatilia sherehe za muungano zikiadhimishwa Zanzibar huwa inakuwaje Kati ya JK na Shein?!. Kwenye sherehe za Mapinduzi "MATUKUFU" ya Zanzibar JK huwa ndiyo anashiriki kama RAIS WA CHANETA. Hili ameliongelea vizuri sana Mh. Mbatia na Rukia Salum kwenye BMK.
Mkuu, sina kumbukumbu za sherehe ya muungano kufanyika Zanzibar.
 
Back
Top Bottom