Recent content by NYA3

  1. NYA3

    Sakata la Unga: Mwakyembe aagiza msanii Diamond achunguzwe

    Mmmmh aya bado kidogo tu mambo yatajipa !!!!
  2. NYA3

    Wananchi Pwani kuandamana kuipinga HLRC kwa kumshitaki PINDA na Werema!!

    Wendawazimu wakubwa hao! Na hayo maandamano bila shaka NAPE,MWIGULU na LUSINDE ndio wamewafadhiri hao vichwa BOX
  3. NYA3

    Mwandilishi wa Channel Ten, Eliah Ruzika, amepigwa na askari wa jeshi la Polisi

    Hawa waandishi wa habari nao ndio wamekuwa wakiitetea sana serikali ya MAGAMBA haswa ningeomba sana wapigwe wale wa CLOUDS FM akina KIBONDE
  4. NYA3

    Malawi paper calls Kikwete a 'Bloodthirsty Leader'

    Mimi ni mpinzani mkubwa wa serikali ya MAGAMBA, lakini juu ya ili sioni kama rais wetu aliyechaguliwa na watanzania wenzetu kama ana KOSA lolote lile yaani kwa ujumla yuko SAHIHI KABISA
  5. NYA3

    Kinana: CHADEMA wana potosha maana ya 'nguvu ya umma'

    Waje kwenye midahalo hapo tutawaamini kwa yale wayasemayo, lakini anaongea na familia yake na wewe KIBARAKA wake unatuletea sisi huku huo utumbo, ukweli upo wakutanapo wenye akili ktk meza moja tumewachoka wazee wa kuepa hamna HOJA MAGAMBA
  6. NYA3

    Askari polisi wetu akithibitisha ushujaa wake.

    Na wewe je hapo ulipo umeshapitia mangapi?
  7. NYA3

    Picha: Ajali ya Gari ya Jeshi Wakati ikienda mazikoni kwa Wanajeshi waliofariki Dafur

    Poleni sana makamanda wetu MUNGU ATAWAPONYA TU
  8. NYA3

    Biashara matangazo...

    Nimekubali mkuu kweli biashara matangazo
  9. NYA3

    Wanawake wa dar bana...@

    Ulizani kiti hicho kwamba ukikaa hadi uinuke au uinuliwe basi jua ilo ndio jukumu lako!!! Acha ujinga wewe
  10. NYA3

    USHAHIDI WA BOMU: Wanasheria wauunga mkono Msimamo wa Mbowe na CHADEMA

    Scramble wewe tatizo lako ni muoga hata kwa haki yako, unazani tokea lini ushaidi akapewa anaye tuhumiwa? Tafakari wewe iz zama zingine mkuu au bado unapokea darasa la MWIGULU?
  11. NYA3

    USHAHIDI WA BOMU: Wanasheria wauunga mkono Msimamo wa Mbowe na CHADEMA

    Polisi wetu hawajui sheria zaidi ya kukurupuka tu ndio maana mambo ya msingi huwa yanawashinda
  12. NYA3

    Usimfundishe..

    JWTZ je wao nn?
  13. NYA3

    "wanaume walio msaidia sajuki wamenigeukia na kunitaka kimapenzi"-wastara juma

    Uliwaona wema hao dada!! Kila mla cha watu uliwa ndugu yangu
  14. NYA3

    Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

    Nyie MAGAMBA ndio mko wengi na kila kitu kwenu nyie NDIOOOOOO!!!!!
  15. NYA3

    Watanzania wakataa siasa za Mwigulu Nchemba

    Mwigulu Nchemba uwa namfananisha na zile katuni za TOM & JERRY na anasimama kwa TOM!!
Back
Top Bottom