Watanzania wakataa siasa za Mwigulu Nchemba

MWIGULU NCHEMBA:- Dr. SLAA NA MBOWE WAKAMATWE KWA UGAIDI!

SPIKA ASHANGILIA NA KUSEMA MKUKI KWA NGURUWE WABUNGE

Mwigulu Nchemba ameibuka na kile kilichotarajiwa kwa kuongelea suala la Mkanda wa Lwakatare huku akiwaomba Polisi kuwakamata viongozi wa CHADEMA kwa ugaidi

Akichangia bungeni muda huu Mwigulu Nchemba amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale hata mbinguni kuthibitisha video ya Lwakatare jinsi alivyoipata, kiongozi wa CHADEMA aliyempa pia yupo tayari. Amelitaka jeshi la polisi limkamate Mbowe kwa sababu ndiye anayewasiliana sana na LWAKATARE.

Awali Mwigulu alisimama na kushambulia CHADEMA na viongozi wake hasa Mbowe kwa kumtaja jina na akisema hawa wote ni magaidi hali iliyopelekea Joseph Selasini aombe utaratibu kumtaka Mwigulu kufuta kauli yake ya kumshambulia Mbowe kibinafsi na kumtaka aache kuongele swala lililo mahakamani. Spika akuchukuwa hatua yoyote lakini pale aliposimama Tundu Lissu na kujibu hoja ya Mwigulu ndipo Spika alipo ibuka na kusema inatakiwa Mahakama ilindwe na kuheshimiwa bila kuingiliwa.

Akijibu hoja ya Spika kwamba masuala yaliyopo mahakamani yaheshimiwe:

"Mheshimiwa Spika, suala la mawasiliano kuhusiana na kesi ya ugaidi na marafiki zao humu ndani halipo mahakamani."

Source: TBC1 Live coverage
 
RIP Mwigulu,shonza..,na Ntella Go to hell

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
unaongelea sehemu ndogo ya watu, but wengi tunamkubali nchemba na ndiyo jembe letu! upo hapo?
 
mauaji walifanya arusha damu za marehemu na majeruhi zitawagharimu maisha yao yote. tena kwa bahati mbaya bado wanazaa wataona kila laana juu yao cc na sala tu kila kona ya nchi hii
 
Tuache ushabiki onyo kali kapewa na nani sasa??? Uandishi wa namna hii haufai.

Mkuu mleta mada anamaanisha kuwa Mwigulu kapewa onyo kali na wapiga kura...ila makamanda tuachane na hawa watu (Mwigulu,Mtela Mwampamba na Shonza) kwani ni wachovu kisiasa kuliko kawaida..me sioni umuhimu wa kuwapa umaarufu wa bure!! angalieni wasitupotezee muda hasa ikizingatiwa kuwa viongozi hawawafuatilii kwani hawana jipya kwetu!!
 
Hongera CCM kwa kupendwa na watz walio wengi.

Una ndoto nzuri lakini ya kimaskini,unalala unaota uko ndani ya ghorofa kuuubwa lako mwenyewe lakini kwa kulikuta(cha kuokota),sio kwa kujenga mwenyewe(kulifanyia kazi).Teh,teh,teh!Mwee!!!KAZI MNAYO.
 
MWIGULU NCHEMBA AHOJI ADAI BOMU LILIRUSHWA NA CHADEMA KAMA SIO WAO "MCHUKUA VIDEO ALITAARIFIWA NA NANI KWAMBA BOMU LITARUSHWA"

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba amesema bungeni leo kwamba Chadema ilipanga kufanya shambulio la bomu kwenye mkutano wa Soweto jijini Arusha.

Amesema hakuna jambo ambalo Chadema wamewahi kupanga wakashindwa.

“Itakuaje mtu amechukua mkanda wa tukio la umwagaji wa damu bila kutikisika au mchukuaji kukimbia, haiwezekani- hiyo walipanga.

“Inakuaje amechukua mkanda wa video kama mkanda wa harusi, yaani kama mkanda wa sendoff.? Amehoji Mwigulu huku wabunge wa CCM wakimuunga mkono kwa kupiga meza bungeni.

Mapema wiki hii katika mkutano wa Chadema, mtu mmoja asiyefahamika alirusha bomu kwenye mkutano wa Chadema na kusababisha watu wanne kufariki dunia na wengine 68 kujeruhiwa na kupelekwa katika Hospitali ya Mt Meru, Arusha.

PUMBAs------- baada ya mahindi kuchukuliwa
 
MWIGULU NCHEMBA AHOJI ADAI BOMU LILIRUSHWA NA CHADEMA KAMA SIO WAO "MCHUKUA VIDEO ALITAARIFIWA NA NANI KWAMBA BOMU LITARUSHWA"

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba amesema bungeni leo kwamba Chadema ilipanga kufanya shambulio la bomu kwenye mkutano wa Soweto jijini Arusha.

Amesema hakuna jambo ambalo Chadema wamewahi kupanga wakashindwa.

Itakuaje mtu amechukua mkanda wa tukio la umwagaji wa damu bila kutikisika au mchukuaji kukimbia, haiwezekani- hiyo walipanga.

Inakuaje amechukua mkanda wa video kama mkanda wa harusi, yaani kama mkanda wa sendoff.? Amehoji Mwigulu huku wabunge wa CCM wakimuunga mkono kwa kupiga meza bungeni.

Mapema wiki hii katika mkutano wa Chadema, mtu mmoja asiyefahamika alirusha bomu kwenye mkutano wa Chadema na kusababisha watu wanne kufariki dunia na wengine 68 kujeruhiwa na kupelekwa katika Hospitali ya Mt Meru, Arusha.
Umelewa wewe sio bure
 
Mwigulu Nchemba uwa namfananisha na zile katuni za TOM & JERRY na anasimama kwa TOM!!
 
MWIGULU NCHEMBA AHOJI ADAI BOMU LILIRUSHWA NA CHADEMA KAMA SIO WAO "MCHUKUA VIDEO ALITAARIFIWA NA NANI KWAMBA BOMU LITARUSHWA"

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba amesema bungeni leo kwamba Chadema ilipanga kufanya shambulio la bomu kwenye mkutano wa Soweto jijini Arusha.

Amesema hakuna jambo ambalo Chadema wamewahi kupanga wakashindwa.

“Itakuaje mtu amechukua mkanda wa tukio la umwagaji wa damu bila kutikisika au mchukuaji kukimbia, haiwezekani- hiyo walipanga.

“Inakuaje amechukua mkanda wa video kama mkanda wa harusi, yaani kama mkanda wa sendoff.? Amehoji Mwigulu huku wabunge wa CCM wakimuunga mkono kwa kupiga meza bungeni.

Mapema wiki hii katika mkutano wa Chadema, mtu mmoja asiyefahamika alirusha bomu kwenye mkutano wa Chadema na kusababisha watu wanne kufariki dunia na wengine 68 kujeruhiwa na kupelekwa katika Hospitali ya Mt Meru, Arusha.

Hoja hizo zilitolewa na mtu ambaye ana uwezo mdogo wa kufikiri, alitumia udhaifu wa kawaida wa spika na naibu wake. Otherwise kila binadamu mwenye kufikiria kwa kina antakiwa ajue kuwa kila binadamu ana utofauri wa reaction wakati wa hatari. Nikijizungumzia mwenyewe (I'm sorry you just can't prove) sikumbuki kwa mara ya mwisho nilikimbia lini wakati wa hatari..sikumbuki! So ninaanimi kuna watu wengi kama mimi na wengine wenye ujasiri hat zaidi ya hou. So kama yeye Mwigulu anachofikiri ni kukimbia tu,that's yeye siyo wote. And so hiyo haikuwa hoja ya kutolewa mbele ya taifa.

Mimi nafikiri hivyo na nisamehe kama nimekukwaza.
 
MWIGULU NCHEMBA:- Dr. SLAA NA MBOWE WAKAMATWE KWA UGAIDI!

MWIGULU NCHEMBA:- Dr. SLAA NA MBOWE WAKAMATWE KWA UGAIDI!

SPIKA ASHANGILIA NA KUSEMA MKUKI KWA NGURUWE WABUNGE

Mwigulu Nchemba ameibuka na kile kilichotarajiwa kwa kuongelea suala la Mkanda wa Lwakatare huku akiwaomba Polisi kuwakamata viongozi wa CHADEMA kwa ugaidi

Akichangia bungeni muda huu Mwigulu Nchemba amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale hata mbinguni kuthibitisha video ya Lwakatare jinsi alivyoipata, kiongozi wa CHADEMA aliyempa pia yupo tayari. Amelitaka jeshi la polisi limkamate Mbowe kwa sababu ndiye anayewasiliana sana na LWAKATARE.

Awali Mwigulu alisimama na kushambulia CHADEMA na viongozi wake hasa Mbowe kwa kumtaja jina na akisema hawa wote ni magaidi hali iliyopelekea Joseph Selasini aombe utaratibu kumtaka Mwigulu kufuta kauli yake ya kumshambulia Mbowe kibinafsi na kumtaka aache kuongele swala lililo mahakamani. Spika akuchukuwa hatua yoyote lakini pale aliposimama Tundu Lissu na kujibu hoja ya Mwigulu ndipo Spika alipo ibuka na kusema inatakiwa Mahakama ilindwe na kuheshimiwa bila kuingiliwa.

Akijibu hoja ya Spika kwamba masuala yaliyopo mahakamani yaheshimiwe:

“Mheshimiwa Spika, suala la mawasiliano kuhusiana na kesi ya ugaidi na marafiki zao humu ndani halipo mahakamani.”

Source: TBC1 Live coverage

Huenda wewe ni housegirl wake
 
MWIGULU NCHEMBA AHOJI ADAI BOMU LILIRUSHWA NA CHADEMA KAMA SIO WAO "MCHUKUA VIDEO ALITAARIFIWA NA NANI KWAMBA BOMU LITARUSHWA"

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba amesema bungeni leo kwamba Chadema ilipanga kufanya shambulio la bomu kwenye mkutano wa Soweto jijini Arusha.

Amesema hakuna jambo ambalo Chadema wamewahi kupanga wakashindwa.

“Itakuaje mtu amechukua mkanda wa tukio la umwagaji wa damu bila kutikisika au mchukuaji kukimbia, haiwezekani- hiyo walipanga.

“Inakuaje amechukua mkanda wa video kama mkanda wa harusi, yaani kama mkanda wa sendoff.? Amehoji Mwigulu huku wabunge wa CCM wakimuunga mkono kwa kupiga meza bungeni.

Mapema wiki hii katika mkutano wa Chadema, mtu mmoja asiyefahamika alirusha bomu kwenye mkutano wa Chadema na kusababisha watu wanne kufariki dunia na wengine 68 kujeruhiwa na kupelekwa katika Hospitali ya Mt Meru, Arusha.

"Imekuaje amechukua mkanda wa tukio la umwagaji wa damu bila kutikisika au mchukuaji kukimbia..." Kweli ujin.ga ni kipaji. Mmeshaelezwa kuwa kulifungwa mitambo ya kurekodi,sasa mitambo huwa inakimbia inapoona au kurekodi tukio la kutisha?
Kweli sasa nimemwamini Karume aliposema;
ImageUploadedByJamiiForums1374267764.292839.jpg
 
tuache ushabiki onyo kali kapewa na nani sasa??? Uandishi wa namna hii haufai.

we rudia kusoma post kwanza onyo limeelekezwa kwa wafanya siasa chafu wote,mi mwenyewe nimeonya yeyote mwenye maneno yasio adabu hata pata kura yangu,labda shetan ampigie shetan mwenzie
 
MWIGULU NCHEMBA AHOJI ADAI BOMU LILIRUSHWA NA CHADEMA KAMA SIO WAO "MCHUKUA VIDEO ALITAARIFIWA NA NANI KWAMBA BOMU LITARUSHWA"

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba amesema bungeni leo kwamba Chadema ilipanga kufanya shambulio la bomu kwenye mkutano wa Soweto jijini Arusha.

Amesema hakuna jambo ambalo Chadema wamewahi kupanga wakashindwa.

“Itakuaje mtu amechukua mkanda wa tukio la umwagaji wa damu bila kutikisika au mchukuaji kukimbia, haiwezekani- hiyo walipanga.

“Inakuaje amechukua mkanda wa video kama mkanda wa harusi, yaani kama mkanda wa sendoff.? Amehoji Mwigulu huku wabunge wa CCM wakimuunga mkono kwa kupiga meza bungeni.

Mapema wiki hii katika mkutano wa Chadema, mtu mmoja asiyefahamika alirusha bomu kwenye mkutano wa Chadema na kusababisha watu wanne kufariki dunia na wengine 68 kujeruhiwa na kupelekwa katika Hospitali ya Mt Meru, Arusha.

Hujioni ulivyokuwa m.j.i.n.g.a?! CCM mmeishiwa hoja kweli kweli! Hamna jipya!
 
Back
Top Bottom