TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,194
- 13,020
Unataka kusema ndo maana kamuagiza yule mpumb.vu wa sugu kusema "wapigwe tu"?
Kwa sababu sijawahi kumsikia akikemea kwa dhati mauaji yanayofanywa na Polisi dhidi ya Raia...
Unataka kusema ndo maana kamuagiza yule mpumb.vu wa sugu kusema "wapigwe tu"?
Wewe unataka siku zote usiwe na maadui, hata kibinadamu huwezi kukosa maadui angalau wachache tu.
Mkuu inaonekana hata mkeo akikupiga utamlaumu Kikwete
we ndo mjinga wa kwanza tena ungekuwa karibu ningekupiga makofi. wewe mwanaume kweli?? kosa la kikwete lipo wapi?? lazima tulinde interest za nchi hii sio za mama yako.