kama mwenezi wenyewe ndie huyu basi kazi ipo yaani hovyo kabisa kabisa,sasa kama vibabu ccm si ndio wamejaa ,lowasa babu,kikwete babu,sita babu,pinda babu,wengine mnaweza kuwaongezea,kwahiyo sio mpaka uropoke ili uonekane unafanya kazi,kila mtu anajua kwa nafasi uliyonayo lazima upambane ili...