CHADEMA ni NGO INAYONUFAISHA WACHACHE

Watafuta mirija wote wapo Chadema.Eti Lema,Sugu wanasiasa hawa ni wahangaikaji wa maisha.Ndo maana mpaka Leo mnamdai Lema pesa za M4C alizokwapua kwenye kapu
 
Kwa namna nnavyoona CDM inavyowanufaisha viongozi wake, ambao wengi sasa wanatembelea magari ya kifahari na kujenga majumba ya kifahari nnaona CDM ni kama NGO au pressure group ambayo inatisha ili ile...

Kwa hiyo CCM wakijenga nyumba au kutembelea magari ya kifahari, wao ni sawa tu. Kama hivyo vigezo vyako ni sahihi, basi CCM ndiyo NGO namba moja.
 
WE bwe....GE kweli!!!!!!!!!!!Unatuletea mambo ya chadema hapa?,.....KWANI RADA NANI ANAFAIDIKA NAYO?....NDEGE YA RAIS NANI ANAFAIDIKA NAYO....HEBU SEMA RICHMOND IMEMNUS=FAISHA NANI KAMA SIO WALE MAPACHA WAKO WATATU (KIKWETE,LOWASA NA MSUKUMA YULE ROSTAMU)?,,,,,,YAANI BADO HUJATUAMBIA EPA IMEMNUFAISHA NANI HALAFU UNAAMKA TU TOKA USINGIZI WAKO WA PONO NA KUZUNGUMZIA CDM..........MARA NYINGI WATU KM NYIE NDIYO WANUFAIKA WA HAYO YOTE NILIYOYATAJA NA MENGINE
 
Mimi sifahamu au mimi siyo mtu?
Utakuwa siyo mtu kama hulifahamu hili.
Kama usingejitokeza kwenye hii tread na kuunga mkono mada, ningeshangaa sana! Ngoja tumsubiri Ritz naye aibuke.
Hata hivyo; habari za silku Rejao?
Unajua kuna vitu vingine huitaji akili ya ziada kuvitambua. Mbaya zaidi hii NGO inaangalia sana watu wa ukanda fulani na wa imani fulani.
 
haifai kuwa na umaskini wa akili, walikuwa na magari na majumba hata kabla yakujiunga na CHADEMA
Kwa namna nnavyoona CDM
inavyowanufaisha viongozi wake, ambao wengi sasa wanatembelea magari ya
kifahari na kujenga majumba ya kifahari nnaona CDM ni kama NGO au
pressure group ambayo inatisha ili ile...
 
umekosea mkuu NGO ni ccm,ingawa malengo yange ni kunufaisha familia za kawawa,kikwete,makamba,malima,mkapa,mwinyi,nnauye
 
Hayo yenu ,yangu Moyoni NCHI chini ya CDM 2015
Uchaguzi wa madiwani ulionyesha dira nzuri kuwa nchi itakuwa wapi 2015. Huoni viongozi wenu wote kwa sasa kimyaaa?? We endelea tu kujipa matumaini hapa JF!
 
KWANZA SISHANGAI KWA KUWA GOLII NDO KWANZA UNAINGIA JAMVINI! PILI INAONEKANA WEWE NDO WALE MNAOHONGWA KWA KANGA,TSHIRTs NA KOFIA. PILI KWA TAARIFA YAKO SISI EM WANAONGOZA KWA SERA ZA CDM. WAO HUSIKILIZA CDM WAMEKUJA NA HOJA GANI KISHA WANAZIDAKA NA KUDAI ZA KWAO MIFANO HII HAPA. > WAKATI WA MKAPA CDM WALIFUTA KODI ZA KICHWA KATIKA HALMASHAURI WALIZOKUWA WANAONGOZA ZA HAI NA KARATU.SISIEM WAKADAKA HOJA WAKASEMA NI YAO FUATILIA! > CDM WAKAPIGA KELELE KUHUSU MSWAADA ULIOKUWA UMEBARIKIWA NA SISIEM WA KUHONGA WATU WAKATI WA UCHAGUZI NA KUDAI NI TAKRIMA. SASA CDM NA MTIKILA WALIPOPIGA KELELE BUNGE LIKAFUTA SHERIA HIYO. WABUNGE WA SISIEM WAKASEMA NI WAO WALIOPENDEKEZA > CDM WAKAJA NA MAPAMBANO DHIDI YA UFISADI WAKAFIKIA HATA KUWATAJA...SISIEM KUONA UPEPO UNAENDA CDM WATU WACHACHE WAKAIBUKA KUDAI WANAPAMBANA NA UFISSADI KUMBE JANJA YA NYANI..TENA WAKAJISHAHIBISHA KUWA HOJA YA UFISADI NI YAO!!!! AIBU YAO AIBU YA NANI? > CDM WAKASEMA WATAUNDA KATIBA MPYA NDANI YA MUDA MFUPI .....SISIEM WAKAPINGAA WEEEEEE WAKIONGOZWA NA WAZIRI WA SHERIA NA MWANA SHERIA MKUU....UPEPO UKAONEKANA UNAWAENDEA VIBAYA JESHI LA CDM LIKATINGA IKULU RAIS AKALISAPORT MARA SISIM WAKAWA KIGEU GEU WAKAWEKA MIZENGWEE WEEEE HOJA IKAPITA KUUNDA KATIBA MPYA! SASA HAPO BORA NANI SISIM AU CDM??? > CDM KUPITIA MGOMBEA WAKE DR SLAA WAKASEMA WAKIINGIA MADARKANI ELIMU BURE KUANZIA CHEKECHEA HADI SEKONDARI. SISIM WAKAWAKEJELI...ETI HAIWEZEKANI HIZO NI PROPAGANDA TU.......BAADA YA MUDA TUNAWAONA WAKINA LOWASA WANAKULA YA CHADEMA ....YAANI WANADAKIA HOJA ELIMU BURE....HAPO BORA YUPI CDM AU SISIEM? > CHASEMA WALISEMA WAKIINGIA WATABORESHA MISHAHARA YA WATUMISHI KIMA CHA CHINI 315,000 HII NI 2010 ...TUKIFANYA HESABU KWA INFLATION RATE KWA SASA INAWEZA KUWA KARIBU 400,000! SISIEM WAMEPINGA SANAAAAAA! LAKINI SUBIRINI KWA KUWA MBIO ZA URAIS ZIMEANZA SISIEM ....UTASIKIA ATAIBUKA MTU NA KUSEMA .....HILO LINAWEZEKANA AFU WATASEMA HOJA NI YAO!!!!!! AIBU YA NANI SISI EM AU ??? JE NANI APEWE NCHI SISIEM AU.......CDM? KUNA MENGI AMBAYO SISIEM WANAIGA CDM AMBAYO NIKIANDIKA HAPA HAPATATOSHA!!!!! JE MPAKA HAPO CDM BADO NI NGO??????????????????????????????????
 
Unastahili kupewa mzodobwe wa mkodobwe.
Unakuja kichwa kichwa kama unakimbizwa......................... Heri ungekuja na facts kuliko kuja na majungu
 
Uchaguzi wa madiwani ulionyesha dira nzuri kuwa nchi itakuwa wapi 2015. Huoni viongozi wenu wote kwa sasa kimyaaa?? We endelea tu kujipa matumaini hapa JF!


Tusubiri siyo mbali , na polisi karibia wanajenga na siasa za ccm
 
Kundi la majangir,wauza unga,vibaka na mafisadi,na wadhululmaji ni wakina nani hao?....hao ndio ulipaswa kuongelea ndugu........................
 
Uchaguzi wa madiwani ulionyesha dira nzuri kuwa nchi itakuwa wapi 2015. Huoni viongozi wenu wote kwa sasa kimyaaa?? We endelea tu kujipa matumaini hapa JF!

ni dira nzuri kabisa,
ccm kata 22 kwa kura 9500
chadema kata 5 kwa kura 8800.

tusker.jpg
 
We kweli ni goliiiiiiiiiiiii!
Yani vi mistari viwili ulivyo andika ndio ushahidi wa hayo? Hata hujui maana ya NG0'S !



Kwa namna nnavyoona CDM inavyowanufaisha viongozi wake, ambao wengi sasa wanatembelea magari ya kifahari na kujenga majumba ya kifahari nnaona CDM ni kama NGO au pressure group ambayo inatisha ili ile...
 
Ccm nayo nini? Chama cha pembe za ndovu+mwabepande+matusi+mafisadi!

CDM ni wanaharakati wa siasa, na si wanasiasa, hili kila siku mie nalisema . Kwa maana hiyo km ni wanaharakati ni kweli NGO na si chama cha siasa
 
Back
Top Bottom