Kushindwa kwa Heche kuongoza BAVICHA

Kushindwa kwa Heche kuongoza BAVICHA

Ni wewe na kundi lako mlioshindwa uchaguzi pamoja na viongozi wachache kama Juliana Shonza ndio mnaendekeza makundi!
 
Pro-Chadema wakati mwingine mnachekeshana eti Heche anajaza watu kuzidi JK..ha haa haaa.

Kuna uongo gani.....km ungeshuudia mikutano aliyofanya mara na katavi na ukilinganisha hii ayafanya raisi wako wakati huu akienda nikoani utakuwa na jibu..... unadhani kwa nini raisi wako amewaambia ccm nayo ifanye mikutano ya hadhara.... anajuwa sio wewe unapinga tu, mwenzio alipinga mwisho wa siku ameamua kusema
 
Kwani Heche ni kijana mbona na mwona kama Babu halafu yule ubunge tarime asije akaota kuupata hana uwezo wa kuwaongoza watu wa tarime.Aendelee kukaa hapo kwa nguvu za mwenyekiti wake
 
Kijana wa kiume acha umbeya utavalishwa kanga.

kwa mtazamo wangu [COLOR=#ff0000 said:
mh heche[/COLOR] ameshindwa kuwa na ushawishi hasa zaidi kutumia na kuunganisha vijana wengi ambao wameonyesha matumaini na chama hasa wale walioko kwenye taasisi za vyuo na mashule.
Nadhani bila kusahau shanga za kiunoni.....mtu mzima hovyo sana.
 
Kijana namkubali sana,mbeleni atakuja kuwa mwanasiasa mahili kwani ameanza vizuri.Ameanza kuwa kiongozi kwa mafanikio makubwa akiwa kijana mdogo.Amewahi kuwa diwani ktk mji wa Tarime huku akiwa mwanachuo wa SAUT kwa kumbwaga kada maarufu sana wa ccm ktk kanda ya ziwa ndg Zakaria,hali hii ilipelekea kuwapa hamasa na msukumo vijana wenzake kina Mkosamali na Machali ambao walikuwa pamoja cdm saut kugombea ubunge 2010.Hao wanaompinga ni wanafiki na huenda hawajawahi kushika nafasi yoyote ya uongozi maishani hata ya umonita wa darasa.Hongera mwenyekiti Bavicha,wananchi tunaona kazi unayofanya
 
TUNTEMEKE.

Huna haja ya kutumia ID tofauti tofauti kwenye thread yako mwenyewe.
 
wewe ni mnafiki watanzania wana macho na wanaona pole sana tafuta mbinu ingine ya kutumia kumchafua heche
 
natoa maoni yangu kama mwanachadema heche yupo busy kutaka kumharibia mandevu mwita akili yake haiwazi zaidi ya ubunge

amekosa mbinu mbadala za kuimarisha bavicha
naikumbuka bavicha ya mh mnyika
Gombea wewe hiyo nafasi muda ukifika wa uchaguzi, tuone utakachofanya kuimarisha BAVICHA
 
Mtoto wa kiume kuwa na majungu kama hayo ni taswira mbaya sana kwa taifa letu

kuja na vitu vinavyoeleweka

Huko ofisini nako si nisehemu ya kazi?

mbona heche tunamuona mikoani siku nyingi tu


na suala la Mwita Mwikabe linatoka wapi mda huo bado sana
 
Taingia Heche achaguliwe Bavicha kaishatoa matamko zaidi ya 20 ambayo hayana tija yeyote. Kimsingi Heche kashindwa kuwaongoza vijana.
VP Bashe na Shigela waliweza kuongoza UVCCM? Hebu toa maoni yako pia!!!
 
we ritz gamba mwenzio nape mbona kila siku anatoa matamko husemi acha kudandia kila hoja uonekane unajua wakati hujui
 
acha ujinga wewe, kuna kiongozi gani anapiga kazi kama Heche? halafu bila aibu eti anakaa ofisini. unachekesha F.A.L.A. wewe
 
kwanza toa hiyo Mh kwenye jina la heche,huyo ni msaka noti tu,aliwahi kula pesa za michezo za sautso akiwa SAUT,acha anazowazulumu makama wa vyuoni wakati wa shughuli za kisiasa,heche uwezo wake ni mdogo wala hafanani na cdm
 
Kama mleta mada angekuwa ni mwana Chadema wa kweli na ana mapenzi ya dhati na Chama chake, basi thread yake lazima ingekuwa kwamba Bawacha wameshindwa kuwashawishi Wanawake kuiunga mkono Chadema na Ivunjwe mara moja.

Lakini kwakuwa mleta mada anatumia tumbo kufikiri badala ya Ubongo amejifanya kipofu kwa kutokuona kwamba Bavicha iko strong chini ya Heche na Heche anafanya mikutano mingi Vijijini na siyo kukaa ofisini.

Ndio maana hamu ya kuwa Mwanachama wa chama cha siasa inanitoka maana siwezi kuvumilia kukaa na watu wenye njaa kama hawa meza moja. hawa ni wale ambao wamekosa fursa za ulaji CCM sasa wakadhani Chadema watapata fursa hizo matokeo yake ni kupiga filimbi za majungu tu.

Sometime unaweza kudhani CDM hawana good will kuleta mabadiliko. Akina mama wamekuwa na chachu kubwa ya ushindi kwa CCM kupitia UWT lakini CDM haioni haja ya kuiimarisha BAWACHA ili ilete challenge. Wadau wengi wamekuwa wakilalamikia hili lakini hakuna mabadiliko. Muda umefika sasa CDM wachukue hatua
 
mtasugua sana visigino kwa umbea wenu umetumwa na kina zzk na kundilake

_zitto hana muda wa kupotea kabisa na huu upuuzi wako.
Muulize heche ni namna gani zitto kamsaidia ...kimsngi heche na zitto ni maswahba sana ndio maana zitto kamwachia gari heche la kufanyia kazi.
Kumhusisha zitto ni kupoteza muda wako bure...zitto sio type yako.
 
Huna haja ya kutumia ID tofauti tofauti kwenye thread yako mwenyewe.

MKUU KILICHOBAKIA NI KUSEMA HIVI WATANZANIA WOTE WANAOCHAMBUA UKWELI WA MBOWE.SLAA.HECHE.ZITTO.MNYIKA WAWEWANAITWA TUNTEMEKE.
YAANI MARA HII UNANIHUSSISHA NA KUANZISHA THREAD HIII..NADHANI MAWAZO YANGU YA UDHAIFU WA HECHE UMEYAONA.
SWALA UNALOLIISEMA WEWE NI MAJUNGU TU KWA SABABU WWE unamkubali MBOWE MM Namkubali ZITTO
 
Taingia Heche achaguliwe Bavicha kaishatoa matamko zaidi ya 20 ambayo hayana tija yeyote. Kimsingi Heche kashindwa kuwaongoza vijana.
Bavicha inakuhusu nini wewe mfuasi mwaminifu, mjinga na mwehu wa CCM?
 
Back
Top Bottom