Recent content by NY76

  1. N

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji mkopo wa sh 500,000 kushuka chini anione

    Wenye shida na wanao taka kuongeza shida zao wakuone...hamna msaada hapo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kamishna Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania(IGP)

    Msukuma anasema tukiuliza tunaambiwa mmeipenda wenyewe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atweet asubuhi hii kuhusu Mradi mkubwa

    Pambana mkuu na tunakuombea kwa Mora. Tulipokuwa tumefikia haina jinsi kuvuruga mifumo mibovu ili ijengwe mipya cha msingi tuwe makini kisheria zaidi.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa SportPesa: Hans Pope wa Simba SC abwaga manyanga

    Soka la Bongo ni shida sana na ndio maana timu zetu zinashindwa kushindana vilivyo kwenye mechi za kimataifa. Ukizoea figisufigisu ni shida sana
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hii machine kwa hapa Tanzania unaweza kuipata wapi?

    Hii ni bomba kushinda jembe la mkono
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kiingereza ya Rais Magufuli na wafanyabiashara wa Afrika Kusini

    Mkuu yupo safi nimemkubali sana.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamuru TRA, TFDA, TBS na TPA wawe wanafanya kazi saa 24 Bandarini kuanzia Jumatatu

    Naona Prof Mhongo analalamika kuwa mikataba ya umeme walio ingia Tanesco eti yote ni mibovu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Virusi Za kuharibu mifumo ya makombora ya n Korea zamnyima usingizi Jon Kim

    Subiri zianze kupigwa utaona watakavyo mpiga mande
  9. N

    JamiiForums Tanzania Virusi Za kuharibu mifumo ya makombora ya n Korea zamnyima usingizi Jon Kim

    Ila S.Korea na Japan wakiungana na USA Mapanki hatoki hata kidogo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ndege za kuangusha mabomu za Marekani zapaa Korea

  11. N

    JamiiForums Tanzania Ndege za kuangusha mabomu za Marekani zapaa Korea

    Hapa naona kuna timu NK vs USA
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ninunue kipi gari au nijenge nyumba?

    Mkuu nakushauri uanze nakujenga baadae nunua gari ukiwa kwako
Back
Top Bottom