Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Mimi ke [emoji57][emoji57][emoji57]Sanks brooo nimekuelewa
Mimi ke [emoji57][emoji57][emoji57]Sanks brooo nimekuelewa
Habari vipi wakuu,
Najua katika maisha ya vijana hua kuna mitazamo tofauti ya mfumo wa maisha mtu atakavyo kuishi sina nyumba naishi nimepanga hapa Dar, lakini nina kiwanja Mbezi.
Mpango wangu ninunue gari MUNGU akisaidia mbeleni nitajenga tuu sasa hili suala la kutangulia kununua gari kabla ya kujenga, baadhi ya watu wameanza kuona eti napotea njia, wananiona sasa nimeanza kuchanganyikiwa.
Ushauri wenu wana JF ninunue gari au nitangulie kujenga nyumba.
NB: Endapo nitanunua gari kipato changu kitaongezeka Mara 2 ya nilichokua napata kwa mwezi
sasa kama anataka kununua passo kwa mtu milioni nne na nusu je utaweza kujenga nyumba kwa hela hiyo?Vijana wengi wanaopenda kujionesha wananunua gari ila kama una malengo chanya jenga.
Naishi singo sijaoa mkuuUna familia au uko single.Kama una familia inabidi uanze na nyumba gari baadae.Kama uko single unaweza kuanza na usafiri nyumba baadae.Gari siyo asset gari ni liability lazima uilipie mafuta,vipuri,tochi za trafiki nk.Nyumba >Gari.
Kuna nyimbo ya wagosi wa kaya ulikua umamsitari unasema ushauri wao ni kama nguvu za Giza.Nenda kawekeze kwenye betting after 1 week utakuwa ushapata pesa zote za nyumba na gari kwa wakat mmoja
Asante mkuuNilikopa bank nikanunua gari...nikakaa nikaona gari inanipoteza service si mchezo ingawaje gari ina heshima yake.
Baadae nikakaa nikapiga hesabu, naishi nyumba ya kupanga, gari nalaza barazani (nyumba haina fence).
Nikaona ni vema na busara kuwa na nyumba kwanza. Nikauza gari, nikanunua kiwanja ndani ya mwezi mmoja nikahamia kwangu.
Though nyumba bado haina umeme but maisha ya nyumba yako mwenyewe ni mazuri sana.
Ukizingatia nimeoa, nakushauri jenga achana na magari.
Utanunua gari kwa bahati mbaya siku unaingia barabarani tu inagongwa. Sina maana nyumba hazina risk lahasha
Cjakupata bado mkuuKuna nyimbo ya wagosi wa kaya ulikua umamsitari unasema ushauri wao ni kama nguvu za Giza.
Nimefananisha na jibu lako.