Kila uvimbe ni kansa mpaka itakavothibitika tofauti, Tezi inaweza kuvimba ikawa kansa au sio kansa, wataalamu watafanya biopsy kuona uwepo wa seli za saratani ktk uvimbe. Mpaka kuandikiwa Chemo ujue wajomba wameiona saratani, mwamba ameishinda kansa.
Kwa watu wote wanaopambana na kansa huu ni ushindi, kwamba hata kama nitakufa kesho lakni kuna mmoja aliwahi ishinda kansa na kuionyesha dunia kwamba inawezekana.
Huwa nikipata pesa bila taarifa siitoi
Kwa muda wa saa 48 au zaidi ili kwamba imekosewa irudi ilipotokea, vinginevyo ndani ya muda huo huwa napigiwa simu ya hama pesa imekosewa au kuna mtu kanilipa.
Nilitamani sana kujua sana hizo pesa Mil 62 zimefika vipi kwenye mikono ya Afisa Afya wa Kata, hii habari ikamilishwe vizuri!!! Kwani hawa watu wanakuwa na mafungu!?
NHIF licha ya changamoto zote, wanafanya kazi nzuri sana!!! Mungu ayabariki mawazo ya mwanzilishi wa mfuko. Ukikatwa iko ki 3% na kama haujawahi kupatwa na magonjwa huwezi elewa!!!
Kweli mvumilie kidogo tu, mara nyingi ustaarabu wa mjini na kijijini ni tofauti, mtu akileta mambo ya kijijini town lazma iwe shida . Lakni vumilia siku kuu zitaisha atarudi kwao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.