Recent content by Nundu ya Mbwa Mweusi

  1. N

    Nilichobaini kutokana na ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali

    :oops: :cool: Ripoti iliyowasilishwa jana tarehe 28/2/2021??? REKEBISHA HII TAREHE MKUU
  2. N

    Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

    etiiiii:oops: mbona hata wewe pupa fulllllll
  3. N

    Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

    Natumia Redmi S2 toka August 2018,iko vizuri sana kila kitu,na nilianza kuzifuatilia hizi simu kupitia maandiko ya Chief Mkwawa,ila upande wa Camera haina ubora mzuri,ila sekta zingine is among of the best phone kwa watu wa kipato cha wastani. Kingine ni moja ya simu zinazotunza chaji kwa muda...
  4. N

    Azam TV ina matatizo ya kiufundi

    Niliwahi kukutana na upumbafu DSTV,king'amuzi kilikuwa kinaleta meseji katikati ya screen na hata ufanye nini haitoki,kuwaeendea wananiambia king'amuzi kimekuwa ni cha siku nyingi natakiwa kununua kingine,nikawaambia maisha yenyewe manati na pia hamkuniambia ni baada ya muda gani kitakuwa ni cha...
  5. N

    Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

    Mkuu si hukumu,hayo ni maamuzi ya kanisa,hakuna hukumu hapo ni kanisa kama kanisa limeona hastahili kupata huduma ambayo wakati akiwa hai hakuithamini.
  6. N

    Nimepata vidonda kama picha inavyoonesha. Je, ni ugonjwa gani huo?

    Because there's opening wound in this matter, erythromycin can work as anti staphylococcal antibiotics, in case the patient is itching Cetrizine might work as antihistamine,as long as we only see the picture without clacking the complain we cant be sure 100% with the treatment, cha msingi...
  7. N

    Wataalamu msaada 'Bechet's disease and Oral Candidiasis'

    Wataalamu wa afya msaada wa elimu ya afya,Tunaomba msaada wenu tupate ufafanuzi juu ya haya magonjwa ya kinywa maana yanafanana kwa dalili lakini naangalia approach ya matibabu yake yaweza kuwa tofauti. Tupate mtaalamu wa afya ya kinywa na meno atusaidie.
  8. N

    Mbunge Ally Kessy: Road licence ihamishiwe kwenye mafuta(petrol & diesel)

    katoa mfano tu, sio pendekezo...akili hizi !!!1 pole pole tu tutafika
  9. N

    Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    soma definition ya cream hata google then ndo ulivyokurupuka ukurupuke vizuri...
  10. N

    Navumilia mateso ya moyo kwaajili ya mtoto wangu

    hapa asilimia kubwa ya wanaume wa kitanzania wanaulemavu,kutamka ni vigumu
Back
Top Bottom