Ndoto ya Tanzania kuwa donor country imefikia wapi?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
6,414
2,000
Kama wewe (mleta mada) siyo mtanzania una haki ya kuuliza swali hili. Lakini kama ni mtanzania hasa, yaani ni raia wa Tanzania lazima ujiulize kama unasifa stahiki kuitwa mtanzania. Pia ujiulize kama kuna faida yoyote ya wewe kujihusisha na utanzania wakati hufikiri nchi hii itajikwamuaje na utegemezi; zaidi wewe unawaza kukebei juhudi za wale wanaotaka Tanzania yenye nguvu kiuchumi na kijamii.
Mimi ni mtanzania namba moja mpenda nchi yangu. Ila ninachojua mimi misaada na mikopo mingi ni chanzo kikubwa cha kupoteza uhuru wetu na kutenda mambo ambayo hujayapanga kuyatenda huko mbeleni kutokana na madeni makubwa ya nchi. Hii ndiyo maana Mzee Makamba alimfukuza Matonya katikati ya mji. Hata akinamama wa vikoba wanafahamu sana ubaya wa mikopo mingi. Ni heri kwa pamoja tukashirikiana katika kuamua hatima ya nchi yetu kuliko kutegemea mtu au kikundi cha watu. Turudi nyuma tuangalie upya katiba yetu na vyanzo vyetu vya mapato vilivyoko.
 
balozimchomvu

Senior Member
Jan 30, 2017
162
225
Nakubaliana na hoja hii. Tanzania ina unexploited potential kubwa sana:

Kwa upande wa kilimo:

Sisal - Tanga, Morogoro, Kilimanjaro - inaweza kufanya nchi hii kuwa ya kwanza duniani
Coffee- Kilimanjaro , Arusha, Mbinga, Tarime- tunaweza kuwa wazalishaji wakubwa sana duniani
Cotton- Lake zone
Tea- Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Songea- enormous potential
Pareto- Mbeya na Iringa
Cocoa- Kyela, Ifakara
Korosho- Pwani, Mtwara, Tunduru
Mahindi- kila mahali
Ngano- Arusha, Njombe, Mbeya
Maharagwe- Almostkila mahali
Ndizi- Mbeya, Kilimanjaro, Arusha, Mara, etc

Madini- ndiyo usiseme

Why all these years we have failed to turn these potentials into tangible assets?
We actually have all those u have mentioned but mind you my friend, the whites are the one who control market technology and even capital. Their the one who decide what we should get in whatever we trade
 
balozimchomvu

Senior Member
Jan 30, 2017
162
225
JPM anamwambia Zumma akamuombee hela BRICS ili ajenge reli.Humo kwenye BRICS mtu mwenye hela ni MCHINA,na yeye amezinguana na Mchina kwenye SGR phase I akampa mturuki.Sasa anarud kwa mchina kwa staili ya kupitia Zuma.
Tatizo la magu yeye anataka kula tu lakini kuliwa hataki. Huwezi kula bila nawewe kuliwa kidogo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG

balozimchomvu

Senior Member
Jan 30, 2017
162
225
Impossible,
Yaani anawakandia matajiri while hao ndo mfumo wa leo wanabembelezwa.
Aweke sheria nzuri watu watakuja tu
Na ajaribu kutoka kwenda kuongea na wakubwa, hivi anadhani kwamba jk alikuwa mpuuzi kuwafata wazungu kila kukicha? He actually new what he was doing. Jk organised a lot of money from donor countries
 
  • Thanks
Reactions: SDG

SDG

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
7,638
2,000
Na ajaribu kutoka kwenda kuongea na wakubwa, hivi anadhani kwamba jk alikuwa mpuuzi kuwafata wazungu kila kukicha? He actually new what he was doing. Jk organised a lot of money from donor countries
Anaanza kubadilika,mwaka ujao wa fedha 2017/18 atakwenda tu.HANA NAMNA
 
Nsibhwene

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
293
250
Tanzania ina vyanzo vingi vya mapato ambavyo hata Mh. Rais wetu akalidhika navyo kuwa atavitumia kuifanya Tanzania kuwa donor country na sio kuwa ombaomba tena. Ndoto hii ikoje utekelezaji wake hadi sasa?
Kujenga misingi imara ya uchumi sio kwamba unasema leo kesho asubuhi unakuta kila kitu kiko sawa. Juhudi zinazofanywa na JPM ni kujenga misingi ikiwemo kuondoa figisu figisu zote zilizokuwa zimetamalaki katika maeneo mbalimbali ya utumishi ikiwemo wizi, rushwa, wafanyakazi hewa, vyeti feki (wauaji wakubwa wa uchumi wa nchi), ujenzi wa miundombinu ya ku-support uchumi mkubwa, gesi, bomba la mafuta nk. Ukifanikisha hayo, ukuaji wa uchumi unasambaa wenyewe pasipo kutumia msuri. hivyo, ni vema kuzipima juhudi anazoendelea nazo JPM badala ya kuanhgalia mifuko yako imekaaje kwa sasa.
Misingi imara kwanza ndio muhimu, na mengine baadaye kama unanawa vile.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,164
2,000
Nakubaliana na hoja hii. Tanzania ina unexploited potential kubwa sana:

Kwa upande wa kilimo:

Sisal - Tanga, Morogoro, Kilimanjaro - inaweza kufanya nchi hii kuwa ya kwanza duniani
Coffee- Kilimanjaro , Arusha, Mbinga, Tarime- tunaweza kuwa wazalishaji wakubwa sana duniani
Cotton- Lake zone
Tea- Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Songea- enormous potential
Pareto- Mbeya na Iringa
Cocoa- Kyela, Ifakara
Korosho- Pwani, Mtwara, Tunduru
Mahindi- kila mahali
Ngano- Arusha, Njombe, Mbeya
Maharagwe- Almostkila mahali
Ndizi- Mbeya, Kilimanjaro, Arusha, Mara, etc

Madini- ndiyo usiseme

Why all these years we have failed to turn these potentials into tangible assets?
Tunawekeza kwenye mapanga boi na terrible teens! Kilino sio mda wake...we angalia bajeti kilimo kimepewa kiasi gani!
 
kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,783
2,000
Nakubaliana na hoja hii. Tanzania ina unexploited potential kubwa sana:

Kwa upande wa kilimo:

Sisal - Tanga, Morogoro, Kilimanjaro - inaweza kufanya nchi hii kuwa ya kwanza duniani
Coffee- Kilimanjaro , Arusha, Mbinga, Tarime- tunaweza kuwa wazalishaji wakubwa sana duniani
Cotton- Lake zone
Tea- Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Songea- enormous potential
Pareto- Mbeya na Iringa
Cocoa- Kyela, Ifakara
Korosho- Pwani, Mtwara, Tunduru
Mahindi- kila mahali
Ngano- Arusha, Njombe, Mbeya
Maharagwe- Almostkila mahali
Ndizi- Mbeya, Kilimanjaro, Arusha, Mara, etc

Madini- ndiyo usiseme

Why all these years we have failed to turn these potentials into tangible assets?
Chama cha Majambazi
 
SDG

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
7,638
2,000
Tatizo la magu yeye anataka kula tu lakini kuliwa hataki. Huwezi kula bila nawewe kuliwa kidogo.
Kumwambia Zuma amuombee mkopo BRICS means Zuma hana hela ya kutukopesha sisi.
Akienda BRICS maana yake anakopa hela za NCHI 5 KWA MARA 1
 
Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
3,902
2,000
Tanzania ina vyanzo vingi vya mapato ambavyo hata Mh. Rais wetu akalidhika navyo kuwa atavitumia kuifanya Tanzania kuwa donor country na sio kuwa ombaomba tena. Ndoto hii ikoje utekelezaji wake hadi sasa?
Ndoto ni vision or mission' na huwa haifikiwi kwa kufumba na kufumbua macho.
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
6,414
2,000
Kujenga misingi imara ya uchumi sio kwamba unasema leo kesho asubuhi unakuta kila kitu kiko sawa. Juhudi zinazofanywa na JPM ni kujenga misingi ikiwemo kuondoa figisu figisu zote zilizokuwa zimetamalaki katika maeneo mbalimbali ya utumishi ikiwemo wizi, rushwa, wafanyakazi hewa, vyeti feki (wauaji wakubwa wa uchumi wa nchi), ujenzi wa miundombinu ya ku-support uchumi mkubwa, gesi, bomba la mafuta nk. Ukifanikisha hayo, ukuaji wa uchumi unasambaa wenyewe pasipo kutumia msuri. hivyo, ni vema kuzipima juhudi anazoendelea nazo JPM badala ya kuanhgalia mifuko yako imekaaje kwa sasa.
Misingi imara kwanza ndio muhimu, na mengine baadaye kama unanawa vile.
Miaka yake 10 ikiisha tuna uhakika gani kama vyeti feki havitarudi kama vilivyouawa Azimio la Arusha, Kilimo kwanza, Big Results Now, ubinafsishaji wa mashirika, n.k? nchi imekosa dira kila Nabii inakuja na ndoto zake.
 
ZILLAHENDER MPEMA

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
2,058
2,000
Tanzania ina vyanzo vingi vya mapato ambavyo hata Mh. Rais wetu akalidhika navyo kuwa atavitumia kuifanya Tanzania kuwa donor country na sio kuwa ombaomba tena. Ndoto hii ikoje utekelezaji wake hadi sasa?

Ndoto hii ilikuwa sawa na "ndoto nyevu", muotaji kaishia kujipiga bao mwenyewe.Sasa si tu kwamba tumekua ombaomba,bali tunawatumia hadi watu wengine watusaidie kuomba misaada kwa niaba yetu!
 
PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,981
2,000
haaaaaaaaa kwa siasa hizi za chuki gilba na umimi nchi kufikia kiwango hicho tusahau kabisa.

Nchi hii inaitaji kuwa na muafaka wa kitaifa pamoja na umoja bila kujali pepo la vyama.
 
kijani11

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
6,605
2,000
Tanzania ina vyanzo vingi vya mapato ambavyo hata Mh. Rais wetu akalidhika navyo kuwa atavitumia kuifanya Tanzania kuwa donor country na sio kuwa ombaomba tena. Ndoto hii ikoje utekelezaji wake hadi sasa?

Ungevianisha hivyo vyanzo uwasaidie kuwatoa tongotongo.
 
Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,831
2,000
Yaani sisi ni kama vile vi dame vya mizinga ukiomba number tuu, hicho kimekupigia! Unasema yes haka bora kumbe duuh mzinga! Hata hatujuani kihivyo!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom