Recent content by Nukta5

 1. Nukta5

  Nimeweka Engine Oil 20w-50 X-trail NT30 (2003) nipo sawa?

  Habari zenu nimesoma nimepata elimu kubwa sana ila me bado nina swali lakuuliza, me natumia Premio 2009 engine ZRT 261 mara ya mwisho niliweka 5w 30 total wakati huu wakat nabadili fundi kanishaur hata 5W 40 kwa mazingira yetu pia inafaa so nikanunua castrol 5W 40 je ni sawa? Pia swala la oil...
 2. Nukta5

  Ninani Baba wa mtoto wa Irene Uwoya kwa sasa?

  But in my view i see attacks are going directly to his mother for betterment of her kid
 3. Nukta5

  Ninani Baba wa mtoto wa Irene Uwoya kwa sasa?

  Labda nikuulize swali, mwanao unaweza kumuweka hivyo kumpaka makeupa na vinguo vya kike? Je mume wako kama unae au boyfriend wako ukimuelezea hilo swala kuhusu mtoto mtaemzaa awe kama hivyo anasemaje?
 4. Nukta5

  Ninani Baba wa mtoto wa Irene Uwoya kwa sasa?

  Ninesoma comments naoma wanawake wanafurahia muonekano wa mtoto kwamba amefanana na mama so ni handsome hilo ni sawa ila uhandsome sidhani kama ni muonekano wa kike pia wanaume tunachoona ni kuwa hata kama anamuonekano wa kike basi awe na malesi ya kiume hiyo kumvalisha na kumremba kama mwanamke...
 5. Nukta5

  TBS: Kuanzia 01 Machi 2021, utaratibu wa kukagua magari kutoka nje ya nchi, utafanyikia hapa nchini

  Hapa navyoona itakuwa inspection fee ziko mbili ya japan na ya hapa kwetu na sion haja ya kuja kukagua tena wakati aa Japana wanakagua na kama linashida hiwa wanaonyesha kwenye karatasi yao labda kama wangekuwa na akili wangekuwa wanacollect zile karatas za inspection then wanaingiza kwenye...
 6. Nukta5

  Kuagiza gari hadi kulipia kodi ya bandari

  Nashukuru Mungu mwaka jana nimeweza kuagiza gari mwenyewe BE FORWARD kwa kutumia laptop yangu nikaenda kulichukua mwenyewe, changamoto niliyoipata ni pale Be Forward unapochukulia gari huwa kuna madalali wa ufundi wengi kila mtu anataka akufanyie service ila kama unafundi wako basi unaondoka...
 7. Nukta5

  Wapenzi wa Wayback tukutane hapa

  Nimeupenda huu uzi maana unanikumbusha miaka hiyo natamani kila mwenye kumbukumbu yoyote ya wimbo atupie me wimbo naoupenda ni Milli Vanilli unanikumbusha nikiwa mdogo kuna jirani alikuwa anapenda kuuweka siku za jumamosi
 8. Nukta5

  Msaada: Unaondoaje Ukungu wa nje kwenye kioo cha mbele?

  Juz nilienda marangu na gari sasa usiku wakat narudi kulikuwa na baridi gari ikawa inaweka ukungu kwa nje nimejaribu kuwasha heater ta kioo haikubali ilichosaidia ni wiper inafuta kidogo but inarudi palepale, ukikutana na gari inayokuja imewasha taa huoni vizuri kabisa nimeenda nayo hadi sehem...
 9. Nukta5

  Unapokuwa out of mood (down) wimbo gani huwa unapenda kusikiliza?

  Juliana Kanyomozi - Nabikoowa
 10. Nukta5

  TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

  Kwenye uongozi wake wafanyakazi wake ni kati ya waalimu wa kwanza kuwa na Maendeleo nyumba magari alikuwa anawawezesha mikopo isiyi kuwa na riba, Pia ni mmiliki mwenza wa Mabasi ya Ibra Line na Shule ya Kibo
 11. Nukta5

  Kwanini tunaendelea kupakana rangi vidoleni punde baada ya kupiga kura 2020 licha ya kuenea kwa teknolojia hii ya alama za vidole (Fingerprinting)?

  Hilo haliwezi tekelezeka kamwe, hivi unajua utamu wa madaraka au cheo? Unajua utamu wa V8 wewe?, unajua utamu wa kusema jambo na linatekelezwa muda huo huo bila kupingwa? ndo mtu akuletee wazo eti tunataka tuondoe wini tulete fungerprint si unaweza kata huo ulimi na kutoa hayo macho kesho...
 12. Nukta5

  Serikali: Wananchi kuweni makini kabla ya kununua magari Japan

  Hata Rwanda kuna Kampuni ya kuunda magari ya Volkswagen sema hawajajiadvertise sana
 13. Nukta5

  Jionee New Mbezi Mwisho Interchange Dar es Salaam

  Tuwekeeni picha kwa sisi tulioko huku Kapalamsenga tuone kazi za wasomi wetu
 14. Nukta5

  Mfumo wa usafiri mjini Dodoma na Tabia ya wakazi Wa Dodoma (Maendeleo mtayasikia kwenye bomba)

  Nimesoma comment zote nimesikitika sana nilitaka nije ninunue shamba huko lakin naona kama kukata tamaa kwa hali halisi ilivyo
Top Bottom