Recent content by ntogwa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wasomi tu: Msomi huyu namwonea wivu

    asante
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wasomi tu: Msomi huyu namwonea wivu

    Asante, nashukuru
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wasomi tu: Msomi huyu namwonea wivu

    Nakushukuru ndugu yangu, Mwalimu Tanzania kufurahia mafanikio yangu, nina imani unawivu wa maendeleo ndiyo maana unataka kushea mawazo na wanaJF. Mimi binafsi nakutakia kila la heri na karibu sana tujifunze pamoja maana elimu ni mawazo na mawazo ni watu na watu ni jamii!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Wameweza ... wananchi wafurahia

    katika hali ambayo haikutarajiwa ni hii hali ya ushirikiano wa kiutendaji kati ya Jeshi la Polisi na wananchi. Kupitia dhana ya Polisi Jamii wananchi wameweza kuwa karibu na wananchi na hivyo kupunguza wimbi la uhalifu katika maeneo yao na familia zao. Dhana hii ni nzuri, lakini hata hivyo...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Polisi na Taasisi za Kidini Kufanya Kazi Pamoja

    Utii wa sheria bila shuruti ni kampeni ya Dini zote. Hivi karibuni Jeshi la polisi Tanzania limeanzisha kampeni ya Utii wa sheria bila shuruti ikiwa ni moja ya miradi mikuu ya falsafa ya Polisi Jamii inayoendeshwa na Jeshi la Polisi nchini. Jambo ambalo linanishangaza kuna watu wanaoipinga...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Askari afariki kwa ajali Siha

    katika kujadili jambo lolote lile ni vyema busara na hekima zikatumika. Ni jambo la ajabu na kushangaza sana kuchangangia hoja au jambo ili mradi tu umeandika au umesema. suala la kushabikia matatizo wanayoyapata polisi ni uimbukeni mkubwa sana, na pengine ni uzuzu. Nina imani kuwa hata kama...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapomtaka mwanamke

    zipo sababu nyingi zinazosababisha mambo haya katika ndoa, baadhi ni zifuatazo:- 1. kutumia uongo mwingi wakati wa uchumba wenu, yaani kutokuwa wakweli wakati uchumba 2. kushindwa kujipa muda mwingi na wa kutosha wa kufahamiana kati yenu 3. kwa makusudi, wakati wa uchumba kila mmoja anajitahidi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Love your wife and honor your family'

    good message
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Good! Mungu atakubariki sana, kwa mchango wako wa mantiki. Unaelewa wa juu, please, nakuomba uwe chachu ya mabadiliko kwa wengine . Na nakuomba ujaribu kuupitia waraka wa waislam na kuwaelimisha juu ya kile walichokiandika kwani kinatishia usalama wa taifa letu. Nakuomba uwe na kopi hiyo na...
Back
Top Bottom