Kwa wasomi tu: Msomi huyu namwonea wivu

Ole

JF-Expert Member
Dec 16, 2006
2,130
2,000
wahenga walisema kuwa kujifunza kutoka kwa wenzio ni busara, mimi binafsi leo nadiriki kutamka wazi kuwa nimejifunza mengi kwa huyu msomi. msomi huyu ni msomi, mtanzania, amemaliza shahada ya uzamili juzi juzi tu. Cha kushangaza ana publication nyingi na vitabu katika international journals, najiuliza kwa kina sana, kasi anayoenda nayo huyu msomi inatisha sana, wapo wasomi wetu wenye PhD hawana publication hata moja.

kutoka na na kuguswa sana na mafanikio ya kijana msomi huyu, nawatumia links za tafiti zake pamoja na vitabu ili na nyie muweze kujifunza kitu:

 1. Ntogwa Ng'habi Bundala at IDEAS
 2. https://www.academia.edu/2225133/INTERNATIONAL_JOURNAL_OF_RESEARCH_IN_COMMERCE_IT_and_MANAGEMENT
 3. Products by Bundala Ntogwa | Angus and Robertson
 4. Search Results - creator:"Bundala, Ntogwa Nghabi" - EconBiz
 5. Amazon.com: Ntogwa Bundala: Books
 6. ntogwa bundala - AbeBooks
 7. http://www.managementjournal.info/download1.php?f=502012013.pdf
 8. Theories of Capital Structure - Ntogwa Bundala - Google Books
 9. Bundala Ntogwa | Barnes & Noble
 10. RJBMA
 11. Etc…

Unafikiri kuna mtu wa kuja kumlangua JF?
 
Emma Lukosi

Verified Member
Jul 22, 2009
929
195
[h=2]Editorial Reviews[/h] [h=3]About the Author[/h] Bundala,N.Ntogwa (MBA-Finance), Studied at the Open University of Tanzania. Community Policing Officer- Mwanza Regional Police.Tanzania,United Republic Of
[h=2]Customer Reviews[/h] There are no customer reviews yet.

5 star

4 star

3 star

2 star

1 star

Share your thoughts with other customers
Write a customer review
Advertisement

Maana yake hakuna ata mtu alienunua hivyo vitabu vyako!.

$ 58 ni kubwa sana mkuu unaandika kuhusu uchumi wakati hujui hata Pricing Model!.

Unamzidi hadi Frank Woods?!.
 
Emma Lukosi

Verified Member
Jul 22, 2009
929
195
wahenga walisema kuwa kujifunza kutoka kwa wenzio ni busara, mimi binafsi leo nadiriki kutamka wazi kuwa nimejifunza mengi kwa huyu msomi. msomi huyu ni msomi, mtanzania, amemaliza shahada ya uzamili juzi juzi tu. Cha kushangaza ana publication nyingi na vitabu katika international journals, najiuliza kwa kina sana, kasi anayoenda nayo huyu msomi inatisha sana, wapo wasomi wetu wenye PhD hawana publication hata moja.

kutoka na na kuguswa sana na mafanikio ya kijana msomi huyu, nawatumia links za tafiti zake pamoja na vitabu ili na nyie muweze kujifunza kitu:

 1. Ntogwa Ng'habi Bundala at IDEAS
 2. https://www.academia.edu/2225133/INTERNATIONAL_JOURNAL_OF_RESEARCH_IN_COMMERCE_IT_and_MANAGEMENT
 3. Products by Bundala Ntogwa | Angus and Robertson
 4. Search Results - creator:"Bundala, Ntogwa Nghabi" - EconBiz
 5. Amazon.com: Ntogwa Bundala: Books
 6. ntogwa bundala - AbeBooks
 7. http://www.managementjournal.info/download1.php?f=502012013.pdf
 8. Theories of Capital Structure - Ntogwa Bundala - Google Books
 9. Bundala Ntogwa | Barnes & Noble
 10. RJBMA
 11. Etc…

Kuna kitabu kinaitwa "Determinants Of Sovereign Creditworthiness Of A Country: A Lending Guide For Both Developed and Developing Countries" is this a book title or a research topic?.

Umetuaibisha uko amazon.com
 
Emma Lukosi

Verified Member
Jul 22, 2009
929
195
Kingine hiki; Theories of Capital Structure: A theoretical and Practical Approach, Experience of Tanzanian Listed Companies

?
 
Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,537
2,000
Mkuu, nilitaka kukupa za usoni ila nikafuta kwani naona unaweza kuwa hujui Kiingereza. Kujua lugha siyo dhambi itakayofanya utukanwe na watu. Ila siku nyingine, soma uelewe maana ya maneno.

Mie mwenyewe nimeshanunua sana vitu ONLINE na huwa siachi REVIEW au maoni yoyote kujusu bidhaa au muuzaji.

Kwamba hakuna Customer Reviews, haina maana kuwa hakuna aliyenunua. Au unataka kuniambia wewe ndiyo mashika fedha wa AMAZON? au wewe ndiyo Boss wa Amazon? Tafadhali sana bana. Inawezekana wameshanunua sana tu ila hakuna aliyeacha mapendekezo au maoni yake.
Customer Reviews

There are no customer reviews yet.
5 star
4 star
3 star
2 star
1 star
Share your thoughts with other customers
Write a customer review

Maana yake hakuna ata mtu alienunua hivyo vitabu vyako!.

$ 58 ni kubwa sana mkuu unaandika kuhusu uchumi wakati hujui hata Pricing Model!.

Unamzidi hadi Frank Woods?!.
 
Mwanawalwa

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,015
1,195
wahenga walisema kuwa kujifunza kutoka kwa wenzio ni busara, mimi binafsi leo nadiriki kutamka wazi kuwa nimejifunza mengi kwa huyu msomi. msomi huyu ni msomi, mtanzania, amemaliza shahada ya uzamili juzi juzi tu. Cha kushangaza ana publication nyingi na vitabu katika international journals, najiuliza kwa kina sana, kasi anayoenda nayo huyu msomi inatisha sana, wapo wasomi wetu wenye PhD hawana publication hata moja.

kutoka na na kuguswa sana na mafanikio ya kijana msomi huyu, nawatumia links za tafiti zake pamoja na vitabu ili na nyie muweze kujifunza kitu:

 1. Ntogwa Ng'habi Bundala at IDEAS
 2. https://www.academia.edu/2225133/INTERNATIONAL_JOURNAL_OF_RESEARCH_IN_COMMERCE_IT_and_MANAGEMENT
 3. Products by Bundala Ntogwa | Angus and Robertson
 4. Search Results - creator:"Bundala, Ntogwa Nghabi" - EconBiz
 5. Amazon.com: Ntogwa Bundala: Books
 6. ntogwa bundala - AbeBooks
 7. http://www.managementjournal.info/download1.php?f=502012013.pdf
 8. Theories of Capital Structure - Ntogwa Bundala - Google Books
 9. Bundala Ntogwa | Barnes & Noble
 10. RJBMA
 11. Etc…

ni kweli hasa hiyo publication ya 8 niliwahi kuisoma jamaa anajitahidi sio utani tena alifanyia open university big up
 
Jul 28, 2013
72
95
Editorial Reviews

About the Author

Bundala,N.Ntogwa (MBA-Finance), Studied at the Open University of Tanzania. Community Policing Officer- Mwanza Regional Police.Tanzania,United Republic Of
Customer Reviews

There are no customer reviews yet.
5 star
4 star
3 star
2 star
1 star
Share your thoughts with other customers
Write a customer review
Advertisement

Maana yake hakuna ata mtu alienunua hivyo vitabu vyako!.

$ 58 ni kubwa sana mkuu unaandika kuhusu uchumi wakati hujui hata Pricing Model!.

Unamzidi hadi Frank Woods?!.

Vitabu hivi mimi nimefuatilia kwa kina sana, vinauzwa nchi mbalimbali kwa bei tofauti tofauti, bei hupangwa na nguvu ya soko. Pia "pricing model" kwenye international market ni tofauti na domestic market. ukifuatilia kwa kina utagundua vigezo vinavyotumiwa kupanga bei ya kitabu kwa kila nchi. Kitu cha msingi zaidi ni kuwa research work zote huwa zinabei kubwa zaidi ukilinganisha na kitabu cha kawaida, niyo maana unashangaa bei, ukilinganisha na text book Frank Woods!
 
Jul 28, 2013
72
95
Mkuu, nilitaka kukupa za usoni ila nikafuta kwani naona unaweza kuwa hujui Kiingereza. Kujua lugha siyo dhambi itakayofanya utukanwe na watu. Ila siku nyingine, soma uelewe maana ya maneno.

Mie mwenyewe nimeshanunua sana vitu ONLINE na huwa siachi REVIEW au maoni yoyote kujusu bidhaa au muuzaji.

Kwamba hakuna Customer Reviews, haina maana kuwa hakuna aliyenunua. Au unataka kuniambia wewe ndiyo mashika fedha wa AMAZON? au wewe ndiyo Boss wa Amazon? Tafadhali sana bana. Inawezekana wameshanunua sana tu ila hakuna aliyeacha mapendekezo au maoni yake.

Good reply, ndiyo maana tuka sema kwa wasomi tu!
 
Emma Lukosi

Verified Member
Jul 22, 2009
929
195
Haya wasomi naona mnapost wenyewe, mnajipiga kiki wenyewe, mnajisifia wenyewe

na mkikosolewa mnakua wakali. "Academic Text Book sio researched work", hii ndio nasikia kwenu ngoja nikasome upya.

ok, Miafrika ndivyo tulivyo.
 
ntogwa

Member
Jan 1, 2012
10
0
Nakushukuru ndugu yangu, Mwalimu Tanzania kufurahia mafanikio yangu, nina imani unawivu wa maendeleo ndiyo maana unataka kushea mawazo na wanaJF. Mimi binafsi nakutakia kila la heri na karibu sana tujifunze pamoja maana elimu ni mawazo na mawazo ni watu na watu ni jamii!
 
Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
13,930
2,000
Nakushukuru ndugu yangu, Mwalimu Tanzania kufurahia mafanikio yangu, nina imani unawivu wa maendeleo ndiyo maana unataka kushea mawazo na wanaJF. Mimi binafsi nakutakia kila la heri na karibu sana tujifunze pamoja maana elimu ni mawazo na mawazo ni watu na watu ni jamii!
Ongera sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom