Recent content by ntilavano

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Hayati Magufuli alikuwa ni mtu wa pekee sana kwa ubora

    Kwani yeye hakuchafua Legacy za wenzake tena ndio waliomuweka madarakani.
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Shukran sana mkuu nadhani huu ni kama mchuzi tu kwenye mtori nyama ziko chini unaweza ku dig down kidogo inaonyesha unanifahamu vyema.
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Me:H tareh 29 June 91 Ke:L tareh 22 December 95 Uhusiano:Bado hatujaoana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mawakala natumiaje mkuu nipe muongozo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada:azam tv

    Nipo Zanzibar mkuu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada:azam tv

    Hapana maana kuna mda dish lili shake so nikajaribu kuliweka sawa lakini ndio yametokea hayo. Nijibu jwa kuni Quote.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Nimefuatilia sana huu uzi wako kuna kitu nimekiona ndani yako hongera sana mwamba.[emoji106] [emoji106]
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada:azam tv

    Mkuu nikienda kwenye menu alafu search inakuja Auto search Tp list Satellite list Sasa bado sijakusoma hapo kwenye search signal.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada:azam tv

    Wakuu natumaini mu wazima wa afya. Lengo la kuja hapa ni msaada wa namna ya kupata chanel za Azam TV maana wananiambia "NO PROGRAMME" hata nikiserch hakuna channel wala radio nayopata. Natanguliza shukurani.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tunauza kuku wa kisasa wa nyama

    Habarini wanabodi kama mnavyojua hali ya maisha ilivyo tumeamua kujiajili. Tunafuga kuku wa nyama wa kisasa tupo Mbagala bei yetu ni tsh 6000 kwa mmoja. Karibuni
  11. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Naweza wasiliana na wewe mkuu maana na mimi nataka nijikite huko sasa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kesi ya kupiga muharifu

    Shukrani sana mkuu na kwahiyo sanasana itatakiwa faini ya hiyo kesi au kuna kifungo hapo?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kesi ya kupiga muharifu

    Inaweza kuwaje?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kesi ya kupiga muharifu

    Kweli kabisa mkuu kuwapata ni inshu huku hawapitagi sana.
Back
Top Bottom