Recent content by Ntaluke.N.

  1. Ntaluke.N.

    JamiiForums Tanzania Kuzishindanisha shule kama Feza na Kitonga ni sahihi?

    Mfano wa timu sio halisi,Real madrid alifungwa na celta vigo,Arsenal na Warfod,Man u na Hull city,..pia usisahau Bingwa Wa EPL wa msimu uliopita.
  2. Ntaluke.N.

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kimya..
  3. Ntaluke.N.

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Topten form two kulikuwa na Shule inaitwa TWIBHOKI mkoani Mara..lakini hapa form four sijaiona topten samahani naomba mnisaidie kaangalia matokeo yake..
  4. Ntaluke.N.

    JamiiForums Tanzania La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

    Pomaja sana mkuu the bold.
  5. Ntaluke.N.

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa AU: Ni kwanini Magufuli hajaruhusu Mkalimani aongee?

    Hebu mlete ambayo haijafanyiwa editing,Lumumba mnadai hii iliyopo ni edited.
  6. Ntaluke.N.

    JamiiForums Tanzania Je kuna aliyechaguliwa chuo kupitia NACTE mwaka hakuripoti chuo na mwaka amekubaliwa kuapply upya?

    Kwahyo unaweza kuomba diploma badala ya certificate..Naomba univumilie kwa usumbufu.
  7. Ntaluke.N.

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutaifisha mifugo itakayoingizwa maeneo yaliohifadhiwa

    Halafu Serikali itachungia wapi hiyo mifugo.
  8. Ntaluke.N.

    JamiiForums Tanzania Je kuna aliyechaguliwa chuo kupitia NACTE mwaka hakuripoti chuo na mwaka amekubaliwa kuapply upya?

    Ukiamua kutumia matokeo ya advance yenye E chemistry, E,Biology na C geography au Hairuhusiwi?
  9. Ntaluke.N.

    JamiiForums Tanzania Je kuna aliyechaguliwa chuo kupitia NACTE mwaka hakuripoti chuo na mwaka amekubaliwa kuapply upya?

    Diploma yoyote ya afya ya binadamu..lakini si mbaya pia ukitoa ushauri kulingana na huo ufaulu na uelewa wako kuhusu course za afya.
  10. Ntaluke.N.

    JamiiForums Tanzania Je kuna aliyechaguliwa chuo kupitia NACTE mwaka hakuripoti chuo na mwaka amekubaliwa kuapply upya?

    Biology D,chemistry B,masomo mengine yaliyobaki "C"
  11. Ntaluke.N.

    JamiiForums Tanzania NACTE mlisema Leo mnafungua udahili mbona kimya

    Msaada tafadhali,aliyehitimu form four 2009 anaweza kuaply afya mwaka huu,form six 2012.
  12. Ntaluke.N.

    JamiiForums Tanzania Je kuna aliyechaguliwa chuo kupitia NACTE mwaka hakuripoti chuo na mwaka amekubaliwa kuapply upya?

    Mtu aliyemaliza form four 2009 na form six 2012 anaruhusiwa ku-apply diploma ya afya matokeo yake mazuri tu.
  13. Ntaluke.N.

    JamiiForums Tanzania Mtanzania: Janga jipya la elimu, maelfu wafeli kidato cha pili, darasa la nne...

    Jinga la waliofeli.(Jingalao)
Back
Top Bottom