jina mwigulu masikioni mwa cdm ni sawa na mkuki ulorushwa moyoni ndo maana wanamwogopa sana kwani uwezo wake ni mkubwa. Mwigulu usirudi nyuma endelea kumwadhibu dj mbowe na huyu babu slaa na wafuasi wao ambao wanafuata bila yakujua wanafuata kitu gani
wewe mfuasi wa gwanda acha kujidanganya mahakama haijasema kilwewo hana kosa ila imesema kesi aliyoshtakiwa si ya ugaidi, pia lwakatare naye kesi yake bado inaendelea hukumu bado na nadhani hiyo kesi lazima iondoke na mabosi wao mbowe na slaa kwani ndo waliowatuma.
uwezo wa mwigulu ktk siasa za tz ni mkubwa sana huwezi ukamlinganisha na dj mbowe au padri slaa labda kidogo zito. Ndo maana cdm hawalali sababu ya mwigulu sasa jeshi zima la ccm likiongozwa na amri jeshi mkuu dr kikwete sijui kama cdm itasalimika
sijaelewa maana ya hiyo picha. Mbona ccm tupo makini, tumewaacha mchezecheze ila 2015 majimbo yote tukianzia udiwani mpaka urais yatachukuliwa na ccm. Mbowe na kampuni yake ya cdm msijidanganye kuwa mtaichukua nchi
Mkuu lutayega umefanya jambo jema sana hasa kipindi hiki ambacho elimu inazidi kuporomoka. Ila nakushauri mtandao huo uwasaidie na wanachuo toka vyuo vya ualimu
wanaishi ktk neema, kupitia vita wamejimilikisha mafuta yote ya afgastan na iraq na sisi hatuwez kutishwa na kagame alaf tukamnyenyekea, au haujui dawa ya moto ni moto na akichokoza tu nda ya siku 3 rwanda itakuwa colon la tz
ni waoga wa maisha ndo maana maprofesa na madokta walio wengi wanakimbilia kwenye siasa ili wale nchi na si kutumia elimu kujikomboa na kulikomboa taifa, maprofesa hao hao ndo wamekuwa vibaraka vya wanasiasa kila wanachoelezwa na wanasiasa ambao wameishia form 4 wanaitikia ndio bila hata kuhoji
Mbona kikwete yeye ameshindwa kumkamata muuaji wa padri mushi, waliopiga bom olasit arusha na wale waliopiga bom kwenye mkutano wa cdm arusha au anataka tujue kuwa anamachungu na wanajeshi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.