lutayega
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 1,297
- 572
Ile siku ambayo imesubiliwa sana na wana kasulu hatimaye imefika. Kamanda MBOWE akiongozana na Lissu, Mnyika na Marando watawasili kwa helkopita na kuwahutubia wana Kasulu. Kwa wale msioifaham Kasulu, Kasulu ni jimbo ambalo lilikuwa la 2 kwa kumpigia Slaa kura nyingi na linaongozwa na Machali. Watu wameanza kuingia hapa wakitokea vijiji mbalimbali vinavyozunguka mji wa kasulu. Ntakuwa na wapa update ya kinachotokea
