Recent content by Ntak

  1. Ntak

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia mafuta ya Tsh 230,000/= tu!

    Magari ya plug-in hybrid Badget zake zikoje Sifa zake ni zipi hasa
  2. Ntak

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

    Kumbafuu sana
  3. Ntak

    JamiiForums Tanzania Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

    Asante sana mkuu, ntakapokuwa tayari ntakuchek.
  4. Ntak

    JamiiForums Tanzania Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

    Je, floor plan yake haichuji pia? Na vp kuhusu ghalama zake zikoje? Vyumba vinne kwa mfano
  5. Ntak

    JamiiForums Tanzania Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

    Plain design ndio umemanisha nn mkuu
  6. Ntak

    JamiiForums Tanzania Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    Yah, wana heri wenye mwisho mwema. Hongera sana
  7. Ntak

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Na vipi hawa jamaa hawawezi kuunguza a/c makusudi ili wabaki na pesa za traders? Tofauti kati ya standard na Aggreaive a/c ni nini hasa?
  8. Ntak

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Namaanisha, inatakiwa Tzs ngapi kupewa a/c ya $10,000 na hao propfirm? Maana angalau a/c ya $10,000 ina mgawanyo mzuri wa faida kwa mjibu wa maelezo yako
  9. Ntak

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Okey, kwa hiyo kwenye hiyo ya mgawanyo mzuri wa faida inakuwa $10,000 ya kweli au na yenyewe kibongobongo inadrop?
  10. Ntak

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Mi sijakuelewa bado, mleta mada kasema ana mtaji wa 10M, wewe unasema $100,000 na kuna sehemu umesema 2.5M inaweza pia kuwa mtaji hapohapo haumaji a/c ya chini ya $10,000. Nieleweshe naomba
  11. Ntak

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

    Hahahaha!? Kumbe ni kwa engo hiyo, haya bana hongereni
  12. Ntak

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

    KWani mke bora anapimwa kwa ushabikii?
  13. Ntak

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

    Ni shabiki haswaa, humkosi kwa mambo ya mpira
  14. Ntak

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

    Kwa kweli, maana siyo kwa ushabiki huo
  15. Ntak

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

    Kalpana we kindakindaki kweli aise
Back
Top Bottom