Recent content by ntahuzyora

  1. N

    Movie nzuri ya kuangalia mkiwa wawili wa jinsia tofauti

    find & watch 'kiss and kill' sinngle muv
  2. N

    Madudu ya Mhandisi Deusdedit Kakoko bandarini

    Eng kakoko ni kichwa na great thinker anapiga kazi saaana beyond of his limit ... halali, vikao had saa 9 usiku hii yote ni kupigania maslahi na utendaji sahihi wa bandari ingawa kuna wachache wanamkwamisha katika management yake. mimi naamini wanaomchukia ni wale wapigaji ambao kawabana sana...
  3. N

    Uteuzi: Amos Maganga ateuliwa Mkurugenzi Wakala wa Nishati Vijijini (REA)

    PEng Mganga anastahili aisee ... ni miongoni mwa wahandis TANESCO niliwish siku moja mjomba amuone... hakika REA imepata mtu sahihi
  4. N

    Mshahara wa mwezi Desemba 2020 vipi?

    njoo morogoro tulime huku ardhi ina rutuba
  5. N

    Polisi watibua party ya ufuska iliyopangwa kufanyika Dar

    sasa mm nawaza laki 3 yangu nitaludishiwa au inakuaje.....? watu tuna ticket mda mrefu
  6. N

    Job Opportunities at Air Tanzania Company Limited (ATCL)

    Nauliza zile nafasi walizotangaza last month ATCL bado hawajaita watu kwenye interview? mwenye taarifa atujuze. Palikua na nafasi ya planning/development engineer 5 position.
  7. N

    T.O Elias Kihombo na tishio katika baadhi ya vitabu vyake vya Physics

    misiba miwili ndan ya mwez mmoja ya watabe wa physics waliokua nondo kusolve matango ..... hapa wachache watanielewa. muddy maphysics mchikichini na elieas kihombo T.O 2006. R.I.P comrades..... juhudi zenu baadhi zimetufikisha hapa tulipo.
  8. N

    T.O Elias Kihombo na tishio katika baadhi ya vitabu vyake vya Physics

    Ni kweli T.O kihombo hatunaye tena duniani ametutoka baada ya kuugua kwa siku kadhaa.... its true and confirmed. R.I.P kihombo. sisi sote ni wake na kwake tutalejea. tutakuanzi na inabaki story kwa UTABE wako hakika.
  9. N

    Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    salute kwao watu hao mgote huku mudy maufundi................ R.I.P mudy mlinifanya nikaipenda sana PCM. miaka inakwenda kasi sana 2008 A level
  10. N

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Hapa nilipo leo ni mikono yako. Nilikusumbua sana na tulibishana sana lakini ilikua njia ya mimi kuelewa zaidi.
  11. N

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    R.I.P aisee inapain sana. Nimepiga pindi kwake za physics Advance na alikua anatoa mapepa tunashindana 5 bora wanapiga next exam bure... alinifanya nikapotea xul miezi 6 nakomaa mchikichini. hakika MUNGU akupumzishe kwa aman mtaalam.
Back
Top Bottom