Madudu ya Mhandisi Deusdedit Kakoko bandarini

Huyu ni Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya usimamizi wa Bandari aliyeshikilia kiti hicho tangu katikati ya mwaka 2016.

Tangu ashike nafasi hiyo amefanya mabadiliko mengi sana katika taasisi hiyo mengi yakiwemo yenye maslahi kwa taifa lakini pia amefanya mengi zaidi kwa maslahi yake binafsi ikiwa ni pamoja na kuligeuza shirika hilo kuwa kama kampuni yake binafsi.

Amefanikiwa kuwa dikteta wa shirika kwani amewafanya wasaidizi wake (wakurugenzi wa Idara na mameneja wa vitengo) kuwa kama picha tu maamuzi yote anafanya yeye bila kushauriana nao na kisha huwageuka pale mambo yanapoharibika. Mfano mzuri ni hili suala la bi. Nuru Mhando na meneja matumizi lililoibuliwa na Mh. Waziri Mkuu siku za hivi karibuni (amewatoa kafara tu , mhusika mkuu ni yeye)

Kwa mtazamo wa nje Serikali kuu inamuona kama ni mtu sahihi kushika nafasi ile kwamba amefanikiwa kuinyosha bandari lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa ameiharibu bandari kwa kiasi kikubwa na athari zake zimeanza kuonekana dhahiri kama ifuatavyo:-

a) Ameondoa morali ya wafanyakazi kwa kufuta malipo yao ya masaa ya ziada ilihali anawafanyisha kazi mpaka usiku wa manane.

b) Amefitinisha kwa kiasi kikubwa mahusiano kati ya wafanyakazi wa ngazi za chini na viongozi wao kwa kuwa anawasiliana nao na kuwapa maagizo bila hata kuwajulisha mabosi zao.

c) Anashirikiana na kampuni za wachina kutafuna hela za Serikali katika miradi ya ujenzi kwa kuwapa kazi bila ushindani yaani Single Source procurement bila ya kuwepo sababu za msingi.

d) Pamoja na uwezo mzuri alionao wa kufanya kazi bila kuchoka mapema amekumbatia kazi zote za shirika yaani anataka kujua mpaka idadi ya vijiko vya sukari vinavyotumiwa na wafanyakazi wanapokunywa chai ofisini na hivyo kusababisha ucheleweshwaji wa maamuzi mbalimbali ya kikazi yaani amekumbatia kila kitu.

e) Katika kipindi alichokaa madarakani ameajiri na kufukuza kazi wahandisi na wakurugenzi wengi kwa kuwa tu walithubutu kumchallenge katika wizi wake anaoufanya hii ni pamoja na kuifukuza idara nzima ya ukaguzi wa ndani ambayo ilithubutu kuainisha ubadhilifu wake.

Haya ni baadhi tu ya madudu yake lakini ni jambo la kushangaza kwamba anaendelea kushika nafasi hiyo ya kuiongoza taasisi hiyo muhimu kwa uchumi wa taifa.

Natumia fursa hii kuziomba mamlaka za juu zifanye uchunguzi wa kina juu ya utendaji kazi wa huyu mtu na kuchukua hatua stahiki kwa maslahi mapana ya taifa
Ambacho hujui ni kwamba, hao wenye mamlaka ya kumtoa ndio waliomuweka hapo, na ndio wanakula wote, hivi unafikiri unaweza ukadumu hapo muda wote huo kama huli na wakubwa?
 
Wacha Awakomeshe tu.Maana hamna lolote mnalolifanyaga hata kutetea tu maslai ya vibarua mle hamfanyi?mnajifikiria nyie tu hivi kweli mnafurahia kabisa unakuta dereva wa kutoa magari meli analipwa kwa gari sh 750-1500 kwa gari na nyie moo hamlifishi popote.uwiano gani huu wa thamani ya bei ya gari ya sh mil 200 inatolewa kwa buku jero hivi mwenye gari akijua ya kwamba gari yake inatolewa melini na mtu anelipwa 1500 teteeeni wanyonge sio mkifikwa na lenu mnapayuka.Kakonko we wafinye tu.
 
Huyu ni Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya usimamizi wa Bandari aliyeshikilia kiti hicho tangu katikati ya mwaka 2016.

Tangu ashike nafasi hiyo amefanya mabadiliko mengi sana katika taasisi hiyo mengi yakiwemo yenye maslahi kwa taifa lakini pia amefanya mengi zaidi kwa maslahi yake binafsi ikiwa ni pamoja na kuligeuza shirika hilo kuwa kama kampuni yake binafsi.

Amefanikiwa kuwa dikteta wa shirika kwani amewafanya wasaidizi wake (wakurugenzi wa Idara na mameneja wa vitengo) kuwa kama picha tu maamuzi yote anafanya yeye bila kushauriana nao na kisha huwageuka pale mambo yanapoharibika. Mfano mzuri ni hili suala la bi. Nuru Mhando na meneja matumizi lililoibuliwa na Mh. Waziri Mkuu siku za hivi karibuni (amewatoa kafara tu , mhusika mkuu ni yeye)

Kwa mtazamo wa nje Serikali kuu inamuona kama ni mtu sahihi kushika nafasi ile kwamba amefanikiwa kuinyosha bandari lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa ameiharibu bandari kwa kiasi kikubwa na athari zake zimeanza kuonekana dhahiri kama ifuatavyo:-

a) Ameondoa morali ya wafanyakazi kwa kufuta malipo yao ya masaa ya ziada ilihali anawafanyisha kazi mpaka usiku wa manane.

b) Amefitinisha kwa kiasi kikubwa mahusiano kati ya wafanyakazi wa ngazi za chini na viongozi wao kwa kuwa anawasiliana nao na kuwapa maagizo bila hata kuwajulisha mabosi zao.

c) Anashirikiana na kampuni za wachina kutafuna hela za Serikali katika miradi ya ujenzi kwa kuwapa kazi bila ushindani yaani Single Source procurement bila ya kuwepo sababu za msingi.

d) Pamoja na uwezo mzuri alionao wa kufanya kazi bila kuchoka mapema amekumbatia kazi zote za shirika yaani anataka kujua mpaka idadi ya vijiko vya sukari vinavyotumiwa na wafanyakazi wanapokunywa chai ofisini na hivyo kusababisha ucheleweshwaji wa maamuzi mbalimbali ya kikazi yaani amekumbatia kila kitu.

e) Katika kipindi alichokaa madarakani ameajiri na kufukuza kazi wahandisi na wakurugenzi wengi kwa kuwa tu walithubutu kumchallenge katika wizi wake anaoufanya hii ni pamoja na kuifukuza idara nzima ya ukaguzi wa ndani ambayo ilithubutu kuainisha ubadhilifu wake.

Haya ni baadhi tu ya madudu yake lakini ni jambo la kushangaza kwamba anaendelea kushika nafasi hiyo ya kuiongoza taasisi hiyo muhimu kwa uchumi wa taifa.

Natumia fursa hii kuziomba mamlaka za juu zifanye uchunguzi wa kina juu ya utendaji kazi wa huyu mtu na kuchukua hatua stahiki kwa maslahi mapana ya taifa

Inawezekana una ukweli katika hoia zako!!nakushauri sehemu sahihi ya kuaddress haya tena kama mtoa taarifa ya siri ni Kuandika kwenye kwa SEKRETARIET YA UTUMISHI WA UMMA,wana Dawati la Malalamiko na wanafnyia kazi kwa weledi mkubwa!Tafadhali ijenge nchi yako wasilisha taarifa/lalamiko hili kama nilivyokushauri
 
Huo ndo uhalisia wake mzee wala si majungu
(a), (d) & (e) ndipo uzito wa uzi huu wa fitna ulipo....katika vitu ambayo binadamu hawezi kuvificha bila kujali kiwango cha elimu ni "emotion" huwezi kuficha hisia hata kidogo!
Pango la wanyanganyi limebomolewa....Kakoko "anataka kujua hadi idadi ya vijiko vya sukari ambayo Kika mtumishi atatumia!"
Watanzania tubadirike, maisha ya janja janja yamefika ukingoni, JPM hawezi kufanya makosa kama ya Mkwere ya kufika dk 90 za mchezo bila kuandaa timu ya kuendelea ushindi....."...yupo ajaye ambaye (JPM) hastahili hata kumfungua kamba za viatu vyake...."
 
Mkuu nimepitia mada yako nimeona jamaa ni mtu sahihi hapo.
 
Bandari.
Kabla ya Eng. kuwekwa hapo alipo, wafanyakazi wa Bandarini wengi walilemaa sana.
Wengi walikuwa na vyeo vya kupeana, lakini ujuzi zero.
Ufanisi kazini ulikuwa hovyo kabisa.
Wengi walikuwa na vyeti vya kununua.
Jamaa aka-survey weee!! akaona huu upuuzi, akaenda UDSM bwana, akasomba qualified personnel kibao, mambulula wote pembeni.
Sasa hawana kazi wanalalama!
 
Eng kakoko ni kichwa na great thinker anapiga kazi saaana beyond of his limit ... halali, vikao had saa 9 usiku hii yote ni kupigania maslahi na utendaji sahihi wa bandari ingawa kuna wachache wanamkwamisha katika management yake. mimi naamini wanaomchukia ni wale wapigaji ambao kawabana sana ...... piga kazi ENG KAKOKO.
 
Naona kama ni mtu safi tu huyu mnajaribu kumtia doa lakini sioni tatizo lake amewabana sana eheee
 
Eng kakoko ni kichwa na great thinker anapiga kazi saaana beyond of his limit ... halali, vikao had saa 9 usiku hii yote ni kupigania maslahi na utendaji sahihi wa bandari ingawa kuna wachache wanamkwamisha katika management yake. mimi naamini wanaomchukia ni wale wapigaji ambao kawabana sana ...... piga kazi ENG KAKOKO.
Namfahamu sana Eng.. He is very strong!! Piga kazi Kaka!! Nchi itakaa sawa tuu!!!
 
Kwa kumsaidia mleta mada:
Nashauri Waziri Mkuu aunde tume kutoka TAKUKURU, wakafanye ukaguzi, Idara kwa Idara, Section kwa Section, ili kujiridhisha na uwajibikaji wa pale. Unaweza ukakuta Section moja ina watu sita lakini mtendaji ni mmoja tu, wengine wanalipwa mishahara na overtime bure kabisa.
Imefika wakati tukaacha kufanya kazi kiswahili, let us be up-to-date. Mombasa wanatuacha kwa mbali sana. It's a pity.
 
Siku hizi kazi kwa shifti overtime haipo tena majungu tu wewe
 
Back
Top Bottom