Naomba Muongozo wa kujamiana na mtu mwenye UKIMWI

Unachokitafuta utakipata🎶🎶
Ila benpol bwana
Usitishike Wala Nini kakamatie manzi huyo utamu ukizidi ndomu tupa kule..Kwani UKIMWI kitu gani bro..
 
Viral load haiwezi kuwa zero mpendwa, ni maneno ya kujifariji, ipo chini ya 20/ ml tu,
 
kapige tuu broo,ila hakikisha umejidhihirisha viral load zake zipo UNDETECTABLE i mean viral copies zipo chini ya 20 au 50....

Kana ukifanikiwa kujua na kujithibitishia yupo hivyo na alipima karibuni,usiwe na shida broo

Nenda kachakate papuch na haina haja ya kutumia condom wala nini but unaweza kutumia kama tuu na wewe hujawahi kujua status yako mana usije ukampa vimelea vya aina nyingine vya HIV

Labda nikwambie kitu mkuu,waliotoa maoni wengi humu inaonekana hawana elimu ya AFYA ya binadamu(kunakitu kinaitwa discordant couple wakifwatilie nadhan watanielewa)

NOTE: mtu akiwa na HIV na akawa na LOW VIRAL LOAD (undetectable level)na ukisex nae without using a condom unakuwa safe for 96%

BUT ukisex na mtu mwenye HIV na hatumii dawa na wewe ukatumia condom ipasavyo basi unakuwa safe for 70%.......Tafakari
 
Umenena vilivyo Mkuu, mi nilishamalizananae jana mengine tunaomba kudra za Allah kama ameninusuru nitashukuru

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
 
Aisee una ujasiri zaidi ya Adolf Hitler. Hakikisha kwanza kuna mtu wa kukuhudumia baada ya hapo kukukumbusha kumeza dawa, kukufulia nguo kukupa mlo kamili. Sio baadae unaanza kulaumu eti ndugu zako wamekutenga
 
Back
Top Bottom