Recent content by NSYUKA

  1. NSYUKA

    Matokeo ya droo ya EUROPA League hatua ya makundi. Pogba awa Mchezaji bora

    bora tshishimbi tuu kuliko huyu mtumish hewa
  2. NSYUKA

    Dj Sinyorita ni mrembo jaamani...

    kawaida hana mbwembwe kama dj mamy wa e fm
  3. NSYUKA

    Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam

    naona siku hizi anafuata nyayo za mkwere kwa kutupia suti kali,,hongera kwa designer aliemvalisha.. hapa kasi tu
  4. NSYUKA

    Sijakipenda kipindi cha sports bar

    mimi pia jana nmechukia sana baada ya kuangalia kipind kibovu kikiendeshwa na watangazaji makanjanja akina lwambano na kina edga na bwana shaffii...muda wote wanatuwekea ndondoo,,, gemu kama el classico ilitakiwa ijadiliwe kwa upana wake,,,pamoja na ishu za kina sammata
  5. NSYUKA

    Sijakipenda kipindi cha sports bar

    mimi pia jana nmechukia sana baada ya kuangalia kipind kibovu kikiendeshwa na watangazaji makanjanja akina lwambano na kina edga na bwana shaffii...muda wote wanatuwekea ndondoo,,, gemu kama el classico ilitakiwa ijadiliwe kwa upana wake,,,pamoja na ishu za kina sammata
  6. NSYUKA

    I miss my ex man so much jamani

    Naona unatangaza biashara yako
  7. NSYUKA

    CHADEMA, mchungeni Mwenyekiti Mbowe

    acha kulialia ww kijana na andiko lako mfu la kuwafurahisha malumumba
  8. NSYUKA

    Rasmi Ibrahim Ajib Migomba atia saini kuitumikia yanga miaka 2

    tangu nilvyoona rundo la wachezaji wa bongo ligi walivyokazana kucheza akiwemo ajib nimwadharau sana...
  9. NSYUKA

    USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    Hiv na umeolewa bi dada au unatafuta kiki kwa pikipiki
  10. NSYUKA

    Makonda kubadili jeshi la polisi kwenda kisasa katika kukabiliana na uhalifu

    HAKUNA KITU ALICHOWAHI KUKISIMAMIA BASHITE KIKAFANIKIWA
  11. NSYUKA

    Je, walikiamini walichokihubiri ?

    teuzi zishaisha mzee tafuta shughuli nyingine ya kufanya umfurahishe sizonje
  12. NSYUKA

    Andrew Chenge sasa aage na kuondoka...

    HUYO NDIE JOKA LA MAKENGEZA SPIKA MWENYEWE HAMGUSI KWA CHOCHOTE NA UZURI WAKE YEYE SIE MUONGEAJI KAMA WENGINE WANAVYOPAYUKA,,REJEA SAKATA LA ESCROW ALIVYOITWA KUHOJIWA KAMA KUNA AMBAYE ALITHUBUTU KUMUULIZA SWALI..HAMNA WA KUMGUSA HUYO
  13. NSYUKA

    RUKWA: Mtu mmoja auawa kwa kukatwa mapanga baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

    duu noma saana sasa si unaona hasara anayokwenda ipata mana anaenda kufungwa maisha huku yeye mwenyew kushindwa tena kuiona papuch ya mkewe,,,huku watu wengine wataendelea kuikeshea kama kawaida,,
  14. NSYUKA

    Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa kwa risasi Kibiti, idadi ya Waliokufa inasikitisha, sasa yatosha

    sijaelewa hata mana kwenye fb ya mtatiro anasema kuwa maaskari ndo wamejerui raia na kutokomea na majeruhi...hapohapo askari wanasema watu wasiojulikana so which is which kwa alielewa atufanyie udadavuzi tafadhali..mana mm nmeachwa
Back
Top Bottom