Sijakipenda kipindi cha sports bar

Abatmwe

Senior Member
Dec 2, 2014
110
79
Leo kwenye kipindi cha sports bar cha clouds FM wameshindwa kuonyesha mambo aliyoyafanya mchezaji mwenzetu/Wa kwetu Tanzania, nikimaanisha Mbwana Samatta

Cha kushangazi zaidi ktk havari za kiataifa wamesifia wachezaji kibao wa nje wanakuja kushtuka muda umeisha ndo wanakumbuka Mbwana Samatta hawakumuongelea.

Hii inamaanisha nn kwa uzalendo wa Kitanzania, tv kama clouds ndo itakuwa kuwa ya kwanza kuwa mstari wa mbele kuwapromote wachezaji wetu ila dah kwa kweli inavunja moyo sana

Uzalendo huu mnataka wafanye TFF tu ila kwenu nyie mnaona sawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anzisha tv na kipindi chako ndo ufanye hivo upendavo na uzalendo wako.
wewe ni nani wa kuwapangia sports bar cha kufanya???????
 
Sijui lakini ni maoni yako , na simu ni yako ,bando ni lako ila ukikaa ukatafakari utaona maoni yako yamekosa kitu fulani kwa uzi huu wa sports bar ***@Anunue yake ???!!! INAWEZA KUWA HIVYO KWA NYWELE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi pia jana nmechukia sana baada ya kuangalia kipind kibovu kikiendeshwa na watangazaji makanjanja akina lwambano na kina edga na bwana shaffii...muda wote wanatuwekea ndondoo,,,
gemu kama el classico ilitakiwa ijadiliwe kwa upana wake,,,pamoja na ishu za kina sammata
 
Radio zipo nyingi sio lazima usikilize clouds
 
mimi pia jana nmechukia sana baada ya kuangalia kipind kibovu kikiendeshwa na watangazaji makanjanja akina lwambano na kina edga na bwana shaffii...muda wote wanatuwekea ndondoo,,,
gemu kama el classico ilitakiwa ijadiliwe kwa upana wake,,,pamoja na ishu za kina sammata
Mtoa mada analalamika uzalendo, wewe unataka el classico over ndondo kapu
 
Back
Top Bottom