Recent content by nsunko

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu grade 3a lini na wanaanza na kiwango gani cha mshahara?

    Je mwenye Bachelor mshahara wake unaanzia sh ngapi kwa waraka wa julai? Naomba majibu.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Gari Moshi (Train) zaanza safari jijini Dar es Salaam!

    Hiyo ni train ya kisasa au ndo kama reli ya kati? naombeni mnijuze.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    Na mm naomba mnisaidie,tuition fee ni 10000000 afu nimepewa 3266500 je hii ni % ngapi wakuu naombeni msaada.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

    kwangu inagoma kabisa wakuu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo yatangaza rasmi wameachia majina ya wanafunzi na mikopo yao.

    Hebu tujuze zaidi huko the citizen.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo yatangaza rasmi wameachia majina ya wanafunzi na mikopo yao.

    wanafunzi 4000 elimu ya juu wakosa mikopo, source gazeti la nipashe kupitia channel 10.
  7. N

    JamiiForums Tanzania kuna matumaini yoyote kwa HESLB

    Matumaini yapo kwa walioomba programmes zenye priorities kama EDUCATION hivyo tuwe na subira mambo yawezekana kuwa mazuri.
  8. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA BURE; WANAOSIFU na KUPONDEA VYUO BILA SABABU ZINAZOONEKANA

    kweli wewe ni Great Thinker
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tumaini dar es salaam

    mwenyekujua joining instruction ya tumaini pamoja na tarehe ya orientation atujuze hapa!
  10. N

    JamiiForums Tanzania ELEWA kuhusu HESLB.

    Asante sana mkuu nimekuelewa
  11. N

    JamiiForums Tanzania ELEWA kuhusu HESLB.

    kwa uzoefu na uelewa wako mara nyingi pesa za mkopo huingizwa kwenye akaunti ya mwanafunzi baada ya kama muda gani?
  12. N

    JamiiForums Tanzania ELEWA kuhusu HESLB.

    kuna haja ya mwanafunzi kufungua akaunti kabla ya kuliport chuoni?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Art With Education(DUCE)

    hata mm nimeipenda hiyo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mkopo

    kama jina lako halipo kwenye ile list basi taarifa zako heslb zinajitosheleza.
Back
Top Bottom