Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

yametoka kweli ILA WATU WENGI WANATUMIA KWA SASA SERVER YAKO IKO CHINI
HII NI MESSAGE UNAYOKUTANAYO NAYO NAJITAHITIDI NIKIPATA NTAYACONVERT KWA PDF AU NIWAPE DIRECT LINK MCHEKI
[h=1]Bandwidth Limit Exceeded[/h] The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later.
http://www.heslb.go.tz/index.php?option=com_phocadownload&view=section&id=1&Itemid=56
 
Nawapenda na kuwaheshmu wasomi wenzangu embu kwa mtu ambaye ana uhakika kabsa aniambia pia kama vp YaTUpien humu ndan wengne tuko lindi vjjn shda sana tunatumia simu ndo inatufanya tukutane hapa jukwaan
 
Wale wote mlio n PM majina ya ukwl npen 1/2 saa kla k2 mtakijua ngoja nshughulikie nw coz PMs n nyng xana
 
Wacha ambao wana mashaka na papara ya kupata mkopo waanze kwanza, wakipunguza usumbufu na mimi ntaingia sasa
 
ambaye ameshindwa kufungua anipe jina lake na chuo alichopangwa nimwangalizie. nashukuru Mungu mdogo wangu amepata:flypig:
 
Kitu cha KCMC Mmbona sikioni wakuu mzigo umeibiwa bandarini nini? Au bado huko BOT.
 
Back
Top Bottom