Bodi ya Mkopo

Mzee Dogo

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
400
140
Big thanx kwa TCU kwa kutujuza wapi tumedahiliwa, and now macho na masikio yetu yanaelekea heslb ili tujue kama hizo kozi tutazimudu ama la, mwenye taarifa zozote juu ya hawa jamaa lini wanaweka mambo hadharani please atujuze--
 
Inabidi tuwe wapole since wale waliokosea kujaza 4m wamepewa wiki 2 kuanzia trh 15,so hadi trh 25 mwezi huu tuwe macho...
 
Duh-- wengine majina yetu kwenye ile list hayamo sasa sijui ndo tumeondolewa kabisa au ndo vipi---!
 
Big thanx kwa TCU kwa kutujuza wapi tumedahiliwa, and now macho na masikio yetu yanaelekea heslb ili tujue kama hizo kozi tutazimudu ama la, mwenye taarifa zozote juu ya hawa jamaa lini wanaweka mambo hadharani please atujuze--

haujachaguliwa bado, ila unaweza kuchaguliwa katika chuo ulichopendekezewa na TCU. Huna sababu ya kufurahi sana, kwani TCU hawana mamlaka yoyote mbele ya vyuo
 
Ni kwel mnachosema ila kwa hatua tuliyo fikia inatia faraja kiasi chake jaman ni vizur kujiondoa wasiwasi waungwana
 
[Duh-- wengine majina yetu kwenye ile list hayamo sasa sijui ndo tumeondolewa kabisa au ndo vipi---!]

Nafkiri kutokuwepo ktk ile list maana yake upo okey kwani watu waliopo ktk ile list ni watu waliokosea kujaza 4m zile za mikopo!!!!
 
dingi mdogo yuko pande zile ndo mpango mzma anahusika ktk kusaini ni kiasi gani cha mkopo unatakiwa kupewa !! Kama kawaida nishawashilisha jina na keshasema mambo ni OK !!
Haya bwana--- Umeshinda wewe na huyo baba ako
 
Basi namimi MINING ntakamata 100% Nimesoma St. Kayumba ila A-Level ndo nika dunda private, Baba Mtengeneza baiskeli mama muuza Vitumbua Ha ha ha haaaa mkopo 100%

kaka embu ngoja nikuulize hv birth certificate Yako ulitengeneza mwaka gani? Maana jamaa wa bodi ya mkopo washajua zile certificte zilizotolewa miaka ya 2000 kupanda juu zina udanganyifu ndani Yake !! Ila yangu nilipozaliwa miaka ya 1992 mwez wa 9 changu kikatoka mwez wa 10 mwak huohuo mpango mzima hakuna udanganyifu ndani yake alafu kama kawaida kazi za wazazi wakulima teh teh bahati ilioje sasa we kama birthcertfct yako imetoka miaka ya 2000 na kitu afu wewe ulizaliwa miaka ya tisini or themanini na kitu jua ishakula kwako !!
<<< Ze duduz >>>
 
Ha ha haa ze duduz usiogope amkiding!! ila mkopo lazima Niko full prepared pade hizo
 
Back
Top Bottom