USHAURI WA BURE; WANAOSIFU na KUPONDEA VYUO BILA SABABU ZINAZOONEKANA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

USHAURI WA BURE; WANAOSIFU na KUPONDEA VYUO BILA SABABU ZINAZOONEKANA

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Parata, Sep 1, 2012.

 1. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kumeibuka sana tabia ya ajabu humu jamvini ya watu wachache kuponda baadhi ya vyuo na kusifu baadhi ya vyuo bila kutoa sababu zinazoeleweka.siamini kuwa mtu aliefika chuo kikuu alieonja UE bado awe na fikra mgando kuwa jina la chuo linaweza likamtoa au kumuongezea GPA kiukweli mimi binafsi tabia hii inanikera sana kwasababu kuna first year baadhi wanaweza kusoma vyuo vyao walivochaguliwa na kuona wamepondewa na kinaonekana hakifai na wakavunjika moyo.kiukweli hiii tabia si nzuri na kusifia chuo eti chuo hiki kina ma geneous eti vyuo vingine ni vilaza wapo si kauli ya busara wote tunajua kuna TCU ina husika na vyuo na kuhakiki ubora wa vyuo na chuo hakianzishwi kama sekondari lazima kuwe na vigezo,sasa kuita chuo haukijui ubora wake unakiita cha kata kisa unasikiaga si vizuri kama msomi,UKISOMA USIPOKUWA NA BUSARA UTAPATA KAZI SANA KUISHI NA WATU na KAMA UNAONA KUWA WEWE UMECHAGULIWA KWENYE GENEOUS UNIVERSITY nenda halafu ukalale usisome kama haujapata sap za kutosha na ukishangaa uta disco tuna yajua yote hayo sababu tumepita huko wasomi wenzangu.....
  FIRST YEAR
  usihadaike na mbwebwe za baadhi ya watu wasio na uwezo mpana wa kufikiri na kuona kuwa umechaguliwa kwenye chuo cha majiniaz na u relax utakuwa umekalia kuti kavu ukipingwa sapu kuwa makini na usihadaike na kupondwa we piga msuli chuo kilichothibitishwa na TCU ni chuo chenye ubora we waache waponde mwisho mtakutana kwenye soko la ajira
  NAWASILISHA
   
 2. n

  nsunko Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kweli wewe ni Great Thinker
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sawa lakini udsm imetuharibia taifa halina ubishi na ni muda wake sasa kuhakikisha kinapotea
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  SAMRICH1 kosa kubwa limeeefanyika katika utoaji wa elimu ya juu hapa Tanzania. Kwa kuwa tulikuwa na vyuo vikuu viwili waliporuhusu uanzishaji wa vyuo vikuu vipya walitakiwa watofautishe kati ya "Degree awarding Universities and Tuition providers". Nasema hivi kwa sababu haingii akilini watu wawili wenye B'Comm mmoja kutoka UDSM na mwingine kutoka UDOM wakatofautiana sana katika utendaji kazi na uelewa wa fani yao (Hiyo ipo kataa kubali kaulize waajiri). Kama "Degree awarding" kwa kozi zote za biashara angekuwa UDSM wahitimu wasingetofautiana kwa kuelimika kwao tofauti na ilivyo sasa. Nachotaka kusema vyuo vyote vinavyofutisha course za biashara ingefaa kitengo cha elimu ya biashara ikisimamie mitaala ya hao "tuition providers" kama UDOM, IAA, TAA, MUCCOB, SAUT. Kwa upande wa sheria hivyo hivyo nk. Tofauti na hivyo tofauti ni kubwa sana hao wahitimu wakifika makazini.


  Lingine linalokuja muda si mrefu ni sehemu uliyopata elimu ya msingi na sekondari. Mathalani leo wahitimu waliosom shule za kata na za sekondari za wakawida wakiomba kazi kwenye haya makampuni makubwa ya binafsi, waliosoma shule za binafsi wanapeta kwa sababu ya "fluent english" wale wa kazi wataishia kwenye oral interview
   
 5. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  NDACHUWA unakosea unaposema degree awarding university sidhani kama upo sahihi na ni vigezo gani umetumia kuona kuwa kuna vyuo vina award degree kwa watu si kweli. vyuo vingi sana saivi hapa TANZANIA ni vizuri tofauti na watu walivokariri majina ya vyuo ufanisi wa kazi unatokana na mtu binafsi ndugu..jaribu kuchunguza hata MAPROFESA huwa wanatumina muda wao mwingi sana kushughulika na vyuo binafsi sababu wanapewa pesa na simaanishi kuwa vyuo vya serikali ni vibaya hapana ila iantegemeana na muhusika ambaye ni mwanafunzi,ukiwa na fikra mgando unaweza kusema kuwa chuo hakifai ila si sawa elimu ya juu ni tofautisana na elimu ya sekondari..... nikukumbushe kipindi hicho mtu akichaguliwa shule kama ilboru unajua huyo lazima atakua nondo ila saivi ni shule ya kawaida tu....
  naungana na hoja yako kwamba vyuo vyote vinavofundisha course za biashara iwe chini ya kitengo cha elimu ya bishara na kusimamia mitaala yao hapo ni sawa.

  si wote waliosoma shule binafsi wanaongea kiingereza kizuri hapana na si wote walioko shule za kata hawaongei vizuri hii inasababishwa na bidii ya mwanafunzi na kupenda kuongea kiingereza
   
 6. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  SAMRICH1 naungana na ww 100%, ufanisi wa m2 hautokani na maali aliposoma, ni jitihada za m2 binafsi, mm nilisoma shule ya kata lkn nilifaulu nikapata 2.19 na aliyenifata alikuwa na 3.25 ambayo haikubalance na wengine 4 na zero! Kufaulu kwangu hakukutokana na shule bali ni jitihada binafsi. Na kuhusu swala la lugha, sio km najisifia bali ukweli ni ninaweza na nikiwaambia wa2 nimexoma shule ya kata, they hardly believe it! So self-determination and Commitiment are the mirror to your success, na si chuo wala taasisi, PERIOD.
   
 7. S

  Sine r Winters Senior Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haya bhana mtoto wa kata ujaongea uongo bhana,coz ningekuumbua.
   
 8. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 9,827
  Likes Received: 2,445
  Trophy Points: 280
  Nimekubali inaonekana una uwezo mkubwa wa kufikiri
   
 9. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,410
  Likes Received: 778
  Trophy Points: 280
  Kaka unamanisha ud ndo degree provider? na kumbuka kua walimu wa udom,saut,iaa,muccob wengi kama c wote ni product ya ud kama iyo haitoshi wakati wa kutngeneza silabas zao walishirikisha ud kama chuo kongwe na yenye uzoefu sasa ili suala la tofaut wa uelewa wa kozi moja inatoka wapi?,kama unafuata historia shauriyako
   
 10. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  alieonja UE bado awe na fikra mgando kuwa jina la chuo linaweza likamtoa au kumuongezea GPA kiukweli mimi binafsi tabia hii inanikera sana


  Mkuu mie sija soma tanzania..lakini kiukweli jina la chuo lina uzito na nafasi yake mkuu. Kuna vyuo vinatambulika kwa kutoa product nzuri katika fani mbali mbali...na hili linatokana na mitaala yake na ufanisi katika wahitimu wake.Ukimaliza Harvard University,Princeton Uni,California Institute of Technology,Yale Un,Columbia and Stanford University ni tofauti
  sana na kumaliza Walden University,Wilmington University and so on. Thats why wakitangaza kazi jamani wanasema chuo kinacho tambulika. Ila hii isituvunje nguvu pale tunapo soma basi sisi tuwe chachu ya kukipa chuo chetu sifa kwa kufanya vizuri katika research na nyanja nyingine amabzo zina saidia chuo kupata credit..Mkuu ushauri wangu ni kua Africa bado tupo nyuma sana na ndio maana tuna umimi kaka..so hilo wala lisiwape tabu vijana wanaosoma maana opportunity nyingi sana..Anaesoma UDOM degree ya kwanza anafanya Masters UDSM na vice veser

  Africa
  16th September 2010
  By Phil Baty
  Africa's universities barely feature in the rankings. Some think that for them to even attempt to join the rankings race is a waste of resources that should be focused on improving lives in the communities they serve.
  "African universities face enormous challenges," says Goolam Mohamedbhai. As a former secretary general of the Association of African Universities, former president of the International Association of Universities and acknowledged expert on higher education across the continent, he is well placed to make the assessment.
  "Africa inherited a higher education system that was a carbon copy of [that of] the powers that colonised it. Right from the beginning, Africa started on a wrong footing – well behind the starting line, so to speak.
  "Despite all the political and economic turmoil it has gone through since independence – often of its own making – it is now expected to compete on a completely non-level playing field. Not only is this unfair, it is also inappropriate," says Mohamedbhai, who has also served as vice-chancellor of the University of Mauritius.
  "One could argue that other regions that were also colonised – South Asia, Latin America – are doing reasonably well. However, none of these regions suffered from the sort of exploitation that Africa underwent and continues to experience."
  A Global Research Report on Africa produced by Thomson Reuters, Times Higher Education's data supplier for the World University Rankings, sets the context in dramatic terms.
  Africa has more than 50 nations, hundreds of languages and a welter of ethnic cultural diversity, the report points out. It is a continent with abundant natural resources that is also plagued by the now-familiar litany of post-colonial woes: poverty, political instability, corruption, disease and armed conflicts frequently driven by ethnic and tribal divisions, the report says.


  [h=3][/h]
   
 11. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Fckn mthrfckr, hivi we jamaa mbona kila sehemu unajambia? Hivi UD ndo chanzo cha ww kua maskin? Ud ndo inayotoa mafunzo ya ufisadi? Umetumwa ww cjui na nani, afu jinc ilivo personal nalazimika kuamini maneno ya mtu m1 kua walikupiga chini sasa ndo umeamua kuchukia kwa nguvu zote! Pumba unazotema zina uhusiano gani na mada!! Ww sasa maana jukwaa hili naona mods washakufa natangaza rasmin me ndo ntakua na bang na ww... :mad::mad::mad:
   
 12. wencewandi

  wencewandi Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kutofautiana sana katika utendaji kazi na uelewa wa fani yao. unajua ndugu utendaji unatokana na mtu mwenyewe na ndyo maana kukawa na field work ilikupata experience ya kaz. na unajua kuelewe kuna tofautiania hata kama wakiwa chuo kmoja au tofaut kwan hakuna watu waliosoma chuo kmoja lakn wakaja kutofautiana katka uelewa wa fani na utendaji kaz......?
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Kwa nchi maskini na yenye hussle za kila aina kama hii, mie nawapongeza tu wote mliopata admission na walau ada ya kuwaweka shuleni. I promise you, utakavyo-hussle ndo utakavyotoka, inshaallah! Pata elimu kwanza, unless mtu anasoma Harvard University, asikutishie! Na hata kama, riziki ya mbwa iko miguuni. Someni, mmalize msake ajira. Mungu awafungulie njia! Kuna watu wamesoma digrii kadhaa, wakashtukia wakaanza kusaga chakula cha kuku na kuuza wanatukimbiza balaa! Ukiwa na shida hata ya 10M tshs anakupa without a blink!

  Usikubali mtu akuvunje moyo. Unless ana uwezo wa kukubadilishia maisha kwa kukupa scholarship ya kwenda chuo bora, achana nae! Tunapokosoa UDOM, tunakosoa mfumo wa elimu Tz na sio kuponda usomaji wake. Mbona watu wamesoma shule za kata na kidhungu wanaongea? Fainali kwenye kazi. Kila la kheri guys!
   
 14. wencewandi

  wencewandi Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kiukwel unashusha hadhi ya ELIMU ya vyuo vya TANZANIA
   
 15. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huyo jamaa sijui ina matatizo gani na UD??
   
 16. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Personal biff hiyo naweza jitahidi kuielewa mayb somethng bad happnd 2 him there or alikosa chance o alifukuzwa chuo lakini kuleta hilo swala EVERYWHERE anapocomment ni upuuzi sasa. Penye mada nyingine jadili kwa mada husika kama hauna cha kusema unaenda mada ingine sasa jamaa yeye hata akute wanajadili ki2 cha maendeleo tayari kasharopoka UD NYENYENYE...
   
 17. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  jamani wandugu lengo langu ni kupeana elimu si ugomvi ushauri aliotoa king"asti hapo juu ni mzuri sana ndugu zangu
   
 18. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #18
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  samahani kama mchango WANGU UNAWEZA KUWA CHUKIZO KWA WENGINE,ILA TUKUBARI TUKATAE VYUO VYETU VYA SERIKALI VINAELEKEA KUFULIA KWA SABABU HAWAKO SERIOUS.
  CHUKUIA MFANO UD SIKU ZINAVOZIDI KUSOGEA NDIO KINAVOZIDI KUPOROMOKA NA KUMBUKA CHUONI MWALIMU ANA MCHANGO MKUBWA HAKUNA TUTION KULE,,,,,,,,,,,,,
  ANGALIA BAADHI YA VYUO VYA PRIVATE VINAVOKUJA KWA KASI MFANO HAWA JAMAA WA ST JOSEPH KIUKWELISIO MAJUNGU NI CHUNGU CHA KUIVISHA WAANDISI BORA NCHINI HASA KWENYE IT HII YOTE NI KUTOKANA NA CHUO CHENYEWE HIVYO NAZANI CHUO KINACHUKUA NAFASI KATIKA KUTOA WAHITIMU WAZURI,PIA ANGALIA KCMC,KAIRUKI,IMTU THEN UTAPATA JIBU KWANINI WAHITIMU WA ZURI KATIKA NGAZI ZOTE ZA ELIMU MARA NYINGI WANATOKA PRIVATE INSTUTION?KUANZIA PRIMARY,SECONDARY,VYUONI
   
Loading...