Tangazo la HELSB lililenga kupoza joto la applicants na umma mzima tu na halikuwa genuine?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Wadau hii ngoma mpaka sasa kimya wakati tuliambiwa kila kitu kitakuwa kwenye net.Hii maana yake nini?Bila shaka walishaona kuna dali lili mbaya kwahiyo wakaamua kuwatuliza watanzania hasa loan applicants.

Inawezekana walikuwa na takwimu tu za wangapi watapata na wangapi hawatapata ila walikuwa bado hawajaziandaa kuziweka ktk website yao.Si mnakumbuka gazeti la Nipashe la juzi liliwalipua na la jana pia lilikuwa na maoni ya mhariri kuhusu ucheleweshaji wa mikopo.Kwa kifupi mhariri aliiponda bodi kwa kuchelewesha mikopo.Si ajabu bila gazeti la Nipashe kuvalia njuga swala hili wangeendelea kukaa kimya tu hawa watu.

Tunawashukuru gazeti la Nipashe kwa kuwaamsha usingizini hawa mabwana.
 
Nikweli mkuu
 
hawa jamaa cjajua malengo yao ya kuchelewesha hayo majina ikiwa kila kitu kiko sawa
 
na mm naona ka walitudanganya kwani walisema waombaji waangalie website yao lakin takriban masaa 12 toka watangaze katika web hamna chochote
 
Bodi mzinguo 2,ukitaka kujua jinsi gan hawa w2 ni ......ki angalia jana kaja cjui nani tena ati majina yako kwenye website mbona ha2yaoni ?!!! Jaman c web hii www.helsb.go.tz mbona web imenuna 2! Kweli lzm mabadiliko makubwa yanatakiwa kama kiongozi unajitokeza mbele ya umma na kulidanganya taifa.
 
Tuandamane nini?

duu kwanza pole kamanda wangu najua leo haujapata hata lepe la usingizi,by the way kama 2kiona vp leo,kesho kimya mbona 2taandamana,kitaani kwetu 2ko kama 10,nadhan 2natosha bt arachuga tena duu !!!
 
duu kwanza pole kamanda wangu najua leo haujapata hata lepe la usingizi,by the way kama 2kiona vp leo,kesho kimya mbona 2taandamana,kitaani kwetu 2ko kama 10,nadhan 2natosha bt arachuga tena duu !!!

Aisee ilipo fika mida ya ngoma 10 ilinidi niangushe tu, baada ya masaa 24 wasipo toa lazima lieleweke fresh sio siri kama kuchoka nimechoka kusubiri but bado nimo tu najilazimisha
 
SODOKA unayesema mda wa ku-release ki2 umeona kweli kwenye quote of the day au yale yale ya kurushana roho?
 
Last edited by a moderator:
hawa jamaa wa HESLB wanafanya kazi ya kuwapa watu pressure tu, muda waliotumia ni mrefu ilibidi mpaka sasa wawe wameshatoa list ya nani amepata na nani amekosa ili kila mtu ajue anajipanga vipi, sio kuleta stori.
 
Back
Top Bottom