Nakuheshimu lakini kwa ulichoandika sio busara kukiacha kipite hivihivi. SIO SAHIHI KABISA KWAMBA NGOMA ZA KINYAKYUSA - Mang'oma, mapenenga, magosi, mababatoni, syobhela, kituli, nk eti yana uhusiano na imani za ushirikina. BIG NO ndugu.
Mashindano ya ngoma hizo, hususani Mapalano huwa na...